Msanii Shilole amesema ameamua kumtafuta mwalimu wa kumfundisha lugha ya Kiingereza inayompa shida kuwasiliana na watu mbalimbali.
‘’Ni kweli nataka nifundishwe vizuri najua kidogo tu vya...
Nasikitika sana kuwa mpaka sasa hivi hakuna Chombo " maalum " cha kuwasimamia na kuchunguza maadili ya hawa Watangazaji wetu wa redio na luninga hapa nchini Tanzania kwani ama hakika kwa...
Alijipatia umaarufu mkubwa kwenye vichekesho vya kundi la VITUKO SHOW, alizoeleka kuigiza lafudhi ya kimakonde....
R.I.P Mchekeshaji Kundambanda..
-
ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya...
Kanye West leaves Ellen DeGeneres speechless: 'I'm sorry for the realness'
t
Ellen DeGeneres
"Well, it's not daytime television anymore," Ellen DeGeneres said Thursday on her show after a...
July 22, 2016
Congolese musician Koffi Olomide has been arrested for assaulting a lady at JKIA after Police Inspector General Joseph Boinnet ordered airport police to take action.
Olomide was...
Huo mstari upo kwenye ngoma mpya ya Roma (rhymes of magic attractions),ngoma inaitwa "Kaa tayari".Wadau hizi tuhuma zina ukweli ndani yake?
===
AUDIO: Roma feat Jos Mtambo & Darasa - Kaa tayari
I think diamond platnumz should consider joining the Tanzania Movie Industry.. Many things will change.
"Nadhani diamond platnumz angefikiria tena na tena angejiunga na Kiwanda cha Muvi za...
KIKONGWE machachari kwenye tasnia ya muziki wa Bongo fleva Bibi Cheka, amesema hakukata tamaa tangu akiwa kijana, alijipa moyo kuwa siku moja kila mtu atamjua kutokana na juhudi zake binafsi...
Attention! Dini mpya kabisa duniani inaitwa Yeezianity . Jina hili linafanana na album mpya ya kanye inayoitwa Yeezus ambayo ni combination ya nickname yake ya Ye na jina la Jesus. Tayari kuna...
LICHA ya madai kuwa wapenzi wawili, Idris Sultan na Wema Sepetu wamemwagana, muigizaji huyo nyota na Miss Tanzania 2006, amesema anataka kuzaa na mshindi huyo wa Big Brother Hotshots 2014 kutokana...
Msanii wa Kimataifa "Alikiba" anayetamba na kibao cha #Aje aendelea ku-make headlines Africa na dunian kote hasa baada ya kupata dili nono, Baada ya Kuwa offical brand ambassodor wa kampni kubwa...
Amini usiamini siri ya mafanikio ya le akili kubwazz imejulikana leo baada ya kupost picha kiwa ze dodomaz katika harakati za kumkabidhiz chamaz Mr Pombe.
Ni kidoti kilichopo unyayoni ambacho...
Za Weekend JF,
Nimekuwa nikimfuatilia huyu mtangazaji wa EATV kwa aina yake ya utangazaji, ni mmoja ya watangazaji makini sana wanaochipukia, maana wasoma habari wengi wanaoibuka kwa sasa wamekuwa...
Unajua kinacho mfanya Jay Z kuwa kati ya wasanii na pengine msanii pekee anae heshimika hata akiwa sehemu za public au akiwa kwenye events tofauti tofauti either zaki muziki, biashara, fashion...
sijui ni kutafuta kick na umaarufu au ni njia ya kutafuta wapenzi. ukigoogle majina ya wasanii wa Bongo utaona picha zao nyingi ni za uchi au nusu uchi. hata wasio wasanii naona nao wanaiga...
Bloga anayetegemewa kurudi bongo wakati wowote kuanzia leo ameanza kuandaa mazingira mazuri kwa wenyeji wake watakao mpokea bandarini baada ya kuwarushia maneno kadhaa kwamba wanauza sembe ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.