Kuna interview last week iliyoendeshwa na BBC UK kwa ajiri ya Kufanya promotion ya mziki wa kizazi kipya ....
Kwenye interview kulikuwa na wasanii kama
1: professor jay
2: Sugu
3: Vanessa
4...
H baba amemponda Diamond kwa kupost nyumba kisa eti Ali Kiba katuma, amesema kama yeye ni mkweli ana nyumba aposti hati ya nyumba, sio mwenzake akipost nyumba naye anapost
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifatilia shows mbalimbali za redio zinazoendeshwa mchana,lakini mpaka sasa xxl ya cloudsfm imebaki kuwa show bora zaidi za zote angalia mpangilio wa kipindi b dozen...
Wakuu salamu.
Inasemekana PJ wamerudi tena Clouds fm. Waliondoka kwa mbwembwe sana kwenda Efm japo kwa maoni yangu hawakufanikiwa kufanya kile nilichotarajia! Lakini leo asubihi katika nyapia...
Wakati msanii Rich Mavoko akifikisha umri wa miaka 21 na hivyo kumfanya kuwa moja ya madogo wachache wanaocontrol industry,uongozi wa WCB umeamua kufanya kitu tofauti kabisa kwa kuporomosha bonge...
Kweli wanawake wengine hawana aibu
mwanamke ana 42 years na ndoa ya watoto 4
ila kavunja ndoa kwa ajili ya rapper tu wa miaka 32...
na sio kuwa anaenda kuolewa...just burudani tu...
Scottie...
Tangu kutangazwa kwa majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo mwaka huu, Wizkid hakuwahi kusema chochote. Alikuwa kimya tu utadhani hakuna kinachoendelea licha ya kuwepo kwenye vipengele vingi...
Jamani mi ni shabiki mkubwa na mzuri wa mziki wa bongo fleva, ila ili jambo linanipa wakati mgumu kuamini, huyu mkali wa bongo fleva diamond ana nyimbo kali sana ila kumekuwa na tofauti kubwa sana...
If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali. Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiaibisha mpaka wenzako wanakucheka.
Sawa english...
DJ Khaled na mchumba wake, Nicole Tuck wamebahatika kupata mtoto wa kiume Jumapili (Oct. 23) na tukio zima limeonekana kwenye mtandao wa Snapchat. Khaled ametimiza ahadi yake aliyoitoa June mwaka...
Leo ndo siku ya utoaji wa tuzo za MTV Mama mwaka 2016 , tuzo hizo zitatolewa nchini Afrika Kusini
Wasanii mbalimbali kutoka Africa wakiwania tuzo hizo.
Tanzania tuna wasanii wetu wakituwakilisha...
Kwanza nianze kuwapongeza Wasanii wa TANZANİA ambao walifanikiwa kuingia katika kuwania tuzo za #MTVmama2016 kwa kuwa wamezidi kuizilishia Afrika kwamba sasa muziki wetu wa Tanzania Umepiga hatua...
Siku kama ya leo alizaliwa Mtoto Mwanamume aitwae Godbless J Lema kwa sasa ni Mbunge makini wa Jimbo la Arusha mjini
Kama unamkubali nisaidie kumtakia heri katika kumbu kumbu yake hii muhimu ya...
Kiukweli nimeusikia sikia huu wimbo wa diamond , ila naona kama umeshavuja vuja na akichelewa kuutoa basi utaisha test, utakuwa kama ule alioshirikishwa na mafikizolo, wimbo mzuri lakini...
Madawa ya kulevya si janga linaloviumizwa vichwa vya wadau wa muziki wa Bongo Flava, bali Uganda pia mambo si mambo.
Muimbaji wa zamani wa kundi la Blue 3, Jackie Chandiru yupo kwenye hali mbaya...
Habari wakuu!
Leo nimeamua kuleta hoja hii mezani ili tujadili maana swali hili nimelifanyia utafiti kwa muda mrefu,
Je ni kwanini kila msanii anayethubutu tu kufanya collabo na Diamond AKA...