Celebrated Jamaican artiste Beenie Man canceled his Saturday, July 30 performance at Toronto’s OVO Fest after he was diagnosed with Zika.
Beenie Man took to Instagram to reveal that following the...
Niaje washkaji zangu.
Leo kuna kitu kimenijia ghafla kichwani baada ya kutembelea "akaunti'' ya insta ya Kiba. Nilitegemea nitakuta ametekeleza ahadi yake ya kuwafollow mashabiki zake lakin...
Moja kati ya watu anaowaheshimu rapa Chidi Benz, ni Babutale, kwasababu meneja huyo wa Diamond ametumia fedha nyingi hadi sasa kwaajili yake.
“Huwezi amini mpaka sasa hivi ninavyoestimate...
Waungwana wa huku naamini mambo mengi sana mjini kwetu Dsm mna ufahamu nayo!
Nilikuwa na shabiki sana wa Salama jabir na kilichokuwa kipindi cha Mkasi pale Eatv, sasa katika hizi siku za karibuni...
Mama Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’,
Stori: Mayasa Mariwata, Risasi Jumamosi
DAR ES SALAAM: Imevuja! Baada ya muda mrefu kusambaa kwa habari kuwa mama wa msanii wa Bongo Fleva...
DAR ES SALAAM: Ubuyu wa motomoto wa mjini ni kwamba, zile mbwembwe zote za penzi la mastaa wawili Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Idris Sultan, zinadaiwa kufikia ukingoni na sasa imebaki stori...
Kwa wafuatiliaji wenzangu wa hawa celebrity wetu local nadhani tutakubaliana kwamba kwa upande wa Bongo fleva Diamond na Ally wako on top kwenye social media kuliko wabongofleva wengine!
Tuna...
Msanii fulani ana bifu na fulani, fulani anasema hana bifu na fulani.Huyu anavunja ukimya na yule, huyu kampa makavu yule, mwengine nyimbo zake mbili mfululizo zimefungiwa kwa kukosa maadili.Hizo...
MTIFUANO wa maneno makali umeibuka kati ya wasanii wa fi lamu Bongo, Wema Sepetu na Faiza Ali chanzo kikiwa ni Faiza kuposti maneno ya ‘kumdis’ Wema kutokana na mfumo wake wa maisha ya kimapenzi...
Huku wasanii wakiendelea kufaidika na mziki maproducer wanazidi kufa njaa mbaya zaidi huu mtindo alionza kufanya msanii Diamond haukubaliki.
Kwanini kwenye nyimbo zake producer hatambulishwi...
Na Saleh Ally
GAZETI la Championi lilianza kujulikana kabla ya ujio wa Nasibu Abdul ‘Diamond’. Ninaamini litaendelea kubaki nikiwa ninamaanisha hivi, ataliacha likiendelea kusikika kwa miaka...
Meneja wa Diamond, Babu Tale ameonyesha kuwa wao hawana tatizo na Alikiba baada ya kupost kipande cha video kinachoonyesha picha ya msanii huyo ndani ya studio ya Wasafi Records.
Ni muda mrefu...
Malia was spotted dancing on the side of the stage with a few friends for Mac Miller's set during the 4-day music festival. It clear to see, she's having a great time.
BASATA yatangaza kumfungia Mwanamuziki Ney wa Mitego kutojihusisha kabisa na kazi za sanaa kwa muda usiojulikana.
Hatua hiyo imetangazwa na Katibu Mtendaji wa BASATA leo JIjini Dar.
Congolese musician Koffi Olomide has been set free. The controversial singer was released Thursday after serving a day in jail instead of the 18-month sentence he had been handed.
Koffi was...
Nitoboeee.?
Baada ya nguli wa mziki wa Bongo fuleva kuvunja rekodi ya video yake "kutizamwa" mara nyingi zaidi ya video yoyote afrika kwa muda mfupi wadau wamejitokeza na kusema kuwa "eti" mkali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.