Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Idd Mubarak Ndugu wote wa jf.......
2 Reactions
43 Replies
49K Views
Muimbaji huyo ambaye kwa sasa yupo chini ya label ya ‘LFLG’, ameiambia Clouds FM kuwa kwa sasa hawezi kuingilia ugomvi usiyomuhusu. “Wale ni wanawake kwa hiyo zile ni tofauti zao, siwezi kuingilia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Am just curious, haya mafuvu ya dhahabu na silver/diamond, au ndio ufreemason wenyewe??
2 Reactions
25 Replies
8K Views
Hivi kuna biashara gani ommy dimpoz anafanya ukiacha muziki, maana sioni huu muziki anaoufanya unaweza kumfanya atanue namna ile mara ibiza, mara spain kama anavyopost kwenye page zake.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Muziki ungekuwa uzuri, Feza Kessy angekuwa tajiri, neema za sheikh Kipozeo zipo. Tupa kule Dj Sinyorita..
1 Reactions
73 Replies
14K Views
Msanii wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji ameshare picha kadhaa kwa mashabiki wake wa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha jinsi anavyowajibika akiwa shambani kwake.
8 Reactions
75 Replies
17K Views
Haya jiko lishachukuliwa na mwenyewe jamani.....Alililililili.... She looks stunning aisee, Klynn alinidisappoint flani ila Nancy amewaka jamani. Mrembo wa Afrika katendea haki title hadi kwenye...
10 Reactions
212 Replies
59K Views
Toka nifike Dar es salaam kutoka Arusha, kitu kilichonishangaza na kuona kiinyaa ni tabia ya baadhi ya wanaume wa Dar kukaa chini na kuanza kudiscus mara sijui Wema kafanya hivi, mara Jokate...
13 Reactions
143 Replies
16K Views
Jipatie hapo mtu wangu wa nguvu VideoMPYA: Peter Msechu & Banana Zorro 'Mama' - MillardAyo.Com
0 Reactions
9 Replies
5K Views
jaman nimekuwa na mkanganyiko kutokana na historia ya mwanamziki yondo sister wengine wanasema alishakufa wengine yupo hai du nashindwa kuelewa wajama naomba mnisaidie historia nzima ya yondo...
1 Reactions
146 Replies
71K Views
Nilikuwa nafuatilia interview ya dudubaya kwenye kipindi cha mkasi s09e09 dudubaya kanifurahisha sana jamaa,hakika huyu ni stress free zone,yupo free sana kuelezea hisia zake huyu jamaa,hakika...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Naitizama documentary ya Jay Z inayokwenda kwa jina la Fade To Black najifunza mambo mengi sana na huwa siichoki kuitizama documentary hii ,lakini kinacho nivutia zaidi kwa Jay Z ni mapenzi yao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Weka Jina,Kazi,na Cheo chake. Note:Sio upande wa siasa tu! No.1 Dr.John P.Magufuli President of the United Republic of Tanzania. No.1 Edward Lowassa Former Prime Minister of URT. Nasib Abdul...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hivi yuko wapi siku hizi yule binti mrembo wa kuitwa Angie, aliimba nyimbo nyingi ila ninayoikumbuka na kuipenda ni MY BOO
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Elimu ukiitumia vyema inakupa macho ya ubongo kuona sehemu ambayo wengine hawawezi kuiona ,Elimu ni kitu kizuri kuwa nayo ni fahari sababu inakupa hazina ya maarifa pamoja na aibu ya kutunza...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Burudani ni sehemu kubwa ya maisha yangu napenda music kwa kiwango kikubwa sana na nafuatilia music kwa kiwango kikubwa sana sababu music ni faraja ya maisha yangu .Bongo flava siipendi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Millen Magese just might take home the award for the wackiest look of the night — there was WAY too much going on. From the pronounced sleeve to the bright neon hue to the fringe detailing on the...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Jaman mbona Aje ni bonge la hit hapa town? Kwanini jamaa hana show? Kama tatizo ni managment mbona ndo ile ile ya Jide na Jide anapiga show kibao?? Au mziki wake anatoa kisha anaingia kulala...
4 Reactions
50 Replies
7K Views
Kama siku tatu zilizopita nimesikia ujio mpya wa Young D. Kiukweli ni bonge la ngoma kwa mtazamo wangu lakini nashangaa haijawa habari ya mjini kama nilivyotegemea. Wajuzi wa mambo mkujeni hapa.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom