Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kiukweli Diamond ataendelea kukumbukwa kwa kumfikisha Harmonize hapa alipo fika! Kwa hii nyimbo yake mpya inayo itwa Matatizo ni dhahiri kadhamilia katika mziki! Kama kuna mtu anaweza kuiweka hapa...
11 Reactions
98 Replies
22K Views
Habarini! Habari za weekend! Leo ningependa kila mmoja wetu kwa nasi yake aweze kushare nasi ni Celebrity gani anakuvutia hapa Duniani! Kutoka katika tasnia yoyote ile! Kikubwa ni awe Celebrity...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
Kazi kwetu wabongo tunaojifanya tunajua zaidi mziki
3 Reactions
19 Replies
8K Views
1: Diamond plutnumz ft P square KIDOGO - Viewers 51900+ 2: Harmonize MATATIZO viewers 873000+ 3: Imevuja Diamond na Zari wakifanya mapenzi chooni 4: Jionee party ya Wema Sepetu Idris Bella na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu jamaa anajua balaa lkn sijui kwanini tu?,ingekuwa bongo labda tungesema jamaa ana bifu na Ruge ,wadau wa rhythm and blues nina tatizo iko wapi kwa huyu jamaa?
3 Reactions
66 Replies
10K Views
Hata kama haupo humu hopefully ujumbe utakufikia. Irene uwoya wewe ni mdada mtu mzima mwenye hadhi yako ,lakini mambo unayoyafanya kama watoto wanaonza balehe. Dada yangu wewe kila weekend...
4 Reactions
67 Replies
11K Views
Niaje washkaji zangu.? Leo nineona bora nimshauri jambo moja kubwa na la msingi sana Alikiba a.k.a mzee wa #aje. Naamini hata nyie humu wengi mtaniunga mkono. Msanii mkubwa kama Alikiba mambo...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Mchezaji huyo wa zamani wa Newcastle, Tottenham na timu ya taifa ya Uingereza juzi alipigwa picha na majirani zake akiwa kwenye hali ya kusikitisha wakati anachukua taxi kwenda kununua pombe na...
4 Reactions
73 Replies
10K Views
Nimefuatilia muziki wa hiphop toka unaingia bongo(kwa maana ya bongo hiphop)Media zimechangia kuuwa hiphop.wanasema hiphop ni controves kwa maana bila ya beef hakuna hiphop.Tukumbuke TMK vs East...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kukatika hata umeme unakatika,nyimbo mbayaaa Ungeleta ya kwako tukalinganisha basi,, kwanza na mashaka na jinsia yako
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii imetokea kwenye ibada katika kanisa la miito ya Baraka Jangwani Dsm Mchekeshaji, Muhubiri na Mshereheshaji Masanja Mkandamizaji amvisha pete mke wake mbele ya macho ya Mwakibolwa.
7 Reactions
81 Replies
30K Views
Wasalaam, Tangu Yamoto Mpaka Su Ya Juzi,Kila Utokapo Wimbo wa Yamoto Mie Usubiria Beti Zake Tu! Kuanzia "Una Rambo,Una Muwa",Mpaka ya "Uukalie"... Hivi Kuna Enock Bella's Fans Humu...? Kama...
0 Reactions
83 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu. Kwakweli katika tasnia ya vichekesho hapa bongo wapo vijana wanafanya vizuri sana, kama RINGO na TIN WHITE hawa vijana wanakipaji kwakweli, laiti kama tasnia hii ingewekewa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Alex Ngussa ni miongoni mwa watangazaji bora kuwahi kutokea nchini Tanzania, kwa waliowahi kumsikia akiwa katika ubora wake Redio Free Africa, mwanzoni mwa miaka ya 2000,watakubaliana na mimi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu Marafiki hapa jamvini.. Katika maisha ya binadamu kuna Mitihani mbali mbali amabayo kama hautakuwa makini basi jiandae kufeli. Ila ikumbukwe kuwa sio kila anaefeli basi ndio mwisho wa...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Inakuwaje romyjones amempost wema sepetu then akafuta, ni kwamba simba kamkataza au? Na kama kweli ameambiwa na simba afute. Mbona mama simba hajafuta?
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Naweza kusema kwamba huu ni ukomavu kimziki kwa Alikiba baada ya kuona post hii huko instagramuni. Kinachotakiwa sasa ni sisi mashabiki kuendelea kumpigia kura Diamond ili tuzo irudi nyumbani na...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Nashangaa sana hawa clouds fm kumpa ajira huyu dogo asiye na kipaji.huyu dogo anatangaza choice fm kuanzia 12:00 -01:00 mchana,ila kutangaza hajui kabisa.kwanza anazingua sana na anaiga sana...
9 Reactions
80 Replies
12K Views
The bull fight was being broadcast live on television A matador has died after being gored by a bull in Spain - the first bullfighter to die in the ring there for more than 30 years. Victor...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom