Msanii wa filamu, Wema Sepetu, ameweka wazi kwamba hutumia shilingi milioni 1.2 kwa ajili ya kutengeneza nywele zake kwa wiki moja.
Pia hutumia Sh 30,000 ya chakula kwa siku na kama atanunua na...
Kuna habari mesikia mahali kuwa Kiba ameomba Watanzania wampigie kura Chibu, Baba Tiffah, Nasibu Abduli, Diamond Platinumz, kwenye tuzo Fulani za kimataifa, kwenye Kipindi cha Planet Bongo cha EA...
Muigizaji Wema Sepetu kupitia account yake ya Instagram ameonyesha nia ya kumuombea kura mpnz wke wa zaman Diamond Platimumz kwa kuandika maneno kadha japo hakumtaja
kwa jina wala kuweka picha...
Ukinitoa Mimi tu humu na baadhi wawili watatu hatumo kabisa katika huo mkumbo wa " UMBEA " ambao umewakumba members wengi humu juu ya SAKATA zima lililokuwepo hapo kabla.
Ni kwamba wiki mbili...
Mazungumzo ya kuwapatanisha Birdman na Lil Wayne yamegonga mwamba, imebainika. Wiki hii video ya Wayne akiidiss Cash Money imesambaa mtandaoni.
Mazungumzo hayo yalikuwa ni kumaliza madai...
Leo majira ya 13:50 kwenye kipindi cha XXL cha clouds fm.mtangazaji B12 ametangaza kwamba kesho kutakuwa na special day for the late Albert Mangwea.
Kilichonishangaza ni je kwa nini wasanii...
Miezi michache tu baada ya staa wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuripotiwa kutoka na msichana anayejulikana kama Chaga Baby, hivi sasa yupo na mrembo raia wa Ethiopia...
Nafurahi sanaa kuona wale watu ambao ni wageni kwenye Music wanafanikiwaa!! Ray na Harmonize kwa show wanazopiga sahizi hakika hawatamsahau Diamond,airtime wanayo ipata sahizi hakika hawato msahau...
Kama mmoja wa watu waliovutiwa na comedy za hawa jamaa niliowataja hapo juu, nimejaribu kutafuta taarifa zaidi za kuwahusu kupitia google na kukuta nachanganyikiwa baada ya kuona sura tofauti na...
Habari,
Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.
Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo...
Mwaka huu Beyonce ametengeneza vichwa vya habari duniani si tu kwa kushtukiza tena kwa album mpya ‘Lemonade’, bali kwa jinsi alivyoamua kuitumia kuelezea kwa mara ya kwanza skendo ya muda mrefu...
Katika hali isiyotegemewa nimeona Mh sugu aka kinega akiwa a me post katika ukurasa wake wa insta kuwa leo ijumaa atafanya ziara Cloudsmedia group. Tuseme clouds ndiyo empire hawamshindwi yeyote?
Ujumbe huu ni wa kwako Wema Abrahamu Sepetu.
Hii si hali ya kawaida. Kama ni kweli anatumia madawa ya kuongeza makalio kama tetesi zilivyo, basi hali imefikia pabaya.
Video hii inasikitisha...
Nahisi ugeni wa mambo ndo unachangia kwa mwenye uelewa na hii tuzo anaweza kutwambia inahusu nini?
Maana naona Insta kumechafuka sanaaa ni Diamond na Mkandaa huu alio shindaa,ukiendaa huku...
Baada ya kuvunjika kwa tamasha la T.I, Mei 25 kwenye ukumbi wa Irving Plaza, New York baada mtu mmoja kufyatua risasi na kusababisha mauaji ya mtu mmoja [Ronald MC Phatter.] na kujeruhi watu...
Katika Mahojiano yake na Waandishi wa Kampuni ya New Habari(2006) Ltd,Wema Sepetu anaanza kwa kusema
"Nilipokuwa na uhusiano na Marehemu Kanumba,nikiwa naishi na wazazi wangu,niliwaza kama...
Chid Benz amedaiwa kutoroka sober house baada ya kukaa muda wa mwezi mmoja, watu waliokuwa wanamuangalia wanasema inawezekana alikuwa hajazoea kukaa kufungiwa kila mara ndio maana akaondoka lakini...
Nimesikitishwa na kushangazwa sana kuona radio Hii,
Tena iliyopo jijini Dar Kuwa na watangazaji wabovu kama hawa.
Hadi mgeni Jide kawaona kituko.
Jionee hapa