Not that there's anything wrong, but seems to me like most rappers or those associated with rap push their kids into becoming ballers. Is balling with a mic so tight, they'd rather try out with a...
Meneja wa Mwanamuziki Diamond Platnumz “Babu Tale” kufikishwa mahakamani kwa kushindwa kutekeleza adhabu ya kulipa Sh mil 200-'Kosa la HAKI MILIKI'
#MwananchiLeo #GazetiNiMwananchi...
Faiza Ally Kamfungukia Mrembo anayesemekana ndio mchumba wa Mh Mr Sugu Kwa Sasa Anaitwa Happy...
Soma Hapa:
Simpati Kwa lipi huyo happy - makengeza? Au Kwa sababu Ana Fany kazi biuro Au Kwa...
Kwa muda mrefu nimekua nikijitahidi kukukwepa kujifanya sikusikii as if mziki wako sio mzuri lakini kwenye vikona nikisikia nabana kusikiliza kidogo then najipa moyo kwamba huu nao mbaya.
Yaani...
Ni majuzi tuu hapa nilitoa onyo Nkaasema sitaki mwanangu afanye sanaa yoyote ile iwe mziki, maigizo, umiss au chochote kila.
Sasa katika pita pita zangu yatika mitandao ya kijamii na hasa...
Msanii Msami ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake wa ‘Mabawa’ amefunguka na kusema kuwa yeye ni mwanaume na Kajala ni mwanamke hivyo kwa kile ambacho kinazungumzwa na watu kuwa huenda...
Mwanadada mrembo na mjasiliamali Jokate Mwegelo leo amemsifia na kumsapoti msanii nyota Diamond Platnumz kwa kutoa kazi nzuri (nyimbo mpya inaitwa kidgo).
Kipitia account yake ya instagram Jokate...
Wadau kama nlivotanabaisha mwanzo kuwa Jide ili atambe lazima amponde Gardner. Sasa ana wiki ya 2 ametoa nyimbo inaitwa kama wao lakini cha ajabu yaweza pita masaa 72 bila kuisikia.
Hata E fm...
Well done malecela jr aka le mutuz aka mutu ya watu aka mutu ya juu kabisa. Huyu jamaa anajua kucheza na akili za biashara.
How? Jamaa nyie mnavyozidi kulopoka mitandaoni basi yeye he is...
Jacqueline Ntuyabaliwe-Mengi is a former Miss Tanzania. She started off her career as a singer, later won the Miss Tanzania beauty contest and subsequently represented her country at the Miss...
Watu wengi tunafahamu kuhusu msanii Chidi Benz alivyoathirika na madawa. Ninachokiomba kwa Babu Tale amsaidie Chidi peke yake bila kumhusisha na WCB.
Kwani kuna uwezekano mkubwa wa label hiyo...
Daah goma limesimama hatari chid benz karudi vyema sama aisee...dude linaitwa "Chuma" take ur time to listen hilo kitu utakubali....
bravo chid ila usivimbe kichwa na vishoo utakavyo anza kupiga...
Licha ya Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kuibuka na kukanusha sakata lao la kurudiana, bado madai ya wawili hao...
Nakereka sana napoona vijana wengi wadogo wanapotea baada ya kujiingiza kwenye maswala ya muziki, kuigiza, mashindano ya miss sehemu flani, miss tanzania, michezo ya mpira, netball na dancing...
Wanajamvi, tumeweza kushuhudia hivi sasa ushindani mkali katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya, wasanii wengi wakijitahidi kufanya kila liwezekanalo, ili mradi aweze kusikika au kukubalika, wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.