Ninapata mashaka na capability yake ya kiungozi, anajinasibu kama mtetezi wa sanaa lakini upande wa pili kuna harufu mbaya ambayo nimeanza kuihisi, Nyie mfatilieni tu mtajua nyendo zake, kwa sasa...
Nimeliona hili na nikaona si mbaya kushea na wanajamii!!
Tanzania tumebarikiwa vipawa vya wanabongofleva vya kutosha na maridhawa kabisa!! Tumekuwa na wanamuziki wazuri hasa na kwa uchache...
LAS VEGAS — The newly crowned Miss USA is a 26-year-old Army officer from the District of Columbia who gave perhaps the strongest answer of the night when asked about women in combat.
"As a woman...
Man Fongo na Shollo Mwamba ni watu walio jipatia umaarufu kupitia singeri uliza bodaboda yeyote atakwambia
Sembe Tembele,Hainaga Ushemeji,Achia bodi,Tekenya,Hauna ni baadhi ya Singeri ambazo daaa...
Habari wanachama wa JF.!!
Katika pitapita yangu ya pages za wasanii wa bongoflavor ambao ni WAISLAMU sijaona angalau post inayohusu kuhukaribisha MFUNGO WA RAMADHANI.
Mfano wa msanii/wasanii...
Huyu dogo alishinda tuzo ya "Airtel Talent" pale Nairobi Kenya na baadae akapata offer ya ku-record wimbo na Akon. Kabla ya hapo alikuwa ameimba na Mr Blue.
Kwa sasa "single" yake...
Jambo limezua jambo! Baada ya hivi karibuni barua yenye ujumbe mzito kukutwa kaburini kwa aliyekuwa staa wa sinema za Bongo, marehemu Steven Kanumba, limezuka jipya ambapo kitu kilichopo kaburini...
Mama Nasibu Athibitisha kwa Maneno haya
Muda si mrefu sana toka Zari na Diamond Platnumz wamepata mtoto wao wa kwanza kwa jina TIFFA
Kupitia mtandao wa Instagram Mama wa Diamond Platnumz...
Habari wakuu.
Nilikuwa nazunguuka mitandaoni nikajikuta nimetokea kwa Instagram ya DIAMOND na kukuta video ikimuonyesha kaweka vito vya thamani kwenye meno sasa mimi sijui kama ni dhahabu,almasi...
Mara nyingi huwa nikiandika uzi, nikianza tu na kichwa cha habari mfano nianze na neno "Wema Sepetu"...Basi zitakuja post kibao zenye kumzungumzia huyo mtu..Si yeye pekee, ni wengi...Lakini...
Katika harakati za Ney wa Mitego kuonesha mali zake ambapo juzi ametuonesha gari lake aina ya Murano lenye Thamani ya Milion 36, jana ameonyesha nyumba yake mpya yenye thamani ya Mil 170 ambayo...
Hii ngoma ni mbovu kuliko Rich alivyowahi kuimba miaka ya nyuma....Ngoma iko too flat haina rise and fall ya sauti!
Wakastuka kuwa haito kiki faster faster wakatoa video yake on spot! Mbaya zaidi...
NJEMBA mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, juzikati aliwashangaza watu baada ya kulazimisha kudendeka jukwaani na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘V-Money’.
Tukio...
Nimepata nafasi ya kuisikiliza ngoma ya Jay Mo "Super Man" inaitwa PESA YA MADAFU. Mo kaamua kubadilika na kwenda kwenye trap beat.
Ni vizuri ila me naona amepoteza ile ladha ya Jay Mo halisi...
Kila mtu leo anatambua kwamba WizKid ndio msanii bora Africa ushahidi ni one dance ya Drake ambayo leo inasumbua Billboards ambayo kamshirikisha wizkid
Ila followers wa wizkid hawafiki milioni...
Mnyange na mfanyabiashara wa vipodozi jijini Dar es salaam amempongeza her American counterpart kwa kuweza kutumia bidhaa zake za midomo.Hali hiyo ilitokea baada ya Kim kuweka picha yake kwenye...
Kijana ni mchapa kazi and very analytical sikujua kwamba sio kilaza pia...uende mbali ndugu...................
Mpiganaji Spencer Lameck akiwa mzigoni mara baada ya kumalizika kwa mahafali ya...