Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kwa habari nilizopenyezewa Dodoma kumetokea hali ya kutisha baada ya Diamond kupanda jukwaani na mashabiki kuchanganyikiwa na kuanza kukanyagana. Naambiwa watu walikuwa wengi sana kwenye show...
2 Reactions
85 Replies
14K Views
Ilinichukua muda kiasi kumuelewa huyu chalii, si uongo. Kwa upande wangu Mshkaji hana mpinzani kwa hawa kizazi kipya. He got the contents, techniques to deliver, determination, genuine intent, and...
9 Reactions
48 Replies
5K Views
LICHA ya tetesi kuzagaa kuwa Wema amerudiana na mpenzi wake, Idris Sultan, mtoto mzuri Bongo Muvi, Wema Sepetu amedaiwa bado anaendeleza uhusiano wa siri na staa wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy...
3 Reactions
21 Replies
9K Views
Staa wa Bongo Movie, Wastara Juma ambaye siku za karibuni aliomba talaka kutoka kwa mume wake amefunguka na kusema yeye sio mtu wa kujiuza, bali ni mtu ambaye anajijali na kujitunza. Wastara...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Hii ngoma kiukwel ni hatar mno na kideo chake ni balaaa tupu.....Big Up Baba Qaillah!....Naona Jamaa katumia mkwanja mrefu sana kuandaa video ya wimbo huu ila ninachojiuliza hii kaz itamlipa vip...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Imekuwa kawaida sana Ali kiba Kabla ya kutoa nyimbo zake huvuja mapema,Amepanga kuitoa Nyimbo yake mpya ya Aje kesho pamoja na video yake ikiianzia Mtv lakini bahati mbaya nyimbo tayari watu...
1 Reactions
81 Replies
15K Views
Ni wasanii wenye sauti na Melody nzuri ...baadhi ya nyimbo zao BANANA ZORRO 1.mama 2.Pressure 3.Nzela 4.Zoba CHRISTIAN BELLA 1.Mama 2.nakuhitaji 3.msaliti 4.nashindwa Nani zaidi??
0 Reactions
18 Replies
3K Views
DJ Khaled anafahamika kwa kuwa mtu anayeongea sana lakini si pale anapokuwa mbele ya Beyonce. Mkali huyo anazunguka na Queen Bey kwenye ziara yake ya Formation. Ameliambia gazeti la The New York...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
"Hapa ndipo palikuwa nyumbani kwetu Tandale nilipozaliwa kulelewa na kujifunzia Muziki hadi leo kufikia hapa.... napaHeshimu, Napapenda, napathamini na Daima hata niende wapi lazima nirudi maana...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Msanii wa anayetikisa kwa sasa Dar ya Makonda Gigy Money amefunguka leo kwenye Planet bongo ya East Africa radio kwamba ameshatembea na Ali Kiba, Rich Mavoko na Hemed PhD kwa nyakati tofauti na...
11 Reactions
181 Replies
72K Views
kiukweli kijana wetu katsha sn n baada ya kutua bungen na kushangiliwa na wabunge wa pande zote mbili bila kujali itikadi ya vyama vyao... nafkir ndio msanii wa kwnz nchin kupata mapokez ya nguvu...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Anauliza huyu bint mrembo Irene Uwoya yuko wapi kwa sasa?? Au ndio yuko bize kujipanga na Ile ubunge tuliotangaziwa na 'bonge la bwana ' pale uwanja wa taifa..??
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Aisee hii hata mimi nilipitwa nayo ama kweli mimi mapenzi basi nimeyavulia Shati akuu mapenzi sio ubondia bora nijitoe Leo akihojiwa na Diva clouds Fm Mziwanda amekiri kuwa Madee alitembea na...
6 Reactions
63 Replies
11K Views
Binti wa miaka 19 anadaiwa kuspend one night on the same bed na Hayati Papa Wemba amekua gumzo kwenye mitandao ya kijamii ndani na nje ya Congo(D.R.C) akidai kuwa na ujauzito wa Mfalme huyo wa...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Video Queen na msanii wa filamu Tanzania, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameweka wazi kuwa yupo tayari kucheza picha za ngono endapo atapata mshiko wa maana. Gigy amesema kwa kuwa anatafuta fedha ya...
3 Reactions
145 Replies
62K Views
Picha ya Gigy Money na Mtangazaji Gadner G Habash Yazua Utata.... Mrembo Gigy Money Anaesifika kwa Bongeo la t***o Bongo ameweka picha kwenye page yake ya Instagram na kuandika maneno haya...
6 Reactions
183 Replies
49K Views
Hali inaonekana sio shwari kabisa kwenye family ya nguli wa music tanzania. Kimbunga kikali Kilichosababishwa na mapenzi ya wawili (zari na diamond )kinaonekana kikiipiga vilivyo familia hii na...
5 Reactions
59 Replies
14K Views
Nguli wa muziki AY tunajua umeachia wimbo remix na superstar wa sasa Diamond platnumz, tunaomba utumie nafasi hiyo kuwakutanisha hao wadogo zako Diamond na mtaalam wa melody Alikiba ili...
2 Reactions
94 Replies
13K Views
haongei sana, ila anafanya sana, Big up Ben Paul,
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…