Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kiki ndio kila kitu hapa mjini, wasanii na watu wengi hapa Bongo wamekua maarufu kutokana na Kiki au Skendo zinazosambazwa kuwahusu wao. Wapo waliofanikiwa hadi maisha yao kua mazuri kutokana na...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Msanii maarufu wa miondoko ya kufoka/kurapu Rashid Abdallah Makwiro al maarufu kama CHID BENZ amejiunga rasmi katika lebo ya Wasafi Classic Baby WCB mchana Iliyo chini ya mwanamuziki machachari...
5 Reactions
58 Replies
10K Views
Baada ya kupost picha akiwa na Mwana FA baada ya kuoa na kuandika maneno yanayoashiria naye hivi karibuni atafuata nyayo za Mwana Fa, Dully Sykes ameruka viunzi na kusema hana mpango wa kuvuta...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amenasa ujauzito. Ujauzito huo ni wa aliyekuwa mumewe, Sadifa Juma, mbunge wa Jimbo la Donge, Visiwani Zanzibar ambapo kitendo cha mimba hiyo kuwa ya...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Video iliyowekwa na TMZ imemuonesha staa huyo akitoka kwenye hoteli aliyokuwa amefikia na kukutana na mtu aliyeonekana kumrushia ngumi nyepesi. Bieber alicharuka na kuanza kumrushia makonde jamaa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nipo hapa naangalia mechi ya Tanzania vs Misri, nikaamua kubadili channel na kuweka Clouds ndio nakutana na tamasha la wala chips Dar linafanyika Mbagala zakheem Maana ya hii siku ni nin...
3 Reactions
32 Replies
8K Views
Puff dady, Pdidy, dirty money or badboy aliongea hivi kwenye sherehe ya mtoto wake akigraduate
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu, poleni na mfungo. Kama mtakumbuka, siku chache zilizopita nilitoa angalizo kuwa matumizi mabaya ya fedha ya kijana wetu Diamond yanaweza kupelekea nyota huyu kufilisika na kujikuta...
8 Reactions
80 Replies
13K Views
Habari wanajamvi? Tofauti kati mwanadamu na viumbe wengine ni kuwa na ubongo unaoweza kupambanua mambo. Nimpongeze sana msanii wa kizazi kipya anaejulikana kama Diamond Platnums kwa kuwa balozi...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Huwa najaribu kusikiliza na kutazama kazi mbalimbali za wasanii hapa Bongo lakini nimegundua kabisa kuna wasanii wengi wanaokuzwa kuliko uwezo wao, na mmojawapo ni Ali Kiba Huyu bwana mdogo...
11 Reactions
98 Replies
10K Views
Mama yake Wema Sepetu, Mariam Sepetu amefunguka na kueleza jinsi anavyoumizwa na stori za uongo kuhusu mwanae ambazo zimekuwa zikiandikwa katika magazeti ya udaku. Akizungumza katika kipindi cha...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
TMM = Too Much Money, pia amtambulisha mtoto wake kuwa ni mcheza tenis bora wa baadaye. Msanii huyu mwenye fedha nyingi anasapoti sana watoto wake kwa kuwapa michongo kwenye kampuni zake mwenyewe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa zilizopo ni kwamba Mwana FA leo anachukua jiko. Hongera sana Hamis tunaomba utoe nyimbo nyingine sasa ya kusema umeshaoa no bado nipo nipo no more.
4 Reactions
107 Replies
31K Views
Wanajamvi naomba tusaidiane hapa maana labda umaskini wangu ndo unafanya nishangae
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Mwanamuziki Christina Grimmie, amepigwa risasi na kufariki katika tamasha Orlando Marekani, muuaji pia amejiua. Huyu dogo wamemuua Mapema aisee..wangemuachaacha kidogo. Sijui kwa nini vizuri...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Meneja wa WCB alisema ''Wasanii wa WCB wanapenda wanawake waliowazidi umri kwa sababu...) Naskia uwoya mkali, wanasemaga shishi asali #Natafutakiki Yule Ngapepe Sukari ya vijana aka Mario...
3 Reactions
72 Replies
23K Views
Miezi michache baada ya wanandoa Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na Gardner Gabriel Fikirini Habash kutalikiana kwenye Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar, mwanaume huyo amemuanika ‘mtu wake’...
2 Reactions
85 Replies
17K Views
Kufuatia video aliyoipost mtangazaji Diva kwenye mtandao aliyokuwa akidendeka live na mpenzi wake GK, Diva amefunguka kuwa hayo ni maisha yake na kitu kinachompa furaha mno. Diva ameenda mbali...
1 Reactions
43 Replies
10K Views
JANA DIAMOND PLATINUM ALIJIREKODI NA KURUSHA HI VIDEO MITANDAONI
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom