Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Bongo ina wasanii wengi sana, kati yao 90% hawajui muziki kifupi ni wabovu akiwemo Diamond ila wanapendwa kupita maelezo, na 10% wanajua muziki kifupi ni wakali akiwemo Rama dee na Steve wa RnB...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
Davis Mosha ambaye aliyekuwa mgombea Ubunge Moshi mjini kupitia CCM 2015, afungua studio yake. Hii ni kwa mujibu wa ukurasa wake wa Facebook. Tunaomba wenye taarifa zaidi watujuze masafa ya...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Forbes wametoa orodha mpya ya wasanii wa hip hop wenye fedha zaidi, The Forbes Five. Diddy ameongoza orodha hiyo mwaka huu kwa kuwa na utajiri ufikao dola milioni 750. Nafasi ya pili imekamatwa na...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Chama cha Lembebezz Akili kubwa Instagram (LAKI) leo kimejikuta katika vita kubwa ya hela baada ya kugombania kununua picha ya King of all social media bongo,vita hiyo ilianza baada ya king huyo...
11 Reactions
73 Replies
11K Views
Kwenye ile thread ya tetesi za Diamond na Shetta kuzinguana kisa madai ya Diamond kumtafuna mke wa mshikaji, kuna member humu alifunguka vilivyo kuhusu mke wa Shetta kuliwa sana na Diamond pande...
1 Reactions
31 Replies
9K Views
Msanii wa vichekesho na muimbaji, Kingwendu amesema angependa kuwa na msimamizi wa shughuli zake katika sanaa ya muziki ili aweze kutoka badala ya kutegemea uchekeshaji peke yake. Msanii wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Beyonce na Jay Z waliamua kufanya uamuzi wa pamoja wa kuzusha tetesi za kuachana kwa lengo la kutengeneza pesa. Uamuzi huo ulihusisha kuuza kopi nyingi za Album mpya ya Beyonce #Lemonide yenye...
7 Reactions
52 Replies
8K Views
Bondia mwenye jeuri ya pesa Mayweather amechoma pesa hadharani $100 kwa kiberiti,mbele ya wapqmbe wake huku akishangiliwa na wapambe Pembeni akiwa amezungukwa na warembo waki-massage massage...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Heshima kwenu wakuu, Hii video ya Snura ya Wimbo wa Chura anarukaruka, ikitoka tu naomba ifungiwe. Mkishaifungia mumpige msanii marufuku ya kujihusisha na Muziki kwa Miaka mitatu. Hatuwezi...
19 Reactions
154 Replies
41K Views
Picha hii inasemekana ndilo kaburi atakapozikwa mwanamziki Maarufu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kwa jina la Papa Wemba. Huu ni zaidi ya ufahari, lakini mimi naona hauna maana..
2 Reactions
39 Replies
18K Views
Kuna tetesi kuwa sebo hakufurahishwa na ujio wa gerad hando na pj pale E. fm na kuona atafunikwa kwenye kipindi cha joto la asubuh akaamua kusepa hizi tetes ni za kweli? au ni stori za kitaa?
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Masoud Kipanya amerejea tena Clouds FM baada ya kupita muda mrefu takribani miaka minane tangu aondoke. Mchoraji huyo maarufu wa katuni ya Kipanya, anasikika kwenye kipindi cha asubuhi cha Power...
15 Reactions
43 Replies
13K Views
PRINCE tragically died last week, and has left a $300 million fortune without a will. The star’s has two ex-wives, no children and a string of half-siblings, so who’s going to get his $300 million...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ebwana wanaJF Mzuka! Nimeshangaa kusoma mda si mref kwenye mtandao kwamba mwanamzik maaruf dunian miondoko ya Pop Prince (Si maanish huyu wakwetu aliyetubania wa kaskazin) kifo chake...
2 Reactions
76 Replies
11K Views
Ni ile ile ishu ya kumdhulumu Mr Blue wimbo wake freedom, hizi ni kick za kujisafisha kupitia vipindi mbalimbali vya runinga. Last week alikuwa FNL, leo yupo Beatz Agenda!
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kanye West 'fired security guard just before the Met Gala because he tried to talk to his wife Kim Kardashian' And Kanye West has allegedly fired a security guard after he caught him trying to...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Dudu Baya amemtaka Shetta kuacha kutumia jina la ‘Mamba’ kwani hiyo ni ‘aka’ yake ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka mingi. Akizungumza na Bongo5...
2 Reactions
86 Replies
16K Views
Nadhani ni kutojua muziki na ushamba ndio unatusumbua wabongo wengi. Kwanza niwafunze kitu wote hapa leo, iko hivi: Shabiki hutakiwi kuwa unamshabikia msanii hadi unajiita team fulani, muziki sio...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mhusika Mkuu katika filamu ya “Imebuma” Bw. Eliasa Mkaly (Rashidi kisoda) akimbembeleza muigizaji na mtayarishaji wa filamu hiyo Bi Sarah Nyika (Asha Mauno) mara baada ya Bodi ya Filamu Tanzania...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya wimbo wa ‘Freedom’ kufanya vizuri kwenye media mbalimbali, Sugu anajipanga kuandaa shindano litakaloshindanisha nyimbo itakayoizidi wimbo huo. Siku kadhaa zilizopita baada ya Sugu...
5 Reactions
51 Replies
6K Views
Back
Top Bottom