Nimekuwa nikivutiwa na baadhi ya wasanii kwenye interview zao wanazofanya wamekuwa wanaheshimu kipindi cha mtangazaji na radio pia hata kama wapo level zingine lakini wanakumbuka walipotoka...
Watu wengi hupenda mafanikio au wengi hupenda kua maarufu, mfano mzuri ni mwanadada Wema Sepetu. Ni mmoja wa waigizaji wa kike wachache wenye mashabiki wengi zaidi. Na katika hilo amefungua miradi...
Swali kwenu wadau,
SWALI: Kati ya Man Fongo na Wiz Kid wakipanda jukwaani nani atamfunika mwenzie kwa performance na kuamsha amsha wananchi??? Hahahaha...
Mpambano huu ni hatari, yaani hata aje...
Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekanusha tetesi ya muda mrefu ya kutoka kimapenzi na hit maker wa wimbo ‘Aje’ Ali Kiba.
Muigizaji huyo mahiri wa filamu amekiambia chanzo chetu kuwa...
Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi Dar leo
limewahoji wasanii wa Orijino Komedi kwa
makosa ya kuvaa sare za polisi kwenye
harusi ya msanii mwenzao Emanuel Mgaya
“Masanja”. Wasanii hao, Lucas Muhuvile...
Huu ndio muonekano mpya wa hit maker wa ngoma kama uzuri wako, ntasubiri, sisikii, nikuite nan, wivu n.k. japokuwa ni uamuz wa mtu ila kiukweli jamaa hujapendeza. African boy endelea kuwa African...
Nikiri kuwa fan wa mziki wa diamond!Nimekuwa nikiingia mara moja moja kwenye page zake mbalimbali kupata updates!Siku za karibuni kutokana na kubanwa na majukumu sikuwa karibu na social media...
Msanii mkali wa africa na dunia kutoka nigeria wizkid akiongea na clouds fm amesema kwa sasa nyimbo ya diamond platnumz aliowashilikisha psquare kidogo ndio nyimbo bora kwake na ndio anayoukubali...
Kuna huyu mwanamuziki Budagalla Malonja, akifanya collabo na Diamond Platinum lazima ngoma iwe kali sana, huyu jamaa yuko vizuri sana, nimeweka moja ya ngoma zake;
Wakuu naomba kama kuna mwenye kumjuahuyu mtangazaji wa e.fm anaeitwa kicheko a.ka chalii ya marangu!! Aniwekee hata picha yake hapa!!huyu jamaa namkubali sana jana alikuwa anatafsiri picha kwa...
“Mwanajamvi mwenzangu nimeanzisha Youtube channel ambayo ntakuwa nikiongelea maswala mbalimbali na nikichambua mada kuanzia sanaa mpaka uchumi, lengo langu ni kufahamisha mambo kwa usahihi na...
Nimekuja kugundua kuna vitu vidogo sana vinamjenga msaani huyu ni ubunifu tu mdogo huku wasanii wengine wakiwa wamelala usingizi diamond kaja hii yakutembea na kamera yake anayoitumia popote...
It seems like this number was used by Pac! "7"
Most of the thing especially special events are closed associated with this number.
Huyu Tupac kama alitabiri maisha yake, maana vitu alivyokua...