Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ni mchezo upi huo? Usemi huu ulianza baada ya EFM kuwapora watangazaji wawili wa Clouds FM, Gerald Hando na Paul James kabla ya wao nao kuporwa mtangazaji wao, Gardiner G Habash. Na sasa movie...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Baada ya msanii wa Bongo fleva Snura Mushi kufunguka kuwa hajawahi na hafikirii kutoka na msanii wa Bongo Fleva Pasha amuumbua. Akizungumza na Enewz Pasha alisema kuwa yeye alishawahi kuwa na...
3 Reactions
15 Replies
6K Views
msanii Belly ametoa video yake inayoitwa Zanzibar. kama kweli BASATA wanafanya kazi kihalali basi hii video haitapigwa Tz ila kama nao wanafungia tu mavideo kupata kiki kwenye media basi waiache.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ile channel maarufu ulimwenguni kwa habari moto moto za wasanii wakubwa Marekani E! kinatarajia kumuonyesha Diamond Platinumz na wasanii wengine wakubwa wa Africa kama Mafikizolo, Wizkid, D'banj...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Diddy is corny tho, he coulda staged it.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naam salama humu? Iko hivi.Mimi ni mfuatiliaji wa entertainment hapa bongo. Ila hili swali nimekuwa nikilikosea jibu lake.Je chanzo nn? Pesa, mziki, umaarufu, au kuna mtu kala za chembe (mtaani...
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Video ya Ali Kiba mpya sijaiona ila kwa kweli ni video mbaya mbaya sijapata kuona. Ikitoka kazi yangu itakuwa ni kuikosoa tu.
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Msanii Noorah amefiwa na mkewe kwa ugonjwa wa kifua kilichombana hadi kuwekewa oxygen. Wakati huo huo Noorah mwenyewe anaumwa kichwa yupo kwao Shinganya kwa uangalizi maalum. Rip Shem.
0 Reactions
141 Replies
41K Views
Yule mdada anayeusaka umaaufu kwa nguvu, ametoa nyimbo akimshirikisha msanii Matonya, wimbo unaitwa Supu. usikilize hapa
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection Madee amefunguka na kueleza ni kwanini wasanii wengi wa muziki wa Hip Hop nchini wanashindwa kufanya vizuri licha ya nyimbo zao kupendwa mitaani...
2 Reactions
75 Replies
12K Views
Leo na ni muda huu yupo Clouds Fm kwenye XXL anafanya mahojiano,nimeshangaa kumsikia jamaa anasema "Ujue mimi nina watoto watatu wa mama tofauti". Kumbe wenye watoto wengi na kila mtoto na mama...
3 Reactions
41 Replies
10K Views
Msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu amefunguka na kusema kama wasanii wa filamu nchini wana wakati mgumu kutokana na changamoto mbalimbali zinazoikabili tasnia hiyo ya...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Habari za uhakika zilizotufikia ni kwamba mwanamuziki wa bongo flava hapa nchini Baraka De Prince amemtambulisha rasmi mke wake mtarajiwa Najma kwa wazazi wake huko jiji Mwanza. Hongera Baraka...
2 Reactions
96 Replies
18K Views
Fella amedai pesa za milioni 50 za Kayumba alizoshinda kwenye BSS amenunulia gari na zilizobaki akaanza ujenzi ambao ataumalizia akipata pesa za show.
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Binti machozi alitoa siku saba kwa aliyekuwa mwandani wake kumuomba radhi hadharani vinginevyo sheria itachukua mkondo. Mdau aliyepata kilichojili baada ya siku saba kupita hebu tujuze nini...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Yule nguli wa muziki kutoka mji kasoro bahari, Mfalme pekee wa rhymes, anayependa kujiita simba dume, Selemani Msindi au Afande Sele ameama kuachana na uisilamu na sasa Mungu wake ni jua Amedai...
9 Reactions
180 Replies
27K Views
Wakazi wa kanda ya ziwa mko tayari!, Vodacom inakuletea tamasha la aina yake tarehe 21 May 2016 - Jembeka Festival litakalofanyikauwanja wa CCM-Kirumba.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wasanii wa filamu wanaounda kampuni ya RJ Company, Brandina Chagula ‘Johari’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ wanajiapanga kuingia kwenye biashara ya kuandaa tamthilia ambazo zitakuwa zinaonyeshwa katika...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni karibu wiki moja sasa toka Ali Kiba atoe wimbo mpya Aje. Lakini cha kushangaza wimbo umezinduliwa nje ya nchi na unachezwa huko karibu wiki nzima huku washabiki wake wa bongo wakiendelea...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…