He died after fighting leg amputation.
Mwigizaji wa Nigeria, John Okafor maarufu kama Mr Ibu (62) amefariki dunia leo Machi 2, 2024 wakati akiendelea kupatiwa matibabu hospitalini.
Kulingana...
Habari wanaburudani, nimepokea taarifa za kusikitisha za msiba wa Producer Geof Master muda huu. Naambiwa alikua kalazwa Ocean road. Mara ya mwisho kuonana nae mitaa ya Tegeta alikuwa na uvimbe...
Peetah Morgan enzi za uhai wake
Mwimbaji kiongozi wa bendi ya Reggae ya Morgan Heritage, Peter 'Peetah' Morgan, amefariki. Bendi hiyo imetangaza kifo cha Peetah kupitia taarifa iliyopostiwa...
RICHARD TUNDA:KIFAA TOKA TIP TOP CONNECTION, AMEFARIKI DUNIA NI MDOGO WA MKALI WA BONGO FLEVA TUNDAMAN..
JINA: Richard Ramadhan Tunda
KUZALIWA: Februari 3, 1989 (Miaka 35)
ALIPOZALIWA...
Wanabodi,
Nimepokea taarifa kuwa Mtangazaji Maarufu wa RTD, (sasa TBC), ABISAY STEVEN, amefariki dunia asubuhi hii.
Mpashaji habari wangu amesema msiba huo umetokea katika hospitali ya Muhimbili...
Carl Weathers, ambaye shughuli zake za utafutaji wa ugali zili anzia kwenye mchezo wa nfl Hadi uigizaji.
Ana kumbukwa kutokana na uigizaji wake nzuri, kwenye filamu kama Creed, na Predator...
Msanii CPWAA ameaga dunia mapema alfajiri ya leo wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo ni kwamba marehemu aliukuwa anaugua...
Wakati muziki wa rhumba / soukous Congo unapitia mabadiliko mengi ya vionjo, moja ya vitu vilivyonogesha ni kionjo cha kurap ambacho kiliongezwa haswa wakati nyimbo ilipokuwa inakaribia kuisha...
Nadhani Mwaka 2023 ndio tumeshuhudia vifo vya watu wengi mashuhuri.
Iwe kwenye michezo, siasa na Sasa kwenye anga ya biashara.
Ambapo siku ya Jana kulitokea kifo Cha mfanyabiashara mashuhuri...
Wale wapenzi wa sinema ya john wick kama mlipata kumtazama mhudumu wa hotel inayohudumia kikundi cha siri cha mauaji na chama kikubwa.
Bwana Lance Reddick alitumia part yake kuanzia filamu ya...
Mkurugenzi maarufu wa filamu nchini Iran pamoja na mke wake wameuawa wakiwa nyumbani kwao nje kidogo ya Mji Mkuu wa nchi hiyo, Tehran.
Taarifa kutokea kwenye vyombo vya habari vya nchini Iran...
Habari Wana JF.
Jana taifa la Nigeria na wapenzi wa muziki (Afrobeats) tuliingiwa na simanzi baada ya kupata taarifa Za kifo cha mwanamuziki kutoka Nigeria Mohbad (27).
Chanzo cha kifo bado...
Msanii mkongwe wa Hip Hop nchini, Salutaba Mwakimwagile maarufu kama Salu T amefariki dunia jijini Mbeya leo tarehe 15 Aprili 2023. Msanii huyo amefariki akiwa anaendelea kupewa matibabu katika...
Moja kati ya Ma-DJ ambao waliowahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki dunia jioni ya leo...
The WWE universe has been thrown into a state of mourning following the demise of one of her sterling superstar and former World Champion, Bray Wyatt who passed on in the late hours of Thursday...
Umuofia kwenu wana JF,
Msanii wa Bongo fleva aliyetikisa kanda ya Ziwa G RICO amefariki dunia leo ,G Rico alitamba na nyimbo kama Pole ya moyo, kesho etc. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
Socialite kutoka pande za Zimbabwe, ambaye pia ni mfanyabiashara tajiri, Ginimbi, amepata ajali mbaya Siku ya leo na kufariki dunia hapo hapo.
Mfanyabiashara huyo pia alikuwa Karibu na Zari the...
Ahuofe 🇬🇭 Aliyejipatia Umaarufu Mitandaoni (Tiktok & IG) Kama Tupac Wa Ghana Amefariki Dunia Jana Jumatano Machi 29, 2023 Huko Kumasi Nchini Ghana. Taarifa Za Kifo Chake Zimethibitisha Na Rapa...
Nyota huyo mkongwe wa Muziki wa Rock’n’Roll amefariki akiwa na umri wa miaka 83 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa familia, Turner alianza kuwa na hali mbaya ya Kiafya baada ya...
Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI) amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili.
Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala, Rajabu Amiri hivi karibuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.