Juzi nilitamani nimtafute Ali na kumpongeza personally kwa kuwataka watu wampigie kura Dee sababu niliona sasa angalau wasanii wetu wameanza kukomaa na kuacha mambo ya kitoto! Ni kitu kizuri na...
Wakati msanii Ali Kiba hajaweka bayana mkataba wake na Sony unagharimu kiasi gani,huko majuu msanii Adele amevunja rekodi kwa kusaini mkataba wa gharama zaidi kuwai kutokea duniani.
Hii...
MASTAA wawili wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Gift Stanford ‘Gigy Money’ wamejikuta wakiingia kwenye mtifuano mkali baada ya kutoleana maneno machafu.
Ishu ilianzia kwa Gigy ambaye alisema...
Kwanza niseme tu ukweli, Mimi kipindi ninachosikiliza Clouds Fm ni XXL tu na terminal cha Abela na Harisi. Vingine vyote naona havinivutii kabisa. Sasa ni hivi.
Hiki kipindi cha XXL kwa wale...
STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Chura’ juzikati akiwa kwenye shoo iliyofanyika Masasi, Mtwara alijikuta katika wakati mgumu baada ya kunusurika kupigwa na mashabiki wake kisa kikiwa ni...
Wakubwa natanguliza shukurani kwenu wote na kuwapa sifa tele kwamba mmekuwa msaada tosha kwa jamii katika mafundisho na hoja zenu humu
Hoja yangu kuhusu huyu mtangazaji na mwandaaji wa makala za...
Binafsi mimi ni msikilizaji wa city fm radio ya dar es salaam,wanakipindi chao cha michezo kila siku kuanzia saa moja hadi saa mbili,katika hiko kipindi kuna mtangazaji mmoja hivi anasauti nzuri...
Mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Hassan Mobeto.
MAPENZI ya mjini utata mtupu! Ni kauli inayostahili kutumika baada ya mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Hassan Mobeto kumwaga chozi akidai...
Nijikite Madani.
Bila Shaka watu wengi humu tuna mkubali sana mwanamziki Huyu nguli wa miondoko ya r n b ndani ya bongofleva. Huyu Ni kati ya wasanii wakubwa waliofungua uhusiano mzuri wa kimziki...
Huwa najiuliza itakuwaje siku Alikiba akiambiwa atoe japo speech ya Dk 10 kwa kiinglish sijui itakuwaje.
Kama kunamtu kashawahi kumuona au kuna video ya Alikiba akiongea katika interview zaidi...
Msanii wa Kimataifa Alikiba aliye label moja ya Sony na wasanii wenzake Chris brown, John Legend, Beyonce, Davido etc. Leo hii amendelea kuchukua headlines kama Donald Trump wa Marekani, baada ya...
Mwanamuziki Nasibu Abdul maarufu Diamond Platnumz amekuwa ni msanii pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kutajwa katika orodha ya wasanii watakaowania tuzo za BET 2016.
Tuzo za BET mwaka huu...
Habari zenu wakuu,
Kama ilivyo katika kichwa cha habari hapo juu, kama wewe ni mmoja ya wapenzi/watazamaji wa filamu za ngumi, basi kwa upande wa bongo huwezi kumwacha nguli huyo mwenye uwezo...
Pasipo na ubishi wala kuteteleka hili ni jambo zuri ever...baada ya Msanii Mkubwa kumtaka msanii mwenzake ambaye naye ni Mkubwa aje...nijambo jema! Nahisi huu ugomvi wale waliokuwa wananufaika...