jamani naombeni kuulza kuhusu kitu gani kinamfanya msanii kuwa internatianal make wengine wanadai ni colable na wasanii wa nje wengine ni tuzo wengine ni mziko wake kujulkana nje ya nchi,nakarbsha...
Abdu Kiba amesema kuwa promotion ndiyo inawabeba wasanii wa lebo ya WCB.
Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM, “Sijafikiria kuimba na msanii kutoka WCB, kwa sababu sijaona...
Jamani wambea wenzangu, ninasikia habari ya mjini ni kuwa kuna bwana Mcongo anampunga balaa, anamwaga madolali, sasa bwana alimtumika Steve Nyerere kumpata Wema. Ninavyosikia share ya Steve...
Mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
Muimbaji huyo amesema yeye na mpenzi wake Zari wanategemea mtoto wa kiume.
“Yah kweli...
Asalam aleikum.
Najua kichwa cha habari kimewashtua watu wengi sana wale wanaopenda mafanikio ya wasanii wetu na wale wasiopenda maendeleo(wale wapenda bifu).
Hivi majuzi baada ya Diamond...
Katika wimbo wa Baba Tiffah aliofanya collabo na P square, wimbo unaoitwa "Kidogo" naona shooting inafanywa na wazungu, niwazungu wa kampuni gani hao? ina maana Baba T ana maproducer wazungu? Pia...
Huyu jamaa aliibuka miaka ya 2004 hadi 2008 hivi
Akiwa na ujio wa kuitwa "Kizizi",
Baadaye akaja na "Mara 7",
Pia aliachia hadi album.
Alikuwa chini ya G_Productions kama sikosei,
Na...
Huu ndio muonekano mpya wa mtindo wa nywele wa kijana Raymond wa wasafi,kijana anaye hit kwa sasa na ngoma yake ya natafuta kiki kiukweli kwa muonekano huu wa mtindo wa nywele aliouweka naona...
Nijuavyo mimi Gold ni pambo la mwili na pambo maana yake linalenga kuvutia mbele ya macho ndio maana wanawake wanapenda sana kuvaa mapambo ya dhahabu kwani pamoja na kupendezesha mwili bali pia...
Wanajamii mnisamehe tu lakini sina budi kuuliza hata jukwaani yamkini nitasaidiwa. Msanii huyu aitwaye jina la usanii Mainda siku nyingi sijamuona akishiriki katika filamu yuko wapi jamani? Siyo...
Habari zenyu wakuu, juzi juzi hapa zilisambaa habari kuhusu huyu jamaa wakuitwa UDEUDE, msanii na mtunzi wa nyimbo kadhaa za mastaa hapa bongo kwamba alipigwa risasi, akiwa na msanii mwenzake na...
Professor J akiwa na Mama Lisa
Baada ya Mwana FA, Masanja, Zitto kuuga ukapera hatimaye sasa Prof Jay naye yuko mbioni
Rapper huyo ambaye hivi karibuni ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kazi...
Mods: Naomba msiihamishe thread hii; nimepata tabu sana kuipata. Kumbukeni wana JF wana haki ya kujua matokeo ya kura zilizopigwa.
Katika Mchakato wa Kumtafuta JF Man of the Year 2010 uliohusisha...
Naomba tu kumfahamu huyu jamaa ni nani katika siasa maana nimeona groups mbali mbali whatsup wakinakili alichokipost.
Simfahamu, nataka kumfahamu ni nani?
Msanii wa muziki wa bongo fleva Bob Junior amekamatwa na jeshi la Polisi nyumbani kwao magomeni mapipa Jijni Dar es salaam majira ya saa sita mchana wa leo.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari...