Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Juzi tu AY alimtambulisha mke wake mtarajiwa kwa washabiki wake. Hiyo Jana Prof J naye kaamua kumvalisha pete wa kwake.. Inaonekana huu mwaka ni wa kuoa aisee! Ila hilo shape! Shikamoo mbunge.
6 Reactions
98 Replies
10K Views
Naomba wakati tunakaribisha mwaka mpya 2017 tujadili kidogo hizi tuzo za kimataifa. Kwa sasa kumekuwa na wimbi la wasanii wetu kuwa nominated kwenye tuzo za nchi za wenzetu katika hii miaka miwili...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Stori: Shakoor Jongo Rapa maarufu Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz' ameibuka na kueleza kwamba alikuwa akitumia madawa ya kulevya kwa muda mrefu lakini sasa ameamua kuacha baada ya...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Aliibuka na kibao "usiulize" kilocho-hit kwa kasi na akajizolea mashabiki wa kutosha nikiwemo na mimi. Pia alimtuhumu msanii Fid q kwa kumuibia mashairi yake na kuyaimba katika kibao kinachoitwa...
0 Reactions
39 Replies
11K Views
Aisee muziki wa nana ndo wa kwanza tanzania kufikisha watazamaji milioni ishirini katika nchi ya tanzania. muimbaji ni diamond, nataka tumpongeze
5 Reactions
13 Replies
6K Views
Mbona watu wachache sana afu picha zimepigiwa mbali sana afu full cropping za kutosha......daah aibu sana sizani kama watu 300 wanafika kwny hii show ni aibu sana Ushauri msanii ukiona show...
0 Reactions
77 Replies
9K Views
Huyu msanii anaejiita Shilole binafsi simpendi kwa tabia yake ya kununua vijana hasa hawa wavivu wa kufanya kazi na kuwaoa na kuwatumikisha kingono, kuna huyu dogo ambae amemchukua anaitwa Adamu...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu hii ni mpya tu baada ya yule jamaa kuropoka hivi karibuni niliona uzi hapa kuhusu msaniii mmoja wa bongo movie akituponda watanzania tunaom suppport Omondi Hivi anapata wapi nguvu hiyo ...
2 Reactions
71 Replies
8K Views
She's always in demand, but Mariah Carey tells UsMagazine.com that she's going to pay a lot more attention to who she's singing for in the future. Last month Wikileaks revealed that the...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kheri ya mwaka mpya wana JF wote! Hii ndio habari ya kusikitisha baada ya msanii Young D kusemekana kurudia kubwia unga! Hii ni baada ya meneja wake Max kuonekana akichat na dada fulani kuhusu...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Ali Kiba kurekodi video Marekani Ali Kiba...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Msanii kutoka Wcb Raymond aka Rayvanny amesema Ali Kiba ni rafiki yake na atafanya nae kolabo endapo itatokea
2 Reactions
85 Replies
17K Views
Katika mwaka 2016 stori zilizozagaa mitaani juu ya Ali Kiba kumtafuna Meneja wake Seven Mosha imeutesa sana moyo wangu maana Seven ndio mwanamke ninayempenda kuliko wote. Wakuu nisaidie kumpata...
3 Reactions
60 Replies
17K Views
Nimejaribu kufatilia kuhusu hiz tuzo akishinda kiba blogs kama zina delay hiv kutoa taarifa halafu kuna kuwa hakuna zile attention tofauti na team yake kujaribu Ku draw attention kwa watu but...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hivi Wanadada wetu Wa bongo(wasanii) mbona hawajawahi kufanya colabo? Najaribu ku-recall nimegundua kwamba hamna nyimbo ya mastaa Wa kike bongo waliofanya colabo mf. Ray c na jdee.. Hivi tatizo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Msanii Diamond na mcheza show wake wakiwa nje ya mahakama ya Mwanzo Iringa mjini MSANII nyota wa muziki wa Kizazi kipya Diamond na wenzake wamekubali kosa la kumshambulia mwandishi Bw. Francis...
2 Reactions
69 Replies
13K Views
"Sisi mashabiki wa muziki hapa Dodoma tunauliza ile show ya marudio aliyotuhaidi king kiba itafanyika lini? Maana tulihaidiwa tarehe 28 tutaenda kumuona lakini mpaka leo tarehe 2 January hatupewi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wale waliosema kuwa aje haikutakiwa kuwa video bora bongo eti moyoshine ndio ilitakiwa kuchukua hiyo tuzo, Hatima video hiyo imeendelea kupasua anga za kimataifa na hiyo jana kunyakuwa video bora...
20 Reactions
154 Replies
14K Views
Nachukua nafasi hii kumpongeza bwana Stephen Kanumba kwa juhudi zake za kukuza Bongo movies (Hata JK aliwapa Big Up). Pamoja na mafanikio makubwa aliyopata hapan nchini, Kanumba hajaridhika na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Big up Diamond.... YouTube - Diamond ft, Hawa - Ntarejea (BONGO STAR LINK - www.bongostarlink.com)
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…