Wabunge wawili vijana wanaoheshimika na jamii ya Bongo Fleva, Joseph Mbilinyi (Sugu) na Joseph Haule (Profesa Jay) na wakali wa Hip Hop wa muda wote Tanzania, wamekiri kuwa ilikuwa ni kilio chao...
Uzi huu ni maalum kuwatambua wasanii wanaoimba katika matangazo mbalimbali kwenye redio na luninga zetu bongo. Huwa yanavutia sana kwa sauti za kupendeza. Napenda kuwafahamu walioimba matangazo...
Wimbo mpya wa Gnako na Niki wa 2 umewafanya waharibu image zao kwenye jamii
Wimbo mara ya kwanza walimfata Nisher kutengeneza video baada ya kumaliza kushoot kabla hawajamlipa wakasema haiko poa...
Back in the day, The "New York king" Notorious Big, said some disrespekful about Bay-area's Emperor, E-40. Apparently, Big had an interview with this magazine, where he was asked to rate...
Tickets za VIP zimekwisha
Unaweza kuendelea kununua tickets za 20,000/= kupitia vituo vifuatavyo
OMGift Shop Dar Free Market
Shear Illusion Mlimani City
American Nails Salon Kinondoni
Na...
kwako wewe lemutuz akili ndogoz ambaye uzalendo ni pale kunapikuwa na mazuri ya ndomo tu..shame on you wote mnaoponda msichoelewa
Alikiba Becomes the Second African Artist to Sign a Global Music...
Aliyewahi kuwa mtangazaji wa Clouds FM, Fina Mango, amevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia jana, akiwa nyumbani kwake na familia yake.majambazi hayo yapataya 8, yalivamia na kuchukua pesa taslim...
Hatimaye mtangazaji wa Clouds Fm, Gardner G. Habash amemjibu aliyekuwa mkewe, Lady Jay Dee, aliyemtaka aombe radhi ndani ya siku saba kwa kauli aliyoitoa iliyodaiwa kuwa imelenga kumdhalilisha...
Kiuno kama Ray c,pozi kama JD
Ndo mana wahenga wakasema kosea vyote ila usikosee kuoa au kuolewa matokeo yake ndo tunayaona kwa jide ni dhairi kabisa kwamba Gardener alikuwa...
Kwa sisi tunaojua muziki tunaelewa ila kwa wale die hard fans hii kitu hawawezi kuielewa,kwanza hiyo habari ya alli kiba kusainiwa sony mi sioni kama ni ngeni maana kumbuka kipindi wamefanya ngoma...
Watu wapekuzi sana...kumbe wimbo wa lady jay Dee ndindi ni wimbo wa watu....https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1200573386629315&id=100000299950223
==========UKWELI=========
Msanii wa bongo fleva Nasib Abdul maarufu kama Diamond ameendelea kujizolea tuzo kila pembe ya dunia kwa kazi anayoifanya ya music kupenda na wengi apewa tuzo ya kutambua kazi yake ya mziki leo...
SONY SIGNED ARTIST ROSE MUHANDO RELEASES A VEVO CERTIFIED VIDEO
Taking gospel music to new heights, after being signed by Sony and being a day away from her album launch (scheduled for 15th of...
Kutokana na fununu zilizozagaa kuwa kwa sasa Gigy Money anatoka kimapenzi na msanii Matonya ambaye ana mke Gigy amefunguka kuwa kwa sasa anatoka na Matonya pia na sio big deal, japo ana mke...
MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba ambaye amehamishia makazi yake nchini Denmark kwa mumewe , imebainika kuwa kilichomfanya aolewe na mzungu huyo ni kutokana na kufuata masilahi na siyo mapenzi ya...
hizi habari zimezagaa if it is true CONGRATULATION MUMY umewakata ulimi wenye kiherehere; i am so proud of you; utakuwa role model kwa wanawake wengi wa kitanzania wanaonyanyasika kwenye ndoa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.