Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Huyu Binti Mrembo Mimi Mars wa TV1 ananikoga moyo kwa umahiri wake Wa kipindi cha Weekend Gossip Hakika anaweza kipindi kwa jinsi anavyotia ladha. Watangazaji wengine Wa kike igeni mfano wa huyu...
1 Reactions
21 Replies
15K Views
Aisee nilipokuwa youtube nikajikuta napitia video ya huyu jamaa.....Dah Sikuwa nikijua kama jamaa kafikia stage hii....Yani video zote kavaa mavazi ya kike na kujishebedua kama mdada....Na make up...
18 Reactions
66 Replies
13K Views
Tanzanian socialite, Agnes Masogange has put on display her $exy curvy hot body, with her tightly jeans she wears as she looked on her photo she shared on her Instagram account, believable! Agnes...
0 Reactions
73 Replies
22K Views
Hivi karibuni alipokuwa Kenya, Vanessa Mdee alihojiwa kwenye kipindi cha The Trend cha NTV na moja ya maswali aliyoiulizwa ni iwapo ana boyfriend. Vanessa ameiambia Bongo5 sababu ya kufanya...
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Angalia mshangao wa Mange Kimambi alivyomwaminia Zamaradi kumteka kimahaba boss wake ruge
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Niaje washkaji zangu.? I hope weekend imekaa powa sana. Leo ninapenda kuweka wazi ni jinsi gani Ninawakubali hawa watangazaji wawili kutoka cloudsfm, kiukweli sikuwa msikilizaji wa Clouds bt hawa...
1 Reactions
32 Replies
13K Views
Zari the boss lady maarufu kama mama tiffa mke wa msanii maarufu bongo Diamond ameweka picha Snapchat ya kuwataka watu waache kumfananisha na malaya ambao hawajawahi hata kuingia leba. Anadai...
1 Reactions
191 Replies
30K Views
Nimeangalia tangazo EATV anaonekana Salama Jabri akiadvertise kitu flani anaishia kwa kusema: MAGUMU KULIKO, EATV JULY 2016. Mwenye uelewa wa anazungumzia nini tafwadhali nijuze.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NIko Kyela hapa nimeona matangazo ya Show ya diamond kesho IDD pili kwenye ukumbi wa Mwamunyange kilichonishangaza kiingilio VIP tsh 100,000(laki moja). Hivi kweli huku wilayani Kyela kuna watu...
0 Reactions
129 Replies
21K Views
Miye na swali kwa uyu mdada mwenye kipindi katika siku ya juma mosi katika tv ya clouds Swali langu naitaji aje atuambie anapoandaa kipindi huwa analenga tabaka lipi katika jamii watizame...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
For those who don't know him, jamaa anaitwa Stanley peter cox born in Oakland, CA mnamo mwaka 1982. Mistah F.A.B. is an acronym for"Money Is Something to Always Have — Forever After Bread." Huyu...
0 Reactions
5 Replies
849 Views
Nimetoka kuangalia Video mpya ya Mr bluu "mboga saba" na nasikitika kusema kwamba sijaipenda sio kwamba nyimbo ni mbaya bali ni kwa haka katabia ka wasanii wa Bongo kuwaweka kwenye video Madem...
8 Reactions
104 Replies
17K Views
Wana bodi naomba kujuzwa mwenye taarifa za wapi alipo na kama bado anajihusisha na tasnia ya Mziki msanii huyu mwenye kipaji cha hali ya juu alitushika kwa vibao vyake kadhaa kama ya nini...
2 Reactions
29 Replies
15K Views
Nashindwa nitaandika kuhusu huyu mwanamke, lakini mungu akikupa kipaji hakuna wa kukizuia kuonekana, wanasema dhahabu hata ikiwa kwenye moto ni lazima ing'ae tu, God bless this woman aendelee...
3 Reactions
56 Replies
13K Views
Kwa kawaida kwenye kesi za mapenzi za kupigana mwanamke ndio huwa anamshtaki mwanaume, mwanaume hata kama umedundwa inabidi utulie kimya inabakia kuwa 'Siri ya ndani' huo ndio uwanaume, sasa hii...
5 Reactions
49 Replies
6K Views
Nafurahishwa na namna King Kiba anavyowakimbiza katika tuzo zinazoendelea kupigiwa kura za NAFCA. I used to say always that "KIZURI CHAJIUZA NA MUDA NDO HAKIMU WA KWELI"
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Naona vijana wanaibuka kwa kasi kutengeneza kava badala ya kuutumia mda huo kutengeneza hits zao, huu ni uduanzi, kama kweli nyie ni wasanii si mtengeneze hits zenu? Yaani unakaa unaskilizia staa...
6 Reactions
44 Replies
6K Views
Hawa jamaa bana now baada ya diamond kutoboa wanajifanya ndio mameneja bora mbona hawa walishindwa wafikisha kufahamika hata hapo zambia tu Babutale ashawahi kuwa meneja wa Z Anto,mbdogg.gorilla...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Msanii madee ametamba kwenye wimbo wake mpya wa 'Migulu pande' kuwa anamiliki watoto wakali kama yule mtu wa Kale (I bet hapa anamzungumzia Le Mutuz na mabebez wake). Sasa out of curiosity...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom