Wakuu,
Kwa macho yangu,
Naona huyu mtangazaji wa kipindi cha Genge cha E_F.M radio anayejiita #Kicheko analandana sana na yule
#Masawe_Mtata aliyekuwa kwenye kikundi cha Ze_Comedy ya EATV,
hasa...
Baada ya Tuzo za kora kudorora tuzo pekee zenye hadhi kubwa zaidi kwa upande wa africa ni MTV na B.E.T...
Hivi karibuni Tanzania tumeweza kupata muwakilishi wetu kwenye hizo tuzo zaidi ya mara...
Msanii mahiri wa filamu Elizabeth Micheal ‘Lulu’ amerudi chuoni na kuamua kuchukua kozi ya Telecommunication engineering.
Muigizaji huyo ameweka wazi anachosomea baada ya mashabiki katika mtandao...
Jamani tuwe wa kweli, huyu kijana ana juhudi ya kazi na nasikia ni msomi wa hivi vyuo vyetu vya kata, lakini hana kipaji cha utangazaji jamani.
Anajaribu kuiga ma cow boy wa movie za kimarekani...
Ki ukweli habari za michezo hususani za Tanzania sio mfuatiliaji sana . Ila huyu jamaa ananivutia kuziangalia kila siku kutokana na sauti yake ya kipekee na vijimisemo vyake anaporipoti.
Hemed...
Sanaa ni biashara ipaswayo kulipiwa kodi kisheria lakini kwa muda mrefu imekuwa treated kama srctor isiyo rasmi.Kuanzia July this year wajiandae kucomply na matakwa ya kisheria kwani sasa ni...
Tarehe 28/6 mwaka huu zinaenda kutolewa tuzo za BET ambazo Bongo tunawakilishwa na Diamond platnumz! Na hichi ndicho kinacho tufanya Tuzifuatilie sana Hizi Tuzo! Millard Ayo yupo Naye...
Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya cha bongofreva nadhani utaelewa, ila kama si mfuatiliaji basi kaa mbali maana hapa itakuwa ni lugha gongana
Kuna wasanii kibao hapa bongo na wana...
Wakati wapenzi na mashabiki wa Tanzania sweetheart beautiful Onyinye, Wema Sepetu wakifurahi na kushangilia mimba ya Wema na boyfriend wake Idris, pia maswali kadhaa juu ya nani aliyempachika...
BAADA kuwa katika mahusiano kwa muda mrefu nyota wawili katika tasnia ya filamu Bongo Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hansy , Chuchu anafunguka kwa kusema kuwa mpenzi wake huyo yupo mbioni kubadili...
Kwanza nikiri kabisa katika moja ya mtanzania ninaye mkubali Diamond kwa kazi anazozifanya ni mimi apa.Jamaa amekuwa balozi mzuri sana kwa nchi yetu,ameipeperusha vyema bendera katika sekta ya...
Wadau habarini,
Ndugu yetu kitaifa yupo huko kwa wazungu, ila kashaanza kutusumbua na wimbo wake wa #boranibakipekeyangu ft. Hayati Papaa Wemba kwa kifarasa sijui presuko sheo nini sijui.
By the...
Diamond Platnumz anafuata nyazo za Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50
Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones.
Mabibi na mabwana, Diamond anawaletea ‘Chibu Beats.'...
Rapper Young Dee hatimaye amethibitisha tetesi za miaka mingi kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya na kukiri kuwa ametumia kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu.
Akiongea na waandishi wa habari...
Good news kwa Diamond platnumz na mpenzi wake Zari wamezichukua Headlines leo June 23 2016 kupitia kituo kikubwa cha kimataifa MTV Base wameripoti kuhusu kuwa wawili hao kutarajia kupata mtoto...
Wakuu mwenye taarifa za huyu mkali wa hip pop hapa bongo tujuzane,terry ni miongoni mwa mc 3 waliokuwa wanaunda kundi la hard blasters crew,wengine ni nigger j sasa prof j,big willy na yeye...
Dr Dre, y'all know the name. Does it get any more iconic? doubt it.
The man's said to be responsible for a million great things; Easy-E's, Ice Cube's, the N.W.A's, The D.O.C's, the Death Row's...
Kupitia kipindi cha #FNL kinachorushwa na EATV siku ya Ijumaa, msanii Diamond Platinumz aliahidi kuna tukio kubwa atafanya siku ya J'tatu. Na leo hii ametimiza ahadi hiyo baada ya kumkabidhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.