Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Charlotte Hill O'Neal a.k.a. Mama C, namfahamu kama black panther,ebu muone jinsi alivyopendeza mama wa watu
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Juzi nilitamani nimtafute Ali na kumpongeza personally kwa kuwataka watu wampigie kura Dee sababu niliona sasa angalau wasanii wetu wameanza kukomaa na kuacha mambo ya kitoto! Ni kitu kizuri na...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakati msanii Ali Kiba hajaweka bayana mkataba wake na Sony unagharimu kiasi gani,huko majuu msanii Adele amevunja rekodi kwa kusaini mkataba wa gharama zaidi kuwai kutokea duniani. Hii...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
MASTAA wawili wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Gift Stanford ‘Gigy Money’ wamejikuta wakiingia kwenye mtifuano mkali baada ya kutoleana maneno machafu. Ishu ilianzia kwa Gigy ambaye alisema...
2 Reactions
34 Replies
11K Views
Kwanza niseme tu ukweli, Mimi kipindi ninachosikiliza Clouds Fm ni XXL tu na terminal cha Abela na Harisi. Vingine vyote naona havinivutii kabisa. Sasa ni hivi. Hiki kipindi cha XXL kwa wale...
3 Reactions
75 Replies
12K Views
STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Chura’ juzikati akiwa kwenye shoo iliyofanyika Masasi, Mtwara alijikuta katika wakati mgumu baada ya kunusurika kupigwa na mashabiki wake kisa kikiwa ni...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakubwa natanguliza shukurani kwenu wote na kuwapa sifa tele kwamba mmekuwa msaada tosha kwa jamii katika mafundisho na hoja zenu humu Hoja yangu kuhusu huyu mtangazaji na mwandaaji wa makala za...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Binafsi mimi ni msikilizaji wa city fm radio ya dar es salaam,wanakipindi chao cha michezo kila siku kuanzia saa moja hadi saa mbili,katika hiko kipindi kuna mtangazaji mmoja hivi anasauti nzuri...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Hassan Mobeto. MAPENZI ya mjini utata mtupu! Ni kauli inayostahili kutumika baada ya mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Hassan Mobeto kumwaga chozi akidai...
3 Reactions
35 Replies
22K Views
Nijikite Madani. Bila Shaka watu wengi humu tuna mkubali sana mwanamziki Huyu nguli wa miondoko ya r n b ndani ya bongofleva. Huyu Ni kati ya wasanii wakubwa waliofungua uhusiano mzuri wa kimziki...
9 Reactions
63 Replies
13K Views
Huwa najiuliza itakuwaje siku Alikiba akiambiwa atoe japo speech ya Dk 10 kwa kiinglish sijui itakuwaje. Kama kunamtu kashawahi kumuona au kuna video ya Alikiba akiongea katika interview zaidi...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Msanii wa Kimataifa Alikiba aliye label moja ya Sony na wasanii wenzake Chris brown, John Legend, Beyonce, Davido etc. Leo hii amendelea kuchukua headlines kama Donald Trump wa Marekani, baada ya...
9 Reactions
41 Replies
7K Views
Mwanamuziki Nasibu Abdul maarufu Diamond Platnumz amekuwa ni msanii pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kutajwa katika orodha ya wasanii watakaowania tuzo za BET 2016. Tuzo za BET mwaka huu...
8 Reactions
105 Replies
91K Views
Habari zenu wakuu, Kama ilivyo katika kichwa cha habari hapo juu, kama wewe ni mmoja ya wapenzi/watazamaji wa filamu za ngumi, basi kwa upande wa bongo huwezi kumwacha nguli huyo mwenye uwezo...
1 Reactions
27 Replies
20K Views
Msanii wa RnB kutoka Amerika maarufu kwa jina la Ne-yo amewasili leo jijini dar kwa ajili ya kupiga sho
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwanamuziki Sheta amesema kwamba kutokana na ratiba yake kuwa ngumu hapendi kukutana na watu na hata sasa amehama Kijitonyama chanzo Clouds sasa hivi
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Pasipo na ubishi wala kuteteleka hili ni jambo zuri ever...baada ya Msanii Mkubwa kumtaka msanii mwenzake ambaye naye ni Mkubwa aje...nijambo jema! Nahisi huu ugomvi wale waliokuwa wananufaika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom