Huu jamaa amewakasirikia kweli kweli watu wanaodai anawadhulumu Yamoto Band, amesema kuna watoto kibao mtaani kwenu na kama unaona anafaidi sana kusana na wewe kundi lako uwafanye mastaa kisha...
Anaebisha aangalie coverage yao sasa kwenye miss tz, hii ni aibu ... Vivuli kwenye picha,mara mwanga unazd mara unapungua. Ni full miyeyusho ,halafu huyo jes k mbona anaongea kama anafanya u-mc...
KABLA UJAJIITA JINA JITAIDI UJUWE MAANA YAKE WASICHANA WENGI SANA WANALIPENDA ILI JINA DIVA UTASIKIA IM THE DIVA... ==DIVA===MUNGU WA KIKE ==SOMA KWA MAKINI SANA ALAFU USIJIITE TENA ILI JINA...
Hasheem Thabeet kwa mujibu wa Jokate
Mwegelo, alikuwa ni ‘first love’ na huenda
kuachana naye kilikuwa ni kitu kibaya zaidi
kuwahi kutokea katika maisha yake.
Mrembo huyo alikuwa akijibu swali...
Nilianza kumfahamu msanii Khaleed Mohammed au Top in Dar (TID) alipotoa wimbo pendwa wa Zeze miaka ile ya 2000s akiwa na Jay Moe..
Jina lake likakua na kukubalika ndani na nje ya mipaka ya...
Msanii Ali Kiba amekataa nyumba inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikuhusishwa na yeye na kusema bado anaishi kwenye nyumba ya kupanga na hata kama alikuwa amejenga nyumba hawezi kufanya...
Aunty ezekiel kweli ka move on past wema.. Pamoja na wema kujikomba kote kumuwish happy birthday aunt na kumpost mapicha kibao insta, aunty ezekiel kamkaushia mikausho mikali na hata hajamualika...
Habari zilizo chini ya carpet kuhusu nyumba mpya ya mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado haujalipiwa na uko sokoni. Hivyo si Diamond wala Zari wana umiliki halali...
MTV (MAMA)- Bonyeza link hii 2016 MTV Africa Music Awards
Bonyeza tu vote halafu X halafu vote...
Kuna tuzo mbili kama pichani juu.
1. Best Male
2. Artist Of The Year...
Hii ni nyimbo mpya ya Ali Kiba inaitwa "Risabela" inayotofautisha kabisa bongo flavor na Nigerian music.. Hongera Kiba, naona sasa zile radha halisi za bongo zinaanza kurudi na nafikiri wengine...
Asa kama mabilionea pia wanashindwa ku handle mizinga.....kunakuchekana kweli hapa, dharau, kubezana...tunayo yashuhudia humu kwenye jamii yetu. Eti kuambiwa kama huna hela kaa pembeni.
Hata...
Fiesta not reachable, duuuuh.....!!
Kumedia kunsi kukupirika, chanii chikukutile njooomba?
#966# kuduuuu ku mchikioooo pa video mkombe..!
Longa nasi msaani wetu Ney wa mitego, nini kimekukuta...