Katika hali ya kushtusha, Msanii wa filamu nchini Tanzania Farida Sabu maarufu kwa jina la 'Bi Sonia' amefariki dunia.
Muigizaji huyo ambaye alijulikana sana kupitia kikundi cha Kaole Sanaa...
Yule Nguli wa miziki yenye mahadhi ya Pwani yaani Taarab amefariki dunia,Jijini Dar. Hii ni kwa mujibu wa mtangazaji wa Leo tena wa Clouds FM Dina Marios.
Nasma Hamisi 'Kidogo' amefariki dunia...
Mwanamuziki Maunda Zorro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Alhamis ya April 14) baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga huko Kigamboni, Dar es...
Muziki wa Rhumba leo umepata pigo baada ya Mkongwe wa Muziki huo Defao kufariki Nchi Cameroon
Sisi watu wa Tandika na Temeke kwa ujumla tutakumbuka sana kibao chake cha FAMILY KIKUTA ambacho...
Muigizaji huyo maarufu kutoka tasnia ya filamu za Kihindi (Bollywood) aliyetamba katika filamu za 'Slumdog Millionaire' na 'Jurassic World' amefariki mapema leo akiwa na miaka 53
Alikuwa...
Muigizaji wa tamthilia pendwa zaidi kwa sasa ya Uturuki ya Ertugrul, bwana Ayberk Pekcan maarufu kama Artuk Bey amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51.
Ayberk ambaye amecheza kama, Artuk Bey...
Mama Mzazi wa Luludiva amefariki.
Mama Mzazi wa mwanamziki (Msanii wa Bongo fleva) Luludiva amefariki dunia desemba 19, 2021.
Kwa mujibu wa Lulu diva alisema mama yake aliugua kwa muda mrefu na...
Mbunifu huyu aliyejipatia umaarufu kwa ubunifu wa mavazi ya mtaani (streetwear) na kupelekea kuingia mkataba na Makampuni kama Nike na Jordan amefariki dunia muda si mrefu kwa ugonjwa wa kansa...
Mwanamuziki mgongwe wa DRC, Aurlus Mabele maarufu kama Mfalme wa Sokous amefariki dunia saa chache zilizopita jijini Paris nchini Ufaransa, huku kukiwa na taarifa kuwa huenda kifo chake...
Wanabodi, msiba ni kuzika.
Ninawaomba tukamzike mwenzetu, tukamzika vipi?kwa kushiriki ibada ya kumuaga pale kanisani Muhimbili saa 8 mchana.
Je, tutaenda kuaga hivi hivi mikono mitupu hapana...
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo...
Pigo lingine laufika muziki wa Reggae. Mwimbaji na mtayarishaji nguli wa muziki wa Reggae, Lee "Scratch" Perry, ameondoka akiwa na miaka 85.
Kufuatia taarifa iliyotolewa na Waziri Mkuu wa Jamaica...
Mwigizaji wa filamu nchini marekani Lauren Kaye Scott, almaarufu DAKOTA SKYE amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles marekani.
Mwili wa Dakota Skye umekutwa Kwenye gereji ndani ya nyumba...
US actor Joe Lara, best known for playing Tarzan, is presumed dead after a plane crash in Tennessee.
The 58-year-old is among seven people believed killed when a light aircraft crashed into a...
DMX ambaye jina lake la kuzaliwa ni Earl Simmons amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 50
Mnamo tarehe 3 Aprili 2021, alilazwa katika Hospital ya White Plains iliyoko Jijini New York ikielezwa...
Habari,
Mvumbuzi wa kanda za kaseti Mholanzi, Lou Ottens amefariki wiki hii akiwa na umri wa miaka 94.
Mabilioni ya kaseti zimeuzwa duniani tangu zilipobuniwa miaka ya 1960
Mtoto wa kike wa...
Nguli wa habari Larry King kwa habari zilizopo ameshikwa na umauti akiwa na umri wa miaka 87. Kwa taarifa zilizopo ikidaiwa covid -19 alipokuwa akipatiwa matibabu Los Angeles.
Anakumbukwa kwa...
Mwigizaji wa South Africa Lindiwe Ndlovu (44) amefariki akiwa nyumbani kwake.
Familia imethibitisha lakini haijataja chanzo, Lindiwe aling'aa sana kwenye michezo ya kuigiza kama Isidingo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.