Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kuna bifu kubwa sana limeibuka kati ya msanii wa Wasafi Harmonize na team Wema baada ya Harmonize kutoa freestyle yenye maneno ya kumkashifu Wema Sepetu. Kijana Harmonize mpaka sasa anaoga...
7 Reactions
107 Replies
21K Views
Ile TV series inajulikanayo kama Empire Katika msimu huu ambao ni msimu wake wa 3 hatimae Mtanzania ambaye pia ni muimbaji aishiye Marekani katika jiji la Chicago dada yetu Kokugonza ameshiriki...
5 Reactions
30 Replies
10K Views
Hawa si walikuwa na bifu!!!
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau haya twende kazi nani unayemuona zaidi ya mwingine kati ya mpoki na joti matangazo ya mitandao ya vodacom na Tigo, Mi kwangu mpoki kwenye hili tangazo la vodacom la "Hapa kasi tu"jamaa...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakati wadau wa muziki wakifahamu kuwa msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwilo ‘Chidi Benz’ yuko katika kituo cha kusaidia waathirika wa madawa ya kulevya‘sober house’ kilichopo Bagamoyo...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Nimetoka kutazama akaunti ya instagram ya Shilole anatoa maneno mabaya kwa Vanessa. Mashabiki wanahisi anamshambulia Vanessa Mdee japo hajanyoosha maelezo. Nilichokiona sijawahi kukiona...
5 Reactions
144 Replies
44K Views
Ninaomba msaada wenu hapa kwa hii caption je? Maigizo ama wanahimiza Ndoa za Jinsia moja? Me nacheck hii movie sasa nipate tafakuri na nyie mnipe mawazo yenu.
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Wanajamii Radio E-FM imemuajiri bwana Mpoki (mchekeshaji maarfu) kama radio presenter wao wa kipindi kinachoanza saa 10 jioni hadi saa 12 kinaitwa Ubaoni uyu jamaaa namkubali ni comedian mzuri tu...
2 Reactions
56 Replies
11K Views
Naomba msome hii hapo chini maana mimi naona huyo mwanamke ni chizi.Kweli unataka wanawake watumie private parts zao kama asset.
1 Reactions
113 Replies
17K Views
Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa Diamond na brand kubwa ya radio na tv Clouds Fm, bifu la hadharani. Hii ni kutokana na media hiyo kutopost chochote kuhusu Diamond kwa muda sasa ikiwemo hata...
5 Reactions
70 Replies
19K Views
Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile...
9 Reactions
122 Replies
23K Views
Nimemsikiliza huyu mwanadada kwenye interview na Diva… Aisee nimejiuliza anapoendaga huko kwenye nchi za watu huwa anaenda na mkalimani au? Kizungu kimemchanganya mpaka kaomba kwenda kulala. Na...
3 Reactions
84 Replies
12K Views
1. Afande Sele vs O Ten Hawa wote ni vijana kutokea Mkoani Morogoro kwa kirefu walishawahi kati beef ambayo kwa kiasi flani ilikuwa gumzo 2. Dudubaya vs Mr Nice ugomvi kati ya Dudubaya na Mr...
0 Reactions
136 Replies
33K Views
Ukiingia conference room ya ikulu utakutana na hii picha ya Nasib Abdul almaarufu Diamond Platnumz.
4 Reactions
77 Replies
28K Views
Hatuna budi kuwapongeza wasanii hawa mashuhuri katika Tasniaa ya uchekeshaji kwa mafanikio makuu wanayoyapata. Sasa hawa ni mfano wa kuigwa ni watu walio makini na kutunza majina yao (Image and...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Hivi ni msanii gani wa kike Bongo movie ana movie zake zinauza sana? Kila siku nasikia wanajiita bongo muvie lakini sioni wakitoa hizo movie..... Zaidi ya kusikia huyu kampata yule na yule...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ameandika haya instagram "I don't know about these award shows.. No disrespect to anybody at any of the shows or the people running it. Nothing but love for you guys and your support. But I don't...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mapenzi ya kijana wa WCB anaeitwa Harmonize na mlimbwende Wolper sasa yamekuwa hadharani.
1 Reactions
82 Replies
21K Views
Kama ilivyo kwa kichwa cha habari hapo juu nimejaribu kufikiria sana kuhusu hili swala na nikaona ni tatizo kubwa sana Kwanini wasanii wa THT ambao wanavipaji na wanafundushwa namna ya kuwasaidia...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom