Baada ya kituo cha redio cha Swahili fm kurusha matangazo yake ya majaribio na kuonesha mafanikio ya hali ya juu,yaani kuweza kusikika kwa usikivu mzuri mpaka maeneo ya Pretoria na Cairo wakati...
Wahabari,Msanii Dogo Janja kwenye ngoma yake ya "my life" kuna mstari anaimba "Msomi Nikki wa Pili mii niliachaga Makongo".Wanajukwaa naomba kujua kisomo(fani aliyojikita ) cha Nikki wa Pili...
Habari zenu wakuu.
Wasanii wa Bongo wenye account za Instagram ambazo ziko verified wameongezeka kutoka watano (5) hadi wanane (8).
Wasanii hao na followers wao kwenye mabano ni...
Young D amekuja tena. Track yake ya "Hands Up" imetambulishwa jana mwisho wa mwezi (30 June).
Mistari yake ipo kawaida kwa mtazamo wangu, huwezi fananisha na track kama Kijukuu.
Ila kwakua kasema...
Msanii mdogo mwenye mafanikio makubwa aliyoyapata ndani ya muda mchache amekanusha habari zinazosambazwa na watu wasiompenda kwamba amekamatwa na poliisi. Akitolea maelezo suala hilo kutoka kwenye...
Mr. Blue amesema kuwa yeye ndio aligundua kipaji cha Ali Kiba na kuamua kumpeleka studio. Pia ameongeza na kusema kuwa alikuwa anavuta sana bangi ndio sababu kubwa iliyomfanya ashuke kimuziki...
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefungukia ugomvi ambao hutokea mara kwa mara na shosti wake ambaye pia ni muigizaji, Aunt Ezekiel usiingiliwe na mtu kwani wanapogombana tofauti zao...
Kuna dada mmoja nadhani ni video queen alikuwa akihojiwa na TBway leo katika kipindi cha 5Select cha East Africa ana macho flani hivi amazing, yaani soooooo sexy,those sleepy eyes of hers make her...
Afande Sele
Msanii wa muziki na mwanasiasa kutoka mji kasoro bahari, Afande Sele amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye hatarajii kuoa kwani bado yupo yupo sana ingawa anakiri wazi kuwa yupo na...
Young Dee amekanusha tena uvumi ulioenea mitandaoni kuwa anajihusisha na matumizi ya dawa za kulevya.
Akiongea kwenye kipindi cha Harakati cha Clouds FM kinachoendeshwa na Kalapina, rapper huyo...
IFUATAYO NI ORODHA YA WASHINDI KWENYE KILA KIPENGERE AMBACHOKILIKUWA KIKIGOMBANIWA
Best Female R&B/Pop Artist
Beyonce (WINNER)
Adele
Andra Day
K. Michelle
Rihanna
Best Male R&B/Pop...
NO: 10
SWALI: Tunasikia umeachana na mume ni kweli au uzushi?
JIBU : Hatujaachana niliamua kumuacha
SWALI: Kwanini umeachana/umemuacha mume?
JIBU : Nimemuacha kutokana na kuwa Ndoa...
Ukweli mie nakereka na mikogo ya huyu mtangazaji anapoanza kuripoti habari za michezo. Anaweza kulembalemba almost dak 2 kabla hajataja tukio lenyewe. Sina shaka na uwezo wake wa kazi ya kuripoti...
Ni baada ya kutoa video ya wimbo wake wa FAMOUS ambayo inaonyesha akiwa na watu kumi na 12 wako uchi.
Watu hao maarufu duniani waliopo kwenye video hiyo ni pamoja na Donald Trump, George Bush...
Bodi ya filamu Tanzania imeikataa script mpya ya video ya Chura ya Snura.
Mwezi na nusu uliopita, Wizara ya Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo iliifungia video ya wimbo huo na kumwagiza Snura...
Camron and Jay-Z awkward Interview on 106 and Park.
Cam must have really pissed off Jay. To-date, none of the diplomats are allowed or even have their songs played at the 40/40 and a few other...
Habari,
Ni masikitiko yangu makubwa kuikosa Tuzo hii ya kimataifa kupitia msanii wetu pekee na Brand ya Afrika mashariki.
Bila kupoteza muda
Na hizi ni sababu zilimfanya Chibu Dangote
1) Hakuwa...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye amefunguka sababu kubwa inayopelekea wasanii wengi kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya ni pamoja na wasanii hao kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.