Mwanamuziki machachari kutoka pande za kenya ,akothee amefunga ndoa kwa mara ya pili huko nchini south Africa na mzungu ambaye bado hajajulikna ni wa nchi gani.
Katika bara la Afrika.Nigeria ndio inayoongoza kwa uchawi na vitendo vya kishirikina.Wasanii wakubwa, wafanyabiashara, wacheza filamu, watumishi wa Mungu, wanasiasa, watu maarufu nchini Nigeria...
Mkurugenzi na mtangazaji kutoka redio ya watu wako tayari kabisa kufunga harusi siku yoyote kuanzia wiki ijayo. Harusi hiyo iliyopewa jina la harusi ya watu inatarajiwa kuwa kubwa Tanzania kuliko...
Nimegundua wasanii wa bongo(wenyewe wanajiita mastaa) wengi wao wananunua followers instagram ili waonekane wanakubalika katika jamii. Imegundulika hata hao followes ambao wananunua wengi wao ni...
Leo katika Kipindi cha Top 20 cha Clouds FM sijui nini kilimfanya Mtangazaji wa kipindi hicho kumuuliza Dyna Nyange kama anamfahamu Kala Jeremiah, lakini cha Kushangaza Dyna Nyange akasema hamjui...
Habari wakuu,
Millard Ayo amepost picha yake kipindi bado anaanza maisha. Kusema ukweli imenigusa sana na ni mfano wa kuigwa, anakumbuka alipotoka na anatuonyesha sisi vijana kwamba mafanikio...
Huu ni ushauri kwa Msanii mkongwe wa miondoko ya kuchana chana kama wanavyoda watoto wa mjini.
Umekaa kimya muda mrefu sana nakupa wazo rudi tena studio na uzirudishe nyimbo zako za zamani...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama mwananchi nimesikitishwa sanaaa, sanaa kukosekana hii tuzo ila huu mwezi mtukufu, unafiki dhambi, mimi kama Lara kubwa la...
Hayahaya.......mapenzi yamejaa mambo, asikwambi mtu! We kwani ulijua wamepigana nini, ngumi? Walaaaa!!! Wamepigana mabusu tu wenzako... mabusu motomoto. Tena wala sio hivi karibuni, ni siku...
Wakati sisi mashabiki wa Almasi tukisumbua kwenye mitandao ya kijamii tukiamini tumeitawala Afrika kufuatia colabo ya msanii wetu kipenzi na Neyo, msanii ambaye kwa sasa ni 'zilipendwa' kule...
Hallo wandugu nimepita kijiwe flani nimekuta watu wanabishana eti kati ya dijaro arungu wa tbc fm na millard ayo wa clouds fm nani mkali kama radio presenter mm binafsi nikaona ni millard mkali...
Ok ok okay naona Best International Act Africa ameshatajwa toka jana, here are my thoughts on BET.
BET naona wameprove kuwa label za nje haziwezi kusimamia muziki wa Africa. Kwa mara ya pili...
Suge Knight anamshtaki mwanamuzki mwenza wa R& B Chris Brown mahakamani pamoja na mmiliki wa kilabu moja ya usiku nchini Marekani kufuatia ufyatulianaji wa risasi uliotokea katika kilabu hiyo...
Kampuni ya Mawasiliano nchini Vodacom Tanzania imeingia ushirikiano wa kibiashara na mtangazaji Millard Ayo. Millard na Vodacom wameingia makubaliano hayo mapema mwezi Juni mwaka huu na jana...
Mbongo movie anayewakilisha vyema kwenye sanaa na mahusiano na anayemalizia kuandika kitabu chake kipya kinachoitwa AINA ZA WANAUME NA TABIA ZAO huenda akaolewa tena mwishoni mwa ramadhani lakini...
Tusubiri kuiona na kuisikia nyimbo tuliyokuwa tukiisubiri kwa Takribani mwaka Mmoja sasa! Ni ile collabo ya Diamond aliyowashirikisha akina Psquare leo inaachiwa! Na yeye anasema kwenye kucheza...
Jana kwenye clouds tv wametoa majina kumi ya wasanii wenye mafanikio Bongo kwenye muziki na filamu. Majina ni kama ifuatavyo.
1. Mzee Yusuf
2. Lady Jay dee
3. Kanumba
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.