Msanii wa filamu na Mama wa mtoto mmoja aitwae Sasha, Faiza Ally amedai hajawahi kufanya kutoka kimahaba na mtanzania yeyote toka aachane na aliyekuwa mume wake Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kwa madai...
Msanii wa filamu, Vincent Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni ametimkia nchini Rwanda baada ya kualikwa nchini humo kwa ajili ya kuandaa filamu maalum ambayo itashirikisha wasanii wa Tanzania na Rwanda...
Ukiuzungumzia mziki natural basi ni ule mziki ambao ni mzuri masikioni. Siku hizi ni wachache sana wanaoweza kutoa nyimbo bila video na bado zikapendwa. Miongoni mwa hawa wachache basi Ali Kiba...
Baada ya Jay Z kumsaliti Beyonce mashabiki wameandaa kampeni ya kumuombea msamaha.
Ni baada ya albamu ya Beyonce ‘ Lemonade’ kuweka wazi kuwa Jay Z aliwahi kumsaliti na mwanamke aliyemtaja kwa...
Keyshia Cole amempata baba yake wa kumzaa.
Muimbaji huyo wa R&B aliyeasiliwa na marafiki wa familia yao, Leon na Yvonne Cole akiwa na umri wa miaka miwili tu, amekutana na baba yake huyo baada ya...
MUUZA sura kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Giggy Money’ amefunguka kuwa mtangazaji maarufu Bongo wa Clouds FM, Gardner G. Habash hachomoki kwake na hadi sasa wako kwenye uhusiano wa...
Napenda kutumia jukwaa hili kumshauri msanii diamond, na hii tabia yake ya kudhani kuwa yeye nyumbani kwake kwenye upande wa media ni kituo cha clouds tu, siwezi jua moyoni mwake anasukumwa na...
Kuna uzi ulianzishwa jukwaa hili ukimfagilia kwa umbo la kiafrika mdada/ mshangazi Babe Kabae ambaye ni mtangazaji wa Clouds Tv. Sijawahi kumuona akiwa amesimama, ila hata akiwa amekaa unaona kwa...
Msanii chipukiza kutoka lebo ya WCB wasafi Harmonize ameingia kwenye mapenzi na mrembo wa bongo muvi Jackline Wolper, walianza mahusiano wiki kadhaa zilizopita kwa siri kubwa.
Mashabiki wa pande...
Wanawake wote ambao hawana watoto.
Wanawake wote walioachika na wanaume wao.
Wanawake wote wenye stress.
Wanawake wapenda mipasho.
Wanawake waliozaa wakatelekezwa ambao mjini ndio wengi hasa...
Mkali wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego amefunngua kuwa ingawa asilimia kubwa ya ngoma zake zinazofanya vizuri ni zile ambazo inaonekana amediss watu live kwa kuwataja majina lakini katika maisha...
Nimehesabia Collabo ambazo Diamond anatarajia Kuzitoa na wasanii wakubwa nje ya nchii ila nimechoka! Sasa Naomba mseme na hii picha!
Oyooo nomaa nomaa nitakupigia nitakupigia baadaee!
Ommy Dimpoz ametaja sababu kubwa ya kumuweka mpenzi wake wazi ni kupunguza kasi ya wasichana wanaomwinda.
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Ommy Dimpoz...
Kuna tetesi za mahusiano ya mapenzi kati ya Harmonize wa Diamond na tajiri mwanadada Hudda Bosschick wa Kenya , na hata ukipitia akaunti ya Hudda ya insta anamsifia sana Harmonize , hii ni...
Star wa Bongo fleva Diamond Platnums amekanusha vikali juu ya stori zilizozagaa kuwa mpenzi wake Zarina ama mama Tiffa anachepuka na Ivan huku yeye akichepuka na video Quuen wa Ketu ya Raymond...
May 13 2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017. Katika kipindi cha kupokea michango...
Kupitia Gazeti la Makorokocho leo mezani tumepata story ya muda mrefu ya penzi la siri kati ya Ommy Dimpoz na Jokate aka Kidoti.
Stori hii ilivuja baada ya beef la chini kwa chini kati ya Jokate...
Star wa bongo movie na bongo fleva kutoka Bongo Hemed PHD a.k.a Fernando Papi ametamka wazi kuwa anapenda kutoka kimapenzi na mijimama kuliko wasichana wembamba.
Akizungumza na Enewz Hemedi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.