Masanja huyu huyu aliyekuwa akiwacheka wenzake kuwa wamefulia, sijui wameloweka, hivi karibuni ameonekana 'akihaha' kutafuta pesa kwa udi na uvumba!
Huyu si ndo alikuwa anawachapa vijana viboko...
Muigizaji maarufu nchini India Kareena Kapoor asilimu,Sasa hivi ni Mwislamu.
Pia ni ndugu yetu katika Imaan.
Allah amfanyie wepesi ili aishi katika misingi ya Dini yetu ya...
huyu jamaa ni nani? namsikia tu wana mtaja sana wasanii kwenye nyimbo zao, au ndo wale ma papaa wa mjini. Kama kuna anae mjua naomba atupe kapicha kidogo
Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi...
Sauti Sol ni kundi la muziki la nchini Kenya likijumuisha waimbaji Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano na Savara Mudigi pamoja na mpiga guitar wao Polycarp Otieno.
Navy Kenzo ni kundi la nchini...
Guys mniwie radhi kama ntawaboa,lakini nimeona nijue hili.kwani hakunaga dogi fj!!.Tumeona hapa mbongo kuna watu hata ukiskia saut yake tu,au kuona picha yake unamtambua hata kama hukuwahi kumuona...
Hii ilitokea juzi wakati wa fiesta ambapo mwandishi akiwa anamhoji Wema Sepetu, Idris aliyekuwa pembeni aliteleza kama maji na kutokomea kusikojulikana!Hali hiyo ilimuacha mlimbwende Wema kwenye...
Si wengine bali ni vijana wawili Wizkid (Nigeria) na Alikiba (Tanzania). Kwanini nawaita ni watu wabaya au the most wanted in Africa?
1.Both Wizkid na Alikiba are most talented Artist, Yani...
Niaje wadau.
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Alikiba kupokonywa ushindi huko MTV EMA.Naomba hapa nitumie nafasi hii kufafanua kilichotokea ili kuweza kuondoa huu utata.
Kwa mujibu wa Mtv Ema...
Msanii wa filamu ambaye anafanya vizuri na filamu ya ‘Safari ya Gwalu’ Gabo Zigamba amefunguka kwa kusema kuwa siku hizi hakuna wanawake wa kuoa.
Mwigizaji huyo ambaye anapewa nafasi kubwa...
Miss Tanzania 2016 Diana Edward ambaye ndiye mrembo anayetarajiwa kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya urembo ya dunia ‘Miss World’, ameilalamikia kamati ya mashindano hayo kwa...
Hapo awali, Wizkid hakuwa mtu aliyejishughulisha kabisa na masuala ya tuzo. Lakini siku za hivi karibuni baada ya kuibuka na ushindi wa kishindo kwenye MTV MAMA, huenda aliamua kuufungua moyo...
Hatimaye mshindi wa mtv ema ametangazwa hivi punde kipengele cha african act huku Wizkid akitangazwa mshindi.
Alikiba aliekuwa na matumaini makubwa kushinda ameangukia pua
Wizkid amewashinda...
Kwa wale tuliobahatika jana kuwepo pale Leaders nadhani tulijisikia vibaya sana kuona mtoto wa nyumbani Diamond bin Laden alivyofanya show substandard ukilinganisha na Wiz Kid.
Kiukweli Diamond...
Wakuu
Msanii mkali unapiga show pesa inaingia, album unauza na zinauzika pote duniani, tuzo za nini? Sasa ifike wakati serikali iweke mfumo wa album vizuri.
Wasanii washindane kimauzo ya album...