Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii wa filamu na Mama wa mtoto mmoja aitwae Sasha, Faiza Ally amedai hajawahi kufanya kutoka kimahaba na mtanzania yeyote toka aachane na aliyekuwa mume wake Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kwa madai...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Msanii wa filamu, Vincent Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni ametimkia nchini Rwanda baada ya kualikwa nchini humo kwa ajili ya kuandaa filamu maalum ambayo itashirikisha wasanii wa Tanzania na Rwanda...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Ukiuzungumzia mziki natural basi ni ule mziki ambao ni mzuri masikioni. Siku hizi ni wachache sana wanaoweza kutoa nyimbo bila video na bado zikapendwa. Miongoni mwa hawa wachache basi Ali Kiba...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Baada ya Jay Z kumsaliti Beyonce mashabiki wameandaa kampeni ya kumuombea msamaha. Ni baada ya albamu ya Beyonce ‘ Lemonade’ kuweka wazi kuwa Jay Z aliwahi kumsaliti na mwanamke aliyemtaja kwa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Nyimbo ya Rap inaitwa #Skies pakua hapo chini na utoe maoni yako; www.audiomack.com/song/rapstarblaze/skies-og-open-your-eyes
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Keyshia Cole amempata baba yake wa kumzaa. Muimbaji huyo wa R&B aliyeasiliwa na marafiki wa familia yao, Leon na Yvonne Cole akiwa na umri wa miaka miwili tu, amekutana na baba yake huyo baada ya...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
MUUZA sura kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Giggy Money’ amefunguka kuwa mtangazaji maarufu Bongo wa Clouds FM, Gardner G. Habash hachomoki kwake na hadi sasa wako kwenye uhusiano wa...
0 Reactions
76 Replies
26K Views
Napenda kutumia jukwaa hili kumshauri msanii diamond, na hii tabia yake ya kudhani kuwa yeye nyumbani kwake kwenye upande wa media ni kituo cha clouds tu, siwezi jua moyoni mwake anasukumwa na...
7 Reactions
59 Replies
6K Views
Kuna uzi ulianzishwa jukwaa hili ukimfagilia kwa umbo la kiafrika mdada/ mshangazi Babe Kabae ambaye ni mtangazaji wa Clouds Tv. Sijawahi kumuona akiwa amesimama, ila hata akiwa amekaa unaona kwa...
5 Reactions
45 Replies
19K Views
Hizo pesa kwanini asiwasaidie yatima
10 Reactions
252 Replies
30K Views
Msanii chipukiza kutoka lebo ya WCB wasafi Harmonize ameingia kwenye mapenzi na mrembo wa bongo muvi Jackline Wolper, walianza mahusiano wiki kadhaa zilizopita kwa siri kubwa. Mashabiki wa pande...
2 Reactions
90 Replies
24K Views
Wanawake wote ambao hawana watoto. Wanawake wote walioachika na wanaume wao. Wanawake wote wenye stress. Wanawake wapenda mipasho. Wanawake waliozaa wakatelekezwa ambao mjini ndio wengi hasa...
16 Reactions
204 Replies
22K Views
Mkali wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego amefunngua kuwa ingawa asilimia kubwa ya ngoma zake zinazofanya vizuri ni zile ambazo inaonekana amediss watu live kwa kuwataja majina lakini katika maisha...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Nimehesabia Collabo ambazo Diamond anatarajia Kuzitoa na wasanii wakubwa nje ya nchii ila nimechoka! Sasa Naomba mseme na hii picha! Oyooo nomaa nomaa nitakupigia nitakupigia baadaee!
1 Reactions
40 Replies
8K Views
Ommy Dimpoz ametaja sababu kubwa ya kumuweka mpenzi wake wazi ni kupunguza kasi ya wasichana wanaomwinda. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Ommy Dimpoz...
3 Reactions
59 Replies
8K Views
Kuna tetesi za mahusiano ya mapenzi kati ya Harmonize wa Diamond na tajiri mwanadada Hudda Bosschick wa Kenya , na hata ukipitia akaunti ya Hudda ya insta anamsifia sana Harmonize , hii ni...
0 Reactions
39 Replies
11K Views
Star wa Bongo fleva Diamond Platnums amekanusha vikali juu ya stori zilizozagaa kuwa mpenzi wake Zarina ama mama Tiffa anachepuka na Ivan huku yeye akichepuka na video Quuen wa Ketu ya Raymond...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
  • Closed
May 13 2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017. Katika kipindi cha kupokea michango...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Kupitia Gazeti la Makorokocho leo mezani tumepata story ya muda mrefu ya penzi la siri kati ya Ommy Dimpoz na Jokate aka Kidoti. Stori hii ilivuja baada ya beef la chini kwa chini kati ya Jokate...
3 Reactions
527 Replies
56K Views
Star wa bongo movie na bongo fleva kutoka Bongo Hemed PHD a.k.a Fernando Papi ametamka wazi kuwa anapenda kutoka kimapenzi na mijimama kuliko wasichana wembamba. Akizungumza na Enewz Hemedi...
2 Reactions
45 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…