Hayo ni maneni ya Salama Jabiri ambae amefukunga kuwa anatamani kuolewa na Ambwene Yasaya(AY),kwa aliyeona Kipindi cha mikasi nadhani atakuwa alisikia maneno hayo
Pengine ilikuwa ni utani...
Wadau mwaka jana wakati kama huu tayari Alikiba alikuwa amevunja rekodi kwa kutwaa tuzo nyingi zaidi kwa Mara moja toka aanze muziki! Hizi ni tuzo ambazo zimejizolea umaarufu mkubwa toka...
Mtangazaji wa diva kupitia twitter
Amembana mbavu Naibu Waziri Dr. Kigwangalla baada ya kulitolea tamko suala la Lady Jaydee na Gadner.
Ikumbukwe kwenye kipindi cha XXL, Diamond Platnumz...
Katika pita pita zangu nimekutana na uchafu wa Shishi baby.
Kiki kama hii haikutakiwa kupostiwa mwezi huu ambao waislamu ulimwenguni kote wapo kwenye toba.
BY CAPITAL LIFESTYLE
Bobby Brown was introduced to “heavy” drugs by Whitney Houston.
The ‘Every Little Step’ hitmaker – who was married to the ‘I Will Always Love You’ singer from 1992 to 2007 –...
Ndoa ya Mwana FA haikuwa ya kifahari lakini ilikuwa bora, yenye furaha na iliyochangamka kuliko nyingi alizowahi kuhudhuria Ommy Dimpoz.
Akizungumza kwenye documentary yangu maalum niliyoipa jina...
Msanii Alikiba amefunguka na kusema kuwa muziki hauna siri na muziki hauna tofauti kati ya mtu na mtu kwani unaweza kuwa una chuki na yeye lakini akiimba muziki mzuri ukapenda kazi yake na kuimba...
LICHA ya tetesi kuzagaa kuwa amerudiana na mpenzi wake, Idris Sultan, mtoto mzuri Bongo Muvi, Wema Sepetu kwa mara nyingine ametengeneza habari, amedaiwa bado anaendeleza uhusiano wa siri na staa...
Nimecheka sana, na hakika sitaikosa hii!
Leo Jumanne, saa 3 usiku sheikh Al-Habib Hilal Kipozeo atakuwa mgeni kwenye msimu mpya wa kipindi cha Bongo Movie (Take One, New Chapter) akizungumzia...
ukifatilia sana kwa wasanii wengi kujikuta wakiwa katika matatizo ya kuzidiwa na Unga na pia almost wengi kuingia huko wengi wao kwa kutokujua na wengine kwa kujua na mpaka kufikia kiwango cha...
Muimbaji mkongwe wa muziki nchini, Rehema Chalamila ‘Ray C’ Ijumaa hii amepelekwa Life and Hope & Rehabilitation Centre (Sober House) iliyopo Bagamoyo kwa ajili ya kusaidiwa kuachana na matumizi...
Wana Jf, salaam kwenu.
Binafsi napenda kukubaliana na kitendo cha Serikali kupiga marufuku wimbo wa CHURA. Lakini labda ningependa wadau mnisaidie kunifahamisha kama kimaadili kuna tofauti gani...
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’.
MKURUGENZI wa Kituo cha Kusaidia Waathirika wa Dawa Za Kulevya, Sober House, kilichopo Bagamoyo, Pwani, Karim Banji, amekanusha...
Leo kwa mara ya kwanza nimeshuhudia wimbo wa Sugu, Freedom ikipigwa kwenye TV ya Clouds kuashiria kumalizika kwa bifu kati ya wawili hao.
Kweli wanaume hawanuniani bali husameheana.
Tumezoea kwa wasanii wengi wa Bongo fleva / waigizaji (bongo move) kwa kuwajua kwa majina yao ya kisanii.
Wasanii wengi wamekuwa wanatumia kifupi cha majina yao halisi, ila wengine wanakuwa...
Mwanamuziki kutoka nchini Burundi, Kidumu, amefunguka kwa kusema kuwa watu wengi ikiwamo Wakenya wanadhani kwamba yeye ni Mtanzania kutokana na kuonyesha uwezo mkubwa wakuimba kwa lugha ya...
Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.