Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungulia Nay wa Mitego kuendelea na shughuli za sanaa baada ya kuwa ametekeleza adhabu (maagizo) zote alizopewa kama masharti ya kumfungulia.
Chini ni...
Mimi hili linanitatiza, labda wenzangu mnalo jibu.Wapo wanaosema kuwa Rais mstaafu ni raia wa Msumbiji na wala si mtanzania, eti aliingia kule Kusini akiwa na umri wa miaka mitano wakati huo na...
Habarini wadau"!!
Unadhani video ipi bora za nyimbo za DIAMOND PLATNUMZ alizotoa tofauti na kampuni ya GODFATHER PRODUCTION ya S.A?
Kwangu naona ya Wimbo wa moyo wangu video iliyotengezwa na...
Upande wa wanaume
Tanzania kuna Diamond na Ali Kiba kwahiyo hapa Tz watagawana kura
Kenya yupo Sauti sol anabeba kura zote, uzalendo kwanza
Uganda yupo Jose Chamelion, Bebe cool na Kenzo nao...
Wakuu nadhani ipo haja sis wasanii chipukizi kuwatafuta Waanzilishi wa Mziki wa Bongo Fleva Ambao mchango Wao umepelekea Mziki Wa Tanzania kufikia hapa ulipo Kwa kuwatafuta na kufanya nao...
Ujumbe huu ukufikie Christian Bella iwe unapita huku ama watu wako wa karibu wakufikishie ujumbe.
Mimi ni shabiki wako mkubwa sana tena sana nikiri wazi kwamba nakupenda sana kutokana na kazi...
Story ya town kwa celeb wa Tz n kuwepo kwa uhusiano wa kimya kimya kati ya ali kiba na gigy money bado haijathibika japo Gigy money alipohojiwa na clouds fm kasema hajapewa ruhusa na Ali kiba...
Joh Makini amepanga Changanyikeni, nyuma ya UDSM. Jamaa ananisikitisha sana kwa mtu kama yeye kupanga chumba kimoja tu.
Hapo hapo chumbani anapikia kaweka ndoo za maji na vyombo vyake. Ifike...
Huyu rapper anaekwenda kwa jina BAGHDADY nimesikiza ngoma yake mpya daah..
Dogo ameamua kujilipua kama Roma.. Nimependa uandishi wake, dogo sasa amekua..
Huu ujasiri tumeu miss sana sie...
Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayari watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajili ya...
Kijana mwenzangu unajiskiaje kijana mwenzio anavyosogea na kupiga hatua. Vijana tuamke, baadhi ya vijana they are making money mfano huyu ameanza,,juzi nlikua namsoma Jux na yeye anasema anapata...
SHILOLE AONYESHA UPENDO WAKE KWA NEDY MUSIC KWA KUTUMIA WIMBO WAKE.
SHILOLE ASEMA HAYA =>
Wanasema mtoto mdogo nimedata naye. Mwenye nguvu mithili ya mbogo siachane nae. Agahhhhaa mkufunzi wa...
kijana wangu harmonize kaimba sehemu chache kwenye inde aliyoshirikishwa na dully ila katisha zaidi japo nasikia kwa mbali back voko za diamond sasa dully kazileta swaga zake za zamani kwenye hii...
Ubuyu wa mjini unanyetisha kuwa, mkali wa Bongo Fleva anayetamba na wimbo wake wa Jike Shupa aliomshirikisha Ali Kiba, Natfal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, anadaiwa kupora demu wa jamaa ambaye naye ni...
Hili ni la kupongeza!
Wasanii 'A-List' wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platnumz na Alikiba wamejikuta wakichangia takribani shilingi milioni 41 katika Taasisi ya 'GSM' ili kusaidia...
Kuna muda unafika maishan inabidi you make right decisions..Yaan namkumbuka MR BLUE zile enz namuelewa sana..Amepita na madem wazur wote Wema, Naj na hata nina uhakika ZARI angekuwa hizo siku BLUE...
Mwanamuziki nguli wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kama General Defao akwama hotelini jijini Mombasa baada ya kushindwa kulipa Bili ya Ksh 20,000.
=================================...