Wana JF nilisikia dogo mmoja wa bongofleva redioni kwamba ameshakuwa superstar sasa hawezi kuishi tena uswazi, nisaidieni superstar ni mtu wa aina gani?
Mliohudhulia hiyo Shoo ya akina Rayvany, Mavoko na Queen wao tupeni kilichojiri au bado mnaedit picha ila natumaini kila kitu kilienda kama kilivyotarajiwa
Wasalaama wana jamvi.
Baada ya seke seka la Msanii Alikiba kushutumiwa kuondoka na pesa za watu na kushindwa kupiga show huko Dodoma...Mashabiki wa Alikiba wameamua kumjia juu Manager wa msanii...
Wakuu mimi naishi kigogo mkwajuni hapa kuna babu mmoja ambaye ni mganga na husifika kwa kung'arisha nyota! Inadaiwa kuwa huyu babu ni kabila moja na mama ake dimond na mara ya kwanza nilimuona...
Nyomi yenyewe ya WASAFI kama ilivyotarajiwa ndio hiyo...
Nawapongeza WASAFI Kwa kuanzisha TOUR- Hii itapunguza utegemezi Kwa Clouds na Fiesta yao...
Naona warembo wa UDOM, CBE, Wamejaa...
Alikiba ameshinda tuzo
Mkali huyo wa Aje ameshinda tuzo ya Chaguo la Watu (Prix du Public) kwenye tuzo za Ufaransa za Wana Music Awards zilizotolewa Ijumaa hii.
“Hii ilikuwa ni tuzo pekee...
Msanii mkongwe katika muziki wa Bongo fleva Dully Skyes amefunguka na kusema ugomvi wa wasanii Alikiba na Diamond kwa sasa ni mkubwa kwani umeshatoka mpaka kwa watu wa nje.
Dully Skyes akiongea...
Habari ya wikend wakuu......
Kuna hawa watu niliowataja hapo juu wote ni wachoraji wa katuni wazuri
Masoudy kipanya huyu huchora katuni kwenye gazeti la mwananchi ukiachilia mbali kama CEO wa...
Ile ndoto ya Irene Uwoya kuingia bungeni imefutwa baada ya kukatwa na kamati ya CCM katika uchujaji wa majina ya wabunge wa viti maalum mtu mwingine aliekatwa ni msanii Keisher so no ubunge poleni.
Wakuu habari; Tukiwa tunaelekea mwishoni kabisa mwa mwaka huu wa 2016 naomba tukumbushane kauli za mastaa wa Bongo zilizo make headlines zaid kwa mwaka huu mzima, Binafsi naanza na hizi;
*1...
Nawasalim , wana bodi hasa katika hili jukwaa la celebrities,
Ni muda mrefu toka niache kufatilia muziki huu wa kibongo hii ni kutokana na kukosa mashairi yenye kuvuta hisia kwa jamii ,Mara ya...
diamond is very luck yooo ex boyfriend wa zari analia
The best revenge you can get on your ex is to move on and let them see you happy with someone who treats you better than they did.
Farouk...
Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram...
Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanessa mdee hata Harmonize anakaribia kumfunika..
What's...
Na: Edo Kumwembe.
NI zaidi ya kujikuta juu ya kitanda na msichana unayempenda kuliko wote duniani. Ni zaidi ya kutazama bao la ushindi la timu yako katika dakika za majeruhi katika mechi muhimu...
Najua wengi mlikuwa Mkisubiri hili jwa hamu kujua tadhimini nzima ya show mbili za Diamond na Team nzima ya Wasafi zilizo Fanyika Iringa na Dar! Sasa leo nimekuleteeni tathimini ya show zote mbili...