Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa amigo mwimbaji wa jahazi modern taarab ndiye mfalme mpya anayemrithi mzee yusuff baada ya mzee kuacha mziki Anasubiri tu kutawadhwa rasmi kuwa mfalme wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mwanamitindo wa Tanzania anayefanya kazi zake nchini Marekani, Flaviana Matata ameushitaki mfuko wa pensheni wa PSPF mahakamani akitaka alipwe shilingi milioni 165 kutokana na mfuko kwa kosa la...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Kati ya mambo ambayo Taifa la Tanzania ningejifunia nayo ni mwandishi wa vitabu katika anga ya Kimataifa ni Godfrey Mwakakigile. Huyu jamaa alikuwa ni moja kati ya mwandishi bora katika bara la...
0 Reactions
90 Replies
18K Views
Diamond Platinumz na Wizkid warekodi selfie video nakutupia mtandaoni kuwa wamekutana na wanatengeneza something new. Katika video ameonekana mdada akimkiss diamond platinumz, pipoz zinasema...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Msanii wa muziki wa kisingeli, Amani Khamisi ‘Man Fongo’ amewataka wasanii wa muziki wa bongofleva kupokea ushindani mpya kutoka katika muziki wa kisingeli. Muimbaji huyo anayefanya vizuri na...
3 Reactions
102 Replies
16K Views
Yule Mwana Dar es Salaam, Kingkiba, Balozi wa wanyama, Msanii pekee aliyetoboa Kimataifa bila Collabo, Kiboko ya Wizkid, Fundi na Master wa game ya mziki wa Africa "Alikiba" ambaye kwa sasa ndiyo...
5 Reactions
57 Replies
10K Views
Wazee wa kutunisha misuli ktk uzee wao.Kweli wakati ni ukuta!!Hapa ni katika machweo yao,lkn bado wapo moto moto
3 Reactions
11 Replies
7K Views
Mtandaoni wa Tizneez ametoa exclusive ya kwanini Msanii Ruby hakuonekana Mwanza wala kupanda katika jukwaa la Fiesta wakati alikuwa mmoja wa wasanii waliosajiliwa... Hivi Ndivyo mtandao huo...
18 Reactions
331 Replies
37K Views
Hatimaye Mtangazaji wa Kituo cha Radio cha E-Fm(Wazee wa Huu mchezo hautaji hasira) ameachana rasmi na kambi ya ukapela na kuvuta jiko. More pics to come
10 Reactions
126 Replies
18K Views
Mwanamama na kada maarufu wa chama cha mapinduzi amepatwa na mshituko mkubwa baada ya kusikia mwenyekiti wa chama lazima awe Magufuli, mtu wa karibu wa mwanamama huyo anadai kada huyo wa siku...
12 Reactions
63 Replies
11K Views
Ndio maana imeagizwa mwanaume amuoe mwanamke. Inapotokea mwanamke akamuoa mwaname hiyo ndoa haiwezi kudumu. Ndoa anayolewa mwanaume hukoma mara tu pale mwanamke atapomchoka mwanaume au hamu...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Hongereni sana Mhe. Edward Lowassa na Fred Lowassa Kwa siku yenu ya Kuzaliwa Mungu awazidishie Maisha Marefu na Mema na Afya Njema. AMEN
10 Reactions
42 Replies
14K Views
Huyu dada bwana namzimikia hasa utangazaji wake, ametulia anaongea kwa utaratibu, nimemfahamu Muda toka akiwa ITV na akiwa kwenye gazeti la KIU jamani mwenye namba yake anisaidie japo nimpe...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Diamond amekuwa anafanya matangazo mbalimbali kwa njia ya kuimba!! Japo watu wanasema Hajui kuimba ila kuna matangazo mimi huwa nayapenda sana kwa jinsi alivyo imbaa. Haya ndio matangazo bora...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari zenu wandugu, Miezi michache iliyopita ziliwahi kusambaa habari kuwa MwanaFA na AY wameshinda kesi mahakamani na kampuni ya Tigo imeamrishwa kuwalipa bilioni kadhaa pesa za kitanzania..Na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Baada ya uvumi kuwa Baraka da Prince alishindwa kuongea kiingereza au hajui kabisa ila Najma ndo mkalimani wake wapenzi hawa wawili wapost video mtandaoni Baraka da Prince akifundishwa kiingereza...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Msanii wa muziki wa bongo fleva Peter Msechu amefunguka na kusema kuwa amekuwa akitukanwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu unene wake na kusema kuwa wapo baadhi ya watu walimfuata na kutaka kumpa...
1 Reactions
41 Replies
10K Views
1 Reactions
1 Replies
801 Views
Akionekana mwenye afya njema, Mr Nice aibukia jijini Nairobi, Kenya....mkali wa wimbo wa "kikulacho ki nguoni mwako" yuko mbioni kutuonesha vile vitu tumevikosa kutoka kwake...#TAKEUstyle Pichani...
5 Reactions
29 Replies
7K Views
Msanii wa muziki, Kassim Mganga amesema wasanii wengi wa bongo wana ‘fake’ kuwa na maisha bora wakati hawapo hivyo Muimbaji huyo ambaye ni mtunzi mzuri wa nyimbo za mahaba, amesema wasanii...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…