Hear this hot gossip......according to insiders Zari is neither insecure about Wema Sepetu nor Kajala Masanja as many people think. According to a source from Diamond's team, Zari's insecurity of...
Kiingereza ni lugha inayotupa tabu Watanzania wengi na hakuna anayebisha kuwa kimekuwa kikitukosesha fursa nyingi za kimataifa au kujikuta tukiumbuka.
Rich Mavoko ni mmoja wao na amesema...
Msanii wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper, juzikati alinusurika kupigwa risasi kwenye kituo kimoja cha mafuta kilichopo Tegeta (jina linahifadhiwa kwa sababu za kipolisi) jijini Dar es...
Nuh Mziwanda Baada ya Kumpata mpenzi mpya amejikuta amerudia alilofanya kwa Shilole la Kujichora Tatoo Mkononi ya jina la mpenzi wake huyo mpya..
Nuh Amesema huyu wa sasa amekuja na gia kubwa...
Huyu dogo mi nimeanza kumskia muda mrefu sana, na ukweli ni kuwa nimemjua kupitia shilole..Lakini sikuwahi kuujua wimbo wake hata mmoja....
Lakini hii kitu mpya aisee naona inabamba sana...
Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather ameingia tena kwenye headlines kwa kuongeza ndege binafsi ya pili aina ya Gulf Stream III kwa madai kuwa moja haimtoshi katika matumizi yake binafsi na...
Msanii wa filamu na mjasiriamali Wema Sepetu amefunguka ya moyoni kutokana na namna mashabiki wake wa mitandaoni wanavyomchukulia na kumpa maneno ambayo muda mwingine yanamuumiza na kumkosesha...
Baada ya Maneno ya chini kwa chin kutoka kwa baadh ya watu kwamb hawa watu hawaiv Chungu kimoja...Kupitia Interview mbali mbali Diamond amekua akisema hana ugomvi na Davido mkali kutoka Nigeria...
Vita kati ya Mfalme wa Mitandao yote ya Kijamii Tanzania, Lemutuz dhidi ya mkewe (mtalaka?) ambaye anaishi huko New York City, USA,ime fikia pabaya :
"Le mutuz au baba...
Katika Naamka Concert wakati akiimba wimbo wa "siwema" kuna kale kamstari [emoji445] eti sababu yeye ni mzuri sana[emoji444] siwezi kupata mwingine kama yeye[emoji444] , jide akamalizia kichwa...
Nani ambaye alikuwa hayajui mahusiano ya Wema Sepetu na Diamond? Hakuna ila yalikuja yakazima ghafla kama mwanga wa mshumaa, kila mtu akaendelea na maisha yake lakini vita ya mashabiki wao...
PICTURE OF THE DAY: This Virgin Airlines employee was caught NAPPING on the office couch when his billionaire boss, Sir Richard Branson stopped by for a visit. But the boss said it was ok because...
Andaa macho na masikio yako kupokea wimbo mpya wa taifa kutoka kwa living legend Diamond Platinumz ft P square.
Wimbo ni mkali, kichupa cha mwendokasi. Kiukweli japo wimbo bado sijauskia na...
Huyu Jamaa alifungwa maisha baada ya kupatikana na hatia ya kuua ndugu zake 8, baba yake akiwemo, chanzo kikiwa ubwiaji wa dawa za kulevya(kwa mujibu wa Polisi). Mazingira mazima ya hii kesi ndio...
Hawa watangazaji ingekuwa vizuri sana kama wanapata mtu anayewaangalia kwenye suala la mavazi ingekuwa vyema. Ukimwona dada huyu kola ya jaketi alilovaa imekaa vibaya na ndo mtangazaji yupo hewani...
Mama la mama, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amedaiwa kunasa ujauzito wa mpenzi wake, Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,.
Taarifa hizo za ndani ya familia zimevuja ikiwa ni...
Habari zenu wakuu.
DIAMOND au ALIKIBA Unamkubali nani DIAMOND au ALIKIBA Ungependa kufanya kolabo na nani kati ya DIAMOND au ALIKIBA ..........Nyimbo za nani unazisikiliza sana kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.