Wanaitwa Fifth Harmony... Hawa wadada wanaweza mpaka wamepitiliza.. Kila nikisikiliza Sledgeharmer, Worth It, Work from home na kazi yao inayotamba kwa sasa waliyoimba na Fetty Wap sioni wa...
Nikiwa kichupa kidoogo jana nimemsikia mtu kama Adam Mchomvu akitangaza Times Fm.
Muishio Dar zinakosikika kwa uzuri hizi maredio ni kweli jamaa kasepa!!
Ikiwa ni kweli naona Clouds ikizidi...
Jamani jamani !Maskini Saida Karoli.
Huyu naye ana umaskini wa hatari nasikia Hata voucher ya simu hana.Sasa kuna msanii aliyeuza wa kike kama huyu? Huyu sasa ndo walimdhurumu kila kitu.Jamaa...
Wakuu habari!!.. Ebu tujaribu kufikiri tafsiri za nyimbo za bongo maana yake.
Leo nilikumbuka kusikiliza nyimbo za kitambo kidogo za bongo (Throw Back Thursday ) nikakutana na ile nyimbo ya...
Kaburu (wa kwanza kulia) akiutambulisha uongozi wake mpya wa Kaburu Record
Uongozi wa ‘Kaburu Records’ studio ya kisasa iliyozinduliwa miezi mitatu iliyopita na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally...
Congolese music star Koffi Olomide has been slapped with a 18-month jail term by a Kinshasa court without the option of a fine for assaulting one of his dancers in Nairobi.
The jailing of the...
Ni kipindi kirefu mwanamuziki koffi olomide amekua akijifananisha na viongozi wa dini hata kufikia hatua ya kujiita Papa Benedict wa 16 na mtume wa 13 wa Bwana Yesu. Ukiangalia vitendo vyake...
Nasikia MillardAyo ameacha kazi Clouds FM na kapata mchongo huko Marekani
1.Amplifire hatangazi tena
2.Top20 hatangazi tena
3.Hajajihusisha hata kidogo na FIESTA kwa Website yake,FB wala...
* 'That n!gga' Jay-Z still owes me one for that SC kicks' commercial.
* 'The Illmatic was so stupid'
* Kanye should run. I'd be his consultant.
* French Montana is a DVD gangsta.
Great podcast.
Habarini,Kwa mda mrefu sana nimekuwa nikujiuliza maswali mengi ambayo nimeshindwa kuwa na Majibu yake!!!,Lakini am sure hapa Jamii Forum nipata majibu sahihi!!
Siwezi kumuweka MANGE KIMAMBI kama...
Imekuwa mara nyingi watu wa jamii fulani wakijisifia pale mtu kutoka jamii yao anapokuwa maarufu kwa usanii au mengineyo....But sio wasanii wote walioweza kuzitambulisha sehemu wanazotoka....Wapo...
STORI zilivuma na bado vuguvugu linaendelea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu uhusiano wa staa wa kike katika filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama Kanumba, Flora Mtegoa...
Wolpee
September 2015 anavishwa pete na mtu mwengine.
July 2016 yupo na mwengine sio wa pete.
September 2015 anasikitika walosaliti kurudi CCM
July 2016 anarudi CCM.
hakuna tofauti movies...
Licha ya kwamba hakuna mtu aliyestaarabika ataunga mkono alichofanya Koffi ollomide, lakini pia hakuna mpenda haki yoyote yule ambaye yupo tayari kuona Koffi naye akitendewa dhulma, wapenda haki...
Naona mnajisahau duniani na kuona kila kitu ni halali.mnabadilishana waume kwa wanawake kuhalalisha uzinifu wenu. Mmewekeza kwenye ngono na kuipa jina la kutafuta "kick".
Mmekuwa walevi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.