Kama tulitarajia kumshusha Diamond kwa views mara ana nunua basi tutasubiri sana.
Naamini ipo siku na yeye ataitwa Billboard.
Ameweza rafiki yake bwana @Tekno kufikisha views 13 millions na...
Hii ngoma nzuri itasumbua siyo kama feeling good iliyobuma.
Hii nzuri sana.
Kiba kaimba safi kama kawaida ila apunguze yoo zinaboa sasa.
Halafu kumbe album zinalipa wanadai copy 10,000 za kwanza...
Amepost kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kuhusu ziara hii, hakika kazi nzuri zinadumu na zinalipa...hii yote ni matokeo ya wimbo wa Aje uliotoka mwezi May mwaka jana!!
Kila la heri King...
Habari toka india zinasema msanii mkongwe na legend wa Bollywood Om Puri amefariki dunia january 6 2017 uko nyumbani kwake Mumbai.
Chanzo cha kifo ni mstuko wa moyo ambapo alikutwa chumbani kwake...
Afande Sele amedai kuwa Daz Baba havuti unga kama watu wengi wanavyodhani bali amekuwa akinywa pombe bila kuzingatia kula hali inayomfanya akonde
Akiongea na Bongo5, Afande amesema huu ni...
Kama kichwa cha habari kinavyouliza;Je inawezekana mtoto mzuri wa kichaga ambaye anapelekeshwa Puta na kilevi aina ya 'Whiskey' akawa amefikwa 'Hapaaa!' Na penzi tamu la mtoto wa Kimakonde?
kwa kile ambacho akikutarajiwa kwa mkongwe wa hip hop nchini niga j kumjibu kala pina kwa lugha ya mafumbo na kejeli kubwa. inasemekana nguli huyo wa bongo fleva amemtolea kala pina maneno ya...
Tatizo la baadhi ya wasani kufikia kwenye kiwango hiki ni matokeo ya kukata tamaa kwa kudorora shugli zao za sanaa, bila kukumbuka kuwa mbali na Sanaa kuna kazi nyingine wanaweza kufanya na...
Mfalme wa Rhymes 2004, Suleiman Msindi Afande Sele amemwangushia bonge la pati, mshindi wa tuzo tano za za Grammy aaah sorry za Kili Music 2010/11, Abbas Hamis Kinzasa 20% au Kombinenga...
Rapa Nay wa Mitego amefunguka na kuweka wazi kuwa katika wanamuziki wakubwa Tanzania na wazuri kimuziki kwake Ali Kiba ni namba moja na akamtofautisha na Diamond ambaye amemtaja kuwa ni msanii...
Usiku wa kuamkia leo, wale team shilawadu hawajalala kwa kufuatilia mpambano kati ya bi dada shujaa Mange Kimambi na x husband wake dume suruari model Frank Gonga , ambao waliwafaidisha wanajamii...
Rapa Kalapina ambaye ni mwanaharakati wa kuwasaidia watu ambao wameingia kwenye matumzi ya dawa za kulevya amefunguka na kusema kuwa mama yake mzazi Chid Benz kama mtu anayemuendekeza Chid na...
Msanii Darassa amefunguka kuhusu kumponda diamond kwenye wimbo wake ambapo kuna mashairi yanayosema 'sio simba sio chui sio mamba' na kudai mashairi hayo hayamuhusu Diamond ila watu wameelewa...
Unakumbuka hit single ya starehe? Ni nyimbo ya feruz aliomshirikisha proj jay , ni nyimbo iliyoelezea mafunzo mengi kwa vijana kuhusu starehe na maambukizi ya ukimwi
Feruz leo hii afya yake...
Japo ni tuzo za Tz ilikuwa haina baja ya kusemea hili maana tulilitegemea lakini ukweli lazima uwekwe wazi.
Lady Jay De hakustahili kuchukua tuzo aliyochukua jana labda jana ilikuwa ni kwa ajili...