Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Baada ya kuziona hizi picha, nikawa najiuliza ni nani kamuiga nani....? Nataka kuamini kuwa ni bahati mbaya. Lakini bahati zitakuwaje mbaya zingali vyinyemi. 1. 2.
0 Reactions
119 Replies
24K Views
Leo ni siku ya Kuzaliwa kwa waziri mkuu wa 10 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu Kasimu Majaliwa. Namtakia heri ya siku yake ya Kuzaliwa na fanaka tele.
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada a kupatikana kwa taarifa kuwa darasa amepata ajali akiwa katika moja safari zake, asilimia kubwa(si kubwa sana lakini inavuka nusu yao) wamemhusisha diamond na tukio la ajali daresa. Hivi...
10 Reactions
33 Replies
10K Views
[emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
uuuwii huyu jamaa karudia ngada nini? masikini weeeeeee
1 Reactions
81 Replies
15K Views
Hope hii Ngoma itawavusha kwenda level ingine hapa bongo Ipo vizuri kuanzia beat,mashairi na hata video.. All the best Izzo na Bella
0 Reactions
62 Replies
12K Views
wimbo wa rayvany wa kwetu umeuburuza wimbo wa mkongwa wa bongo fleva alikiba nchini Kenya kwa nyimbo zinazopendwa zaidi. Kwa mujibu wa daily nation na bbc nchini humo. Wimbo wa kwetu umeshika...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Diamond a.k.a Simba a.k.a Dangote, hakuwaza kabisa madhara ya kujiita jina hilo (Dangote). Pengine hakuwahi kufikiria kuwa ipo siku Dangote halisi atakuja Tanzania na kuwekeza. Madhara yake ni...
9 Reactions
113 Replies
50K Views
Msanii n muigizaji wa marekani CeeLo Green amelipukiwa na simu usoni aliokuwa anatumia kuongelea wakati yupo studio na tukio zima lilinaswa na security camera zilizopo kwny studio yake. Video la...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika kile tunachokiita kusapoti vijana wenye vipaji, Theclick101 imekuandalia utaratibu maarumu ambao wasanii wachanga watapata muda wa kukutana na producer anayefanya vizuri kwa sasa na nyimbo...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Zimetufikia za kunyapia nyapia kutoka shirika la wambea SHILAWADU kuihusu hitsong ya wakali wawili wa muziki hapa Bongo Ommy Dimpoz na Alikiba na ngoma yao ya Kajiandae. Inasemekana kuna mtu...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Akifanya mahojiano na Ayo TV, msanii wa kike aliepamba vichwa vya habari kwa kudai kuwa ana mimba ambayo ilitokana na kubakwa; amesema mimba hiyo ilikua ni 'igizo'.Anasema alikuwa anajaribu kuuvaa...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa couple wapya in the town nawe utoe maoni yako unauonaje wimbo huu. Wamefanya vizuri au bado hawaridhishi.
6 Reactions
81 Replies
23K Views
Imbombo Ngafu!! Hii ngoma bado mbichi.. Afe kipa, afe beki! Leo kupitia 255 ya Clouds FM, Nay wa Mitego amenukuliwa akitoa yake ya moyoni kuhusiana na ngoma ya 'Freedom' inayogombaniwa kati ya...
11 Reactions
77 Replies
16K Views
Ni tukio kuuubwa kabisa la burudani kuwahi kutokea Tanzania na East Africa kwa ujumla wake na tukio lenyewe ni WASAFI BEACH PARTY wakishirikiana na VODACOM TANZANIA wanakuletea wasanii vipenzi vya...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Nimekutana na video hii huko youtube ikionesha msanii wa bongo movie aitwae Nisha ambaye hivi karibuni kunataarifa kwamba ni mjamzito(mama kijacho)akiwa jukwani akiruka sarakasi na kuchana misamba...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Msanii Belle 9 amekuja juu baada ya kuambiwa ameiga kuweka vionjo vya salome kwenye nyimbo yake msanii huyo amesema wazo la ku sample wimbo huo alikuwa nalo kabla ya Diamond ajabu Diamond akatoa...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
OMG! WARNING!!SOME GRAPHIC LANGUAGES ON IMAGES ATTACHED ON THIS THREAD. ONYO!! PICHA ZENYE LUGHA KALI MWISHONI MWA UZI HUU. When I said Mange Binti Kimambi aka Madam Mange Kimambi is back, I meant...
2 Reactions
34 Replies
21K Views
Hivi band ya Yamoto ipo wapi sikuizi mbona?? Kwa ushindani huu wa sasa naona tunakaribia kuwakosa kimuziki
4 Reactions
87 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…