Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hakuna mtu asiyejua maana ya watoto wa kishua basi kama yupo basi maana halisi ya neno hili ni wale watoto waliozaliwa kwenye familia zinazojiweza au unaweza kuita familia Bora. Mara nyingi...
3 Reactions
108 Replies
40K Views
Kunataarifa Nazidi Kuziskia zikitangazwa kuwa Eti kesho nitakuwa Uwanja wa Taifa kwenye hafla ya Team Ya Simba....SI KWELI!!! NI UONGO!!! Kesho Nitakuwa MWANZA CCM Kirumba kwenye Tamasha la...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Baadh ya picha ambazo Kiba ashazitoa ,inaonekana anatoa taratibu taratibu mpaka Team Mond isome namba
3 Reactions
164 Replies
115K Views
leo ni siku ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa aliekua miss Tanzania Wema sepetu,sijui anafikisha 27 au 28 maana kasema mwaka 2018 anafikisha 30 sasa naona hapa kati kama pameganda hivi Mama...
6 Reactions
123 Replies
20K Views
Haya jamani yule Sosholaiti wa Kenya kazama kwa Mchaga wa Kishumundu (Sina uhakika). Kaka huyo ajulikanaye kama Danford Kessy amemteka mrembo huyo ambaye amekiri kuwa ni muda mrefu amekuwa...
4 Reactions
85 Replies
17K Views
Rapper kutoka Nigeria Olamide achaguliwa kuwania tuzo za Mtvema katika kipengele cha Best African Act..! Baddoh sneh... Rap God Olamide..! YBNL CEO... King Baddoh... Olamide... Vote 4 Olamide...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Sio kwamba nimebadilika na kuanza kumshabikia Chibu. Mi Napenda kazi zuri. Wengi wanamshabikia pasi kujua utofauti wake na wasanii wengine. Chibu ni mfanyabiashara na kazi yake ni muziki, na ndio...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya kuwalipa Pesa ya Madafu Diamond Platnumz na Ali Kiba kwa ajili ya kampeni, yule Governor nguli wa County 001, County ya Mombasa Ali Hassan Joho anawaleta Chris Brown na Wizkid mjini humo...
4 Reactions
71 Replies
6K Views
Mwnadafada mbichi kabisa mwenye miaka 27 ,madam Sepetu unga leo kwa kushirikiana na mogul wa media yaani mfalme wa sosho midia bwana le mutuzi malecela leo watafanya suprise ya kufa mtu kwenye b...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio HAWE...
5 Reactions
39 Replies
8K Views
Ukiusikiliza huu mziki hasa kiitikio jamaa hachuji, miaka 17 ndani ya game
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Wimbo wa Kiba ulionifanya nitafakari upya .. Kati yake na daimondi nani mkali nimeusikiaa mara 90 nimegundua ali kiba ni mwanamziki Daimondi ni Msanii fwatilia hapa[emoji116] [emoji116] [emoji116]...
6 Reactions
43 Replies
12K Views
Beef la wiki hii kati ya Msechu na AT kiasi cha "kuchambana" kupitia mitandao ya kijamii ilikuwa ni "kiki" ya kutambulisha wimbo wao wa Audio uitwao "Msengenyo". Humu JF yaliletwa maneno na...
6 Reactions
28 Replies
6K Views
Nimeona kwenye fiesta arusha wanauza tiketi kwa airtel na mzamini mkuu ni tigo hii ikoje???
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari! Husika na kichwa cha habari hapo juu. Hivi nani zaidi kati ya hawa wasanii wawili?
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Msikilize hapa.anasema hata yeye amesikia taarifa za chid Benz kurudia unga
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam Katika wasanii wa kizazi kipya wenye gumzo kubwa kwa sasa ni Diamond na Ali Kiba, wasanii hawa wana timu kubwa za mashabiki kiasi kwamba kila upande huamini kuwa msanii wao ndiyo zaidi...
3 Reactions
51 Replies
7K Views
Kwenye show za radio, haswa vipindi vya kizazi kipya kumekuwa na pengo kwa watangazaji wa kike wenye uwezo na vipaji vya kipekee. Hii imekuwa kwa muda mrefu . Mtangazaji wa radio asiye kuwa na...
2 Reactions
56 Replies
53K Views
Alikiba ametajwa kuwania kwenye tuzo za mwaka huu za MTV Europe Music Awards (EMA) kipengele cha Best African Act. Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo Wizkid na Olamide wa Nigeria na Black...
12 Reactions
102 Replies
14K Views
Unadhani kwanini pamoja na kuwa kinywaji na brand maarufu duniani, Coca-Cola inaendelea kumwaga fedha nyingi kwaajili ya matangazo? Kampuni hiyo hutumia zaidi ya dola bilioni 3 duniani kote...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…