Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mliofatilia tunzo za MTV jana mtakuwa mashahidi kuwa king wa bongo flava alipaform wimbo wa sauti sol ule wa unconditionally bae so kutoka apo nimejiuliza sana kwa nn hakupafom wimbo wake maarufu...
2 Reactions
64 Replies
5K Views
Ni kipindi kirefu kumedhihiri kimya kisichovumilika hasa kwa wapenzi wa Muziki wa Hip-hop namzungumzia mwanamuziki Bonta Yuko wapi msanii Bonta kwa anayefahamu habari zake??
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Binafsi Kama mdau wa sanaa na mwenye mahaba na Sanaa ya Muziki na filamu napenda kujitokeza kuleta mbinu ambazo zitasaidia Wasanii kujitangaza na kukuza sanaa zao bila kutumia Kiki. Msanii...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
LeBron violates royal protocol, puts arm around Kate Middleton during photo As part of a holiday and also in support of the NBA Cares initiative, Prince William and Kate Middleton took in a...
0 Reactions
68 Replies
11K Views
Haya sasa kwa wale wapenzi wa singeli na wasio wa singeli njoeni mtoe mawazo yenu ya kuwa nan ni mkali zaidi wa singeli hapa bongo A:Man Fongo B:Skide C:Mwanadada young yuda...
4 Reactions
49 Replies
20K Views
Tumezoea Collabo nyingi za kimataifa Diamond huwa anakuwa wa kwanza kusema Ila safari hii Mohombi ndo kaanza kwa kupost katika ukurasa wake wa Twitter kuwa ana kazi na Diamond! Mzee wa coconat...
4 Reactions
22 Replies
6K Views
Rapper Country Boy ameahidi kuwa mwakani atafanya mambo makubwa ikiwemo kuleta tuzo ya kimataifa. Ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza na mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove. “Inshallah tuombe...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Diamond amedai kuna wasanii wengi wa kimataifa Afrika na nje ya Afrika wametaka kujiunga na WCB lakini amewakatalia kwa kuwa anatka kukuza wa nyumbani kwanza Pia amesema sasa hivi hawachukui...
5 Reactions
64 Replies
11K Views
Jiti hilo alilolishikilia mrefu akiwa anaimba jukwaan haijajulikana sababu ya msingi ya kulishikilia hivyo limeibua maswali ambayo hayana majibu hivyo limezua gumzo nchini south africa na hisia...
7 Reactions
66 Replies
7K Views
Usiku wa jumamosi ya October 22, 2016 Johannesburg Afrika kusini ndio siku ambayo zilitolewa tuzo za MTV kwa wasanii waliofanya vizuri ila wasani wa Tanzania walikuwa katika category nane Kama...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Anaitwa Imelda Mtema ni mwandishi wa habari wa global publisher. Huyu anajifanyaga ana urafiki na mastaa wa bongo movie lakini kumbe akigeuka nyuma anaenda kuwaandika vibaya kwenye magazeti ya...
4 Reactions
38 Replies
11K Views
Habarini wana jamvini. Leo toka asubuh nimekuwa nikisiliza vipindi mbali mbali katika radio yetu pendwa ya clouds fm, na moja ya vitu nilivosikia kutoka kwa watangazaji mbali mbali wa station hyo...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Ni aibu sana wasanii wa 5 toka Nchi kubwa. Yenye Rais anayependwa Africa. Madini mbali mbali na vingenevyo. Kwenda katika Mashiriki ya MTVMAMA's na kutokuumbulia kitu. Ni Aibu, tujifunza; 1...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msanii wa Uganda eddy kenzo asema kuna namna inafanyika kuamua washindi wa mtv mama na si upigaji wa kura maana kwenye kipengele change yeye ndo alikuwa na kura nyingi akifuatiwa na mr. Flavour...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C usiku wa jana alikamatwa na jeshi la polisi maeneo ya Kinondoni Manyanya almaarufu ‘Kinondoni kwa Mpemba’ jijini Dar es salaam baada ya kupiga makelele...
7 Reactions
305 Replies
66K Views
By Paul Meara Hip-hop seems a little itchy lately as everyone seems to have a problem with something everyone is doing. Beefs you never thought would happen, like Meek Mill vs. Beanie Sigel...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Naona ni wakati sahihi wa tuzo zinazotolewa ndani ya bongo waige mfumo wa tuzo za mtv kura si kigezo sana cha msanii kushinda tuzo ukiangalia hapa bongo ndo tunachobugi Mfano kwa bongo wasanii...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
'number don't lie' , kuna ubishani wa muda muda mrefu baina ya diamond na ali kiba huku kila shabiki akivutia upande wake, zifuatazo ni takwimu za ulinganifu baina ya alikiba na diamond
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Ilikuwa ni patashika katika lile jiwanja bora kabisa la ndege barani Afrika yaani Julius nyerere airport pale mmiliki wa vyombo vya habari vinavyobamba downtown bwana le mutuz alipoonekana na...
8 Reactions
37 Replies
8K Views
Wadau naomba tutabiri vichwa vya habari vya kesho magazetini hasa yale ya rangirangi.. Mimi naanza na hivi. 1.Simba ala nyasi,,ashindwa kujizuia aangua kilio ukumbini baada ya kukosa tuzo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…