Dee7 (jina lake maarufu) aliekuwa mtangazaji wa radio Kiss FM ya jijini Mwanza amefariki dunia hapo jana tarehe 23.09.2023.
Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kipindi cha African Beats pale Kiss FM...
John Amos, aliyekuwa nyota wa filamu nchini Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84.
Amos ameaga dunia tarehe 21 Agosti huko Los Angeles. Msemaji wa Amos, Belinda Foster...
Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu...
Mchezaji mstaafu na maarufu wa Basketball wa ligi NBA nchi Marekani Dikembe Mutombo amefariki leo akiwa na miaka 58. RIP the greatest shot blocker in NBA history.
==============
Basketball Hall...
Mwanamichezo maarufu, O.J. Simpson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 kwa kansa. Simpson pamoja na michezo anakumbukwa kwa kesi ya mauaji ambapo alituhumiwa kumuua mkewe Nicole Brown(35)...
Mwanamuziki Mkongwe wa kundi la Jackson 5 Tito Jackson (70) ambaye ni Kaka wa Marehemu Michael Jackson, amefariki dunia.
Siku chache kabla ya kifo chake, aliposti ujumbe akiwa nchini Ujerumani...
Mwigizaji James Earl Jones ambaye alipata umaarufu katika filamu nyingi ikiwemo Field of Dreams, Coming To America, Conan the Barbarian, na The Lion King amefariki Dunia akiwa na umri wa Miaka 93...
Habari ya kwanza niliyokutana nayo leo kwenye mitandao ya kijamii inahusu kifo cha mwanadada Mwimbaji Bulelwa Makutukana ( Zahara) kilicho tokea jana huko Johanesburg baada ya kuugua ini kwa muda...
Kaka maarufu kwa jina la Kaoge ambaye alileta tafrani baada ya kuhojiwa kwenye kipindi cha Take One cha Zamaradi Mketema, na kukiri anajihusisha na vitendo vya jinsia moja amefariki dunia...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa za msiba mwimbaji wa kundi la Zabron Singers, Marco Joseph afariki dunia
Mwimbaji wa kundi la Zabron Singer, Marco Joseph amefariki dunia kwa ugonjwa wa Moyo jana...
Mungu ailaze mahali pema peponi nafsi yake Bwana alitoa Bwana ametwaa.
===
Msanii wa Bongo fleva Mandojo amefariki dunia asubuhi ya leo August 11 2024, akiwa Jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa habari...
Kwa taarifa zilizorushwa na kituo cha redio Clouds FM ni kwamba mwanamuziki Albert Mangwea amefariki dunia akiwa south Africa.
Taarifa zaidi zitafuatia.
------
Albert Mangwea maarufu kama...
TANZIA: Msanii wa vichekesho Mzee King Majuto amefariki dunia usiku wa leo Agosti 8, 2018 katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.
Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel...
Habarini za usiku wakuu, kwa masikitiko mwanamuziki Josky Kiambukuta amefariki dunia mapema Leo huko Kinshasa.
Marehemu Josky Kiambukuta alikuwa mwanamuziki hodari aliyeimba katika bendi ya Tp...
Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia
Director Khalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa...
Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024.
Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea.
=======
Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri...
Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki.
Pole kwa familia ya Babu Tale maana...
Muonagor alifariki jana baada ya kupambana na ugonjwa wa figo kwa muda mrefu.
Hii ilikuja siku chache baada ya video iliyosambaa ambapo aliiomba msaada wa kifedha kutoka kwa wanaijeria ili...
Msanii wa Vichekesho Nchini Tanzania 🇹🇿 Umar Lahbedi Issa, Maarufu Kwa Jina la Mzee wa Mjegeje, Amefariki Dunia Leo Alfajili Katika Hospitali ya Mwananyamala Alipokuwa Akipatiwa Matibabu. Taarifa...
Mchezaji wa soka wa Palestina, Mohammed Barakat, aliuawa Jumatatu wakati shambulio la angani la Israeli lilipogonga nyumbani kwake katika mji wa kusini mwa Gaza wa Khan Younis.
Nyumba yake ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.