Imekuwa ni kama fashion sasa kwa wasanii wa Bongo Fleva kwa kila mmoja kutaka kuwa na lebo yake. Ukiachilia mbali wale ambao walikwishatangulia kwenye mambo hayo na lebo zao zikafanya poa.
King...
Diamond platnumz amesema kuwa yupo anajichanganya na wanawake wengi sana, anawindwa sana na wanawake na yeye akiamua kuwinda hakosi yoyote
Na pia amejifananisha yeye na simba na wanawake ni swala...
Mkali wa bongo fleva Alikiba au King Kiba akiongea kwenye kipindi cha Jahazi clouds fm amesema management yake inafuatilia kujua vigezo gani vilitumika kupata mshindi wa mtv ema iliyotelewa jana...
Wasanii kadhaa wamekuwa wakilalamika ya kwamba wamekuwa na kura nyingi lakini zinapokuja kutolewa tuzo wanabaki midomo wazi na kushangaa anapata mtu mwengine, hii ishu imemkuta Huyu msanii wetu wa...
Diamond Platnumz ameibuka na ushindi wa nguvu kwenye tuzo za Afrima 2016 zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria. Muimbaji huyo ameshinda tuzo tatu, Song of The Year – Utanipenda, Best...
Habar wadau, hii APA ni akili kubwa kuusu nan ni bora zaid kati ya hawa maharamia wawili wa mzik wa bongo fleva.
Natoa facts tu (zikikuuma its for ur own risk)
1. Alikiba ni mkongwe kwenye game...
Haloooooooo!!! Mi mbea jamani!!
Ok iko hivi, dada yetu Shamsa ndoa imekua ndoano atelekezwa na Chidi Mapenzi. Inasemekana baada ya harusi tu Chidi akajiendea zake China kwa kisingizio cha...
Msanii wa muziki wa kurap kutoka Tip Top Connection, Dogo Janja amesema anajiandaa kuingia kwenda ndoa siku za usoni kwa kuwa lazima aingie kwenye maisha ya ndoa akiwa na umri mdogo.
Rapa huyo...
Rapa Country Boy amefunguka na kusema kuwa kwa sasa amekua kisanaa hivyo hayuko tayari kufanya ‘Playback’ katika show zake na kwamba sasa anafanya muziki ‘live’ na band yake na ameamua kufanya...
Anaitwa Ice Boy anafanya muziki wa Rap, amekuwa akifananishwa na tupac mara kwa mara lakini amelelamika kutopata deals kutokana na muonekano wake huo lakini ana ndoto za kwenda ulaya kumuigiza...
Kwenye video hii nakuangazia msanii wa mziki wa Hiphop Tanzania Nikki wa pili akiongelea masuala mazima ya ubunifu, elimu pamoja na mambo mengine yanayohusu maendeleo ya jamii.
SUBSCRIBE, SHARE NA...
Naomba anaewajua kwa majina yao halisi,wanapoishi au viwanja vyao waigizaji hawa wawili wa tamthilia inayoonyeshwa na EATV ya siri za familia "Brenda na Kelly" muhimu kuliko yote nataka contacts...
Hawa jamaa wametisha sana, kuanzia audio mpaka video hatari tupu!
Ila najua kuna wale jamaa wa kupinga kila kitu anachofanya kiba, wataanza kuisifia Nisamehe na Averina watasema huu wimbo ni mbaya...
Drake hakamatiki kwa wasanii wa Hip Hop wa kizazi hiki – albamu yake ‘Views’ yaingia kwenye rekodi ya orodha ya albamu zilizowahi kukaa muda mrefu kwenye chati za Billboard.
Albamu hiyo iliyotoka...
Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu nchini, Dr Cheni amesema hatatoa tena filamu nyingine kutokana na hali ya kibiashara ilivyo katika tasnia ya filamu hapa nchini
Dr. Cheni alisema hayo...
Jina lake halisi anaitwa Antoine Christophe Agbepa Mumba alizaliwa 13 July 1956),anajulikana zaidi kama Koffi Olomide, ni mkongo ambae anaimba mziki aina ya soukous, pia ni dansa mzuri...
Diamond Platnumz amedai wimbo wake mpya ambao haujatoka ‘Marry You’ aliomshirikisha Ne-Yo utachezwa mpaka kwenye vituo vya redio na runinga nchini Marekani.
Hitmaker huyo wa wimbo wa ‘Salome’...
Hizi team mbili kwa namna moja au nyingine zinachangia kurudisha mziki wetu nyuma leo hii wasanii wanajisahau kufanya kazi na kutegemea hizi team ziwabebe matokeo yake tunaona kwenye tuzo za...