Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Hivi yule binti Gardner anayezunguka naye viwanja usiku ana tofauti na huyu binti yake? Au watu wakimfanyia hivyo binti yake atajisikiaje?
10 Reactions
183 Replies
56K Views
Kuna uwezekano mkubwa, AY na Mwana FA wamefungua kesi ya masuala ya ukiukwaji wa haki miliki za kazi zao. Mwanasheria maarufu nchini, Alberto Msando amepost picha Instagram akiwa kwenye...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Daaah!!Nimejistukia tu na-tune Clouds Tv,nikakutana na kipindi cha "TAKE ONE" cha Zamaladi,huyu mwanamke Faiza kweli zimefyatuka kidogo.Yaani mambo anayoongea unaona kabisa kuna fyuzi zimekata...
5 Reactions
113 Replies
24K Views
Ndani ya siku kadhaa zimeshatoka nyimbo kibao na bado zinakuja wasanii kwasasa inabidi wajipange kabla hawajaachia nyimbo zao. Ujipange kuanzia promo redioni na kwenye Tv pamoja na mitandao ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za jpil wapendwa?? Kuna watu ambao walikuwa ni wabunifu na wapo safi sana katika shughuri zao.nazungumzia watangazaji na madj ambao walijizolea umaarufu sana ila kwa sasa hawajulikani...
4 Reactions
60 Replies
12K Views
Kuna wasanii hapa wana beef na redio hasa clouds fm,kwangu mimi naona ni ujinga sana msanii kuweka beef na chombo cha habari na mwishowe wanatugawa tu mashabiki wao.harafu unakuta beef zenyewe eti...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama unajua muziki utaelewa ninachomaanisha, ila kama hujui basi hutaelewa kamwe, hao wasanii watatu nadhani ndio wasanii wabovu kabisa hapa Tz, hawajui kuimba kabisa. Hao ni wasanii wa...
2 Reactions
52 Replies
10K Views
Habar za sikukuu?? Natumain mmesherekea vema ...Mimi nmekua mpenz wa kusikiliza nyimbo za FALLY IPUPA na zaid namkubali jamaa sana. ...sasa mda mwingi nyimbo zake anantaja YASMIN NA KATI YA...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
UNAWEZA usiamini lakini ukweli ndo huo...Jide majuzi ya tarehe 5 na 6 aliomba watu WAKE wa karibu kutafuta watu ili wamsaidie kupendezesha VIDEO ya wimbo wake mpya wenye maneno ya kinyago...
3 Reactions
194 Replies
23K Views
Mwanamuziki nguli kutoka nchini Marekani NE-YO ambaye amekuwa akitamba kwa muziki ya mahadhi laini, anatarajiwa kuwasili nchini Mei 19 kwa mwaliko wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Utasikia Jason Deluro ndio kaiga [emoji23][emoji23][emoji23]
6 Reactions
36 Replies
6K Views
Mzee majuto ambaye amejipatia umaarufu sana kwa uigizaji hususani katika Comedy ametoa kauli rasmi kuwa kwa sasa ameamua kuachana na kazi hiyo ya uigizaji na sasa kumtumikia Mungu na kuomba...
3 Reactions
48 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu. Kwa sasa sio jambo la ajabu kwa msanii wa TZ kuwa na usafiri,ila kilichonishangaza kwa msanii Harmonize kwa kipindi kifupi tu kuweza kumiliki gari aina ya Mark X ina maana...
4 Reactions
26 Replies
10K Views
Kuna Watu walikuwa na vipaji kwenye ulimwengu wa muziki hasa WA kikongo. Kuna jamaa alikuwa anaitwa diblo dibala alkuwa mpiga solo getter maarufu Sana. Hata hvyo baadaye akatokea kijana mwingine...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwenye uwezo wa kunipa mawasiliano ya dada Saida Karoli pls, Kuna project anahitajika Sana yule mama
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimesikiluza kipindi cha joto la asubuhi E-fm. Hakika PJ na Hando wameanza vyema na kipindi chao. Mchanganyiko wa Abel Onesmo na Adela umevutia sana.
10 Reactions
84 Replies
12K Views
Jaman embu muangalieni tu... Hizo hela na bado zinaingia kila mwezi ....daah..haya.
2 Reactions
72 Replies
11K Views
Nyota wa muziki wa Rap Bongo ‘Rhymes Of Magic Attraction’ Roma amethibitisha fununu za kuwa muziki anaoufanya umekua ni msalaba mzito kwenye maisha yake. Akizungumza na eNewz Roma alisema kuwa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom