Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii Man Fongo amedai BASATA walitaka kufungia waimbo wake wa hainaga ushemeji lakini akawatuliza na kuwaambia hayo ni mambo ambayo yapo labda wenyewe wanaishi nyakati zilizopita ial kwa sasa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
kumbe diamond alimpa mama yake nyumba..nice
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Clouds ikiongozwa na mkurugenzi wao RUGE walisusa kupiga nyimbo za mwanamziki Rubby kama walivyofanya kwa LADY JD kutokana na Rubby kuwagomea kufanya show ya FIESTA kutokana na malipo madogo...
17 Reactions
50 Replies
7K Views
Msanii wa kitambo wa bongo flava, Hakeem5 akiulizwa kuhusu ushauri aliopewa na Abby Skills kuhusu kumuomba msamaha Ali kiba amedai katu hawezi kufanya jambo hilo Amesema yeye aliongea ukweli...
4 Reactions
71 Replies
13K Views
Baada ya Mtv ema kumpatia Alikiba tuzo ya african act kutoka kwa Wizkid ,mashabiki wa Tanzania hasa wa Alikiba wamevamia ukurasa wa Instagram wa star huyo wa Nigeria na kumtukana. Leo Wizkid...
4 Reactions
92 Replies
9K Views
Msanii wa filamu za kibongo, Kajala Masanja amevunja ukimya na kufunguka kuhusu maneno yaliyokuwa yanazunguka mwa muda mrefu mitaani yakimtaja kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa nyakati tofauti...
3 Reactions
40 Replies
11K Views
Calisah aliwekewa mtego alipoenda kwa wema kuomba msamaha, kufika akadakwa na polisi waliokuwepo hapo na kuambiwa atoe simu yenye video za utupu alidai hana simu na kupelekwa kisha kusekwa rumande
2 Reactions
103 Replies
34K Views
Leo Mwana Fa ameachia ngoma yake ambayo ni mwiba mchungu kwa kina dada wa mjini wanaopenda na kuishi kwa kuombaomba. Ngoma inaitwa Dume Suruali. Nihonge nanunua nini? Kwa nini yani? Kwa kipi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nani anajua zaidi kwenye dancing?
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Hazikuwa habari njema sana siku mzee Yusuph gwiji wa taarab za kileo pale alipotangaza rasmi kuachana na mziki huu na kumrudia Mola wake... Habari zilienea kwa kasi na mijadala ilikuwa mingi...
30 Reactions
164 Replies
29K Views
Jamani huyu dada ananikosha Sana sauti yake, nataman nimfahamu sura yake ikoje, nilishawahi kumuuliza mtu anipe picha yake akanipa picha ya dj sinyorita bahati nzuri nilikuwa namfahamu, please...
3 Reactions
98 Replies
15K Views
Huwa najiuliza hawa wasanii wanaoshiriki kwenye Coke Studio wanalipwa kiasi gani? Anayejua atuambie packages wanazopata wasanii. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Hii ni fundisho kwa wanawake wote usiparamie Mwanaume hovyo kabla hujamjua vingenevyo muanze na system ya Kugegendwa gizani
8 Reactions
140 Replies
50K Views
Kibosile aliyekuwa anam sponsor mrembo Tunda, ikiwa ni apamoja na kumjengea nyumba ya milioni 100 , gari pamaoja na kumpa fedha nyingi za matumizi amemtema Hii ni baada ya kugundua mrembo huyo...
4 Reactions
112 Replies
27K Views
Magwiji wa mitandao nchini Tanzani walishindanishwa katika mtandao wa twita katika kipengele cha anayeandika mambo yakuudhi zaidi Tanzania.... Mwana jf Yericko Nyerere ametangazwa leo mshindi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF, Msanii mkongwe nguli Inspector Haroun Babu aka Tripple 5 ameanza kuisoma namba.Tukio la aina yake lililoacha watu vinywa wazi ni pale alipoandaa show kabambe ukumbi wa Buswelu pub...
3 Reactions
63 Replies
14K Views
Kwanza kabisa napenda kukupongeza juu mafanikio uliyoyafikia kimuziki na kimaisha,,na pia nikupongeze juu ya maamuzi yako ya kuanzisha label ya WCB na kuwekeza mamilioni ya mapesa ili kuwezesha...
13 Reactions
32 Replies
4K Views
Mwanzilishi wa THT na Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa clouds FM, Ruge Mutahaba amesema kuwa licha ya Ruby kujiondoa kutoka kwenye usimamizi wake hawezi kushuka kimuziki sababu ana kipaji...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Muziki wa Bongo unaendelea kukua siku hadi siku na kutambulika kimataifa, kutokana na kazi za wasanii wetu kuendelea kushika chati mbalimbali kwenye vituo vikubwa vya kimataifa hadi kufika...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…