Inafuraisha kuona wasanii wetu sasa wanaelewa thamani yao na kupambania stahiki zao kwa utaratibu wa kisheria.
Hatimae Mahakama ya hakimu mkazi Ilala imeiamuru kampuni ya mawasiliano Tigo...
Akihojiwa na gazeti la Mtanzania baada ya kuahirishwa kwa kesi yake ya ubakaji inayomkabili, amedai kuwa Flora ndiye anayejua ukweli wa nani baba wa mtoto aliyejifungua hivi karibuni.
Ameongea...
Mwimbaji gwiji wa muziki wa TAARAB asilia kutoka Zanzibar wa kundi maarufu duniani lenye miaka zaidi ya 105 Nadii Ikhwaan Safaa (Malindi Musical Club), Bi Fauzia Abdallah, amefariki dunia...
Izzo busness, Stamina, Country boy, Quick rocka, Baba levo, Ali kiba, Nuh mziwanda, Gigy Money, Shetta na Kimbunga mchawi..
Sasa nimeanza kuamini kauli ya nguli wa muziki wa Hip hop, Juma...
Awali nilitaka hoja hii kuiweka katika jukwaa la Great Thinker nikaona sina fursa hiyo..hope mods wanaweza kuweka huko.Tujadili kama watu wasio na mihemuko
--------------------------
Kwa maoni...
Mke wa rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete amevitaja vitu anavyovipenda kufanya akiwa nyumbani.
Akifanya mahojiano na waandishi wa habari wa Clouds Media...
Kwa jinsi movi inavyoendelea kati ya Ndindindi na Jide.. Inabidi komando atoe remix ya wimbo huo Ndindindi ameshirikishe True boy ili aweze kumchana vizuri Ndindindi mana komando hampi makavu live...
Video queen ambaye haishiwi vituko, Gigy Money amefunguka kwa kusema kuwa yeye siyo mtu wa kupenda kufanya mapenzi kama watu wanavyodhani.
Akizungumza na Bongo5, Gigy amesema maisha aliyopitia...
Tufahamu hapa, maana huku mtaani watu hadi wanashikana mashati. Ipi ngoma kali hapo na nani kamfunika mwenzie ktk tungo, beat, video, swag, sauti.. n.k.
Tumalize ubishi hapa.
Mimi kura yangu...
2002 Miss TZ
2003 Miss TZ
Je wameshaolewa na wana familia zao? Maana sijasikia skendo zao hawa mabinti....! Au ile ELIMU waliyoipata pale UDSM imekuwa very useful to them kuweza kujitambua...
Star wa Tanzania Diamond platnumz ni miongoni wa mastaa 3 wa Africa waliopata shavu la kufanya show kubwa zaidi nchini Marekani kwa wasanii wataotoka Africa kwa mara ya kwanza.
Wizkid, mr flavour...
Ni wasanii wa kike wanaokonga Nyoyo huku sauti zao zikisadikiwa kuweza hata kumtoa chura alikojificha. baadhi ya hit single zao ni
DAYNA NYANGE(NYAMA NDOGO)
1.mafungu Nyanya
2.Nivute kwako
3.i do...
hawa ni producers wa mziki waliofanikiwa kutengeneza hit single kitaifa na kimataifa
TUDD THOMAS
1.Number one remix-diamond ft Davido
2.Ndagushima-Ommy dimpoz
3.Make me sing-Diamond ft AKA...
Picha za Harusi ya Aunty Ezekiely Aliyofanyika Huko Dubai , Wengi Walikuwa na Shauku ya Kumuona Mume wake baada ya Aunty Kumficha kwa Muda Mrefu ...Haya Sasa Kudume Ndio Huyu Hapo Kwa Picha...
Ripoti kutoka mitandaoni zinasema kuwa Muheshimiwa Mbunge Sugu Amemzawadia Gari aiana ya Toyota Lexus kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wake ajulikanae kama Happiness, Sugu na mpenzi wake...
mwenye kujua chochote kuhusu hili kundi yaan linaundwa na akina nani?? wote ni maprodyuza?? hit singe walizotoa au walizoshirikishwa ama chochote unachokijua kuhusu hili kundi tiririka
Mshindi wa shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan amesema ameanza kuingiza faida kutokana na uwekezaji aliyoufanya baada ya kutoka kwenye shindano la hilo ambalo lilimpatia zaidi ya Sh500...
Binafsi naamini yahaya itafunika tarehe 20 mwezi wa tano kwa kuwa muhusika bwana Yahaya kashatambulika na anajijua, mtalimbo wake Jide kashatwambia umelala na hautainuka mpaka mwana wa Adam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.