Habari zenu wakuu.
Tasnia ya muziki inakuwa TZ na namna ya wasanii wetu kuingiza kipato inapanuka zaidi, kwani kwa sasa makampuni yameweza kuwaamini wasanii kuwa wanaweza wakawa ni njia mojawapo...
Habari wanajamvi, mimi ni mdau mpya katika uwanja huu, huwa ninafuatilia yanayoendelea hapa kila ninapopata nafasi (mara nyingi hua ninasafiri ndani na nje ya nchi) nimejifunza mengi hapa.
Nina...
Sakata la wimbo wake kuibwa na Mbunge wa Bunge la Muungano ni sehemu ndogo tu ya madhila yaliyowahi kumkuta msanii huyu mkongwe kwenye Bongo Fleva.
Miezi kadhaa nyuma aliwahi kuporwa...
Mnajua kuwa inasemekana kuwa Tunda Man hakuwepo kwenye ile ajali iliyotokea hivi karibuni?
Kama alikuwepo inawezekanaje apone ikiwa hajafunga mkanda na waliofunga wameumia na kulazwa?
Iweje...
Wakuu,
Nashawishika kuomba nisaidiwe na wanajamvi kuhusu msanii huyu wa Bongo movies ambaye habari zimekuwa zikienea kuwa ni actor mzuri wa picha za wakubwa (porn movies).
Kwa yeyote...
Wakuu huyu jamaa nimekuwa nikimsikia tu juu, mara picha za warembo, anaimba anaigiza ila ningependa kumjua kiundani kwa wanaomjua, ni nani hasa Manaiki Sanga?
Mida hii naona breaking news kwenye ma news networks....RIP Prince, age 57
Update!! kafa sababu ya drug overdose, ile flu ni changa la macho
=====================
Prince died earlier today...
Tangu utokee ugomvi wa kundi maarufu africa psquare kumesababisha huzuni miongoni wa mshabiki wao. Kila mmoja peter na paul wamekuwa wakifanya project binafsi. Hata baada ya kupatana hakuna...
Wengi wenu mmekuwa mkimsikia mtangazaji huyu mkongwe wa DW na mkijiuliza ni mwanaume au mwanamke.
Ukweli ni kuwa Oumilkheir ni mwana mama na picha yake ndio hiyo hapo juu.Ni raia wa Comoro na...
Babu yake Wastara amefunguka na kueleza kilichosababisha kuvunjia kwa ndoa ya Wastara na Mbunge wa Donge kupitia CCM Sadifa Khamis Juma.
Akizungumza na Times Fm, Babu huyo aliweka bayana kuwa...
Baada ya kuwa na sintofahamu tangu wasikike kwenye kipindi cha Power Breakfast tarehe 1 mwezi huu, habari za ndani kabisa toka Mawingu Fm zinadai Mtangazaji mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri na...
Huyu ni msanii mwenye kibao kikali kinachobamba cha Sweety Sweety, Chege Chigunda au mtoto wa mama Said, hapo pichani anaringishia misuli yake ya mikono kama unavyoona
Well done Diamond umetuwakilisha vizuri saaana.
Kuna rafiki zangu wa South Africa nimewasiliana nao leo wamemsifia sana Diamond.
Kweli nimefarijika: Diamond you make us very proud. Umeipaisha...
Mrembo anayefanya poa kwenye video za wasanii wa Bongo kama video model Gigy Money, amempa za uso msanii Ney wa Mitego na kumuita mpumbavu asiyejitambua ni nani, baada ya kumtapeli pesa yake...
kwanza I love this guy. Very handsome. Lovely accent. Sauti Sasa!
Kama hiyo haitoshi ona hii
how hot is this man right now!
Amebarikiwa baby anayekula kazi ya mikono yake.
Baby mwenyewe...
Msanii alikiba aka King Kiba amerudi tena kwenye spika zako sasa hivi akishirikishwa na msanii Nuh Mzuwanda kwenye nyimbo mpya inayoitwa "Jike Shupa".
Wachambuzi wa mambo wanasema itakuwa colabo...
Mahakama kuu ya mkoani Mwanza imemuhukumu Siwema ambaye ni mzazi mwenzake na Nay Wamitego miaka miwili jela kwa kesi ya kumtukana mtu kwa njia ya mtandao.
Siwema alituhumiwa kumtukana matusi kwa...
Ali Kiba ni Msanii anae kumbwa sana na kurushiwa Maneno kuwa ana Dharau sana! Hii inatokana na vitu anavyo fanya! Sina uhakika kama ni kweli anadharau au vipi
Akiwa na Followers Million 1 huku...