Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mmiliki wa TANROSE INVESTMENT Dada Rose amefariki Dunia... Kwa Wahenga wale 1990es alimiliki maduka ya kukodisha Movies Namanga na Sinza... RIP Dada
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu, Inawezekana wengi mmeshapata taarifa ya kifo cha DJ Ommy lakini kwavile sijaona post hapa JF juu ya hili nimeona nigusie kutokana na umuhimu wake. DJ Ommy ni moja ya madj wa mwanzo kabisa...
11 Reactions
59 Replies
11K Views
Tommy lister maarufu kama DIBO is dead wengi tunamkumbuka kwenye movie ya Friday ya kwanza ya 1995 RIP DIBooo
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari zilizotufikia hivi punde, Msanii na MC Maarufu, Gladness Chiduo 'Zipompa Pompa' amefariki dunia katika hospitali ya Rabinisia jijini Dar es Salaam. Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Ununio...
4 Reactions
53 Replies
12K Views
Aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi TV na Wasafi FM Fatma Abdallah almaarufu Kungwi mkata shombo amefariki dunia mchana wa tarehe 15/08/2020 hospitali alikokua amelazwa baada ya kuugua kwa muda wa wiki...
6 Reactions
38 Replies
9K Views
Msanii maarufu wa Kenya kwa jina Papa Shirandula amefariki dunia jumamosi asubuhi leo baada ya kupatwa na matatizo ya upumuaji. TV actor and comedian Charles Bukeko popularly knows as "Papa...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Mwanamziki nguli wa muziki wa AfroPop Bi Patricia Majalisa kaaga dunia. South African disco queen, Patricia Majalisa, has died. In a message posted on the late Dan Tshanda’s Facebook page...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Msanii maarufu wa kundi la Jagwa Music ambaye alikuwa nyota wa kundi kwa sauti yake tamu na Nzuri bwana Jack Simela ametutoka kwa ajali ya gari aliyoipata mkoani Morogoro kwa kugongana na Scania...
7 Reactions
142 Replies
50K Views
Gwiji wa muziki wa reggae nchini Jah Kimbuteh amefariki dunia nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam, mshirika wa karibu wa marehemu David Msitta Manju, amethibitisha. Akiongea nasi kwa njia...
13 Reactions
61 Replies
12K Views
Said Ngamba "Mzee Small" Taarifa tulzozipata hivi punde kuwa muigizaji Said Ngamba au Mzee Small Amefariki dunia baada ya kuugua muda mrefu. Mzee Small alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa...
1 Reactions
212 Replies
44K Views
Source: BBC South African reggae musician, Lucky Dube, has been shot dead in front of his children during an attempted car hijacking. What is your reaction to his death? One of South Africa's...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom