Adele named as UK's richest female musician ever as fortune hits £85m - Adele named as UK's richest female musician ever as fortune hits £85m - BBC News
Jina lake halisi anaitwa Shawn Carter ingawa anafahamika zaidi na mashabiki wake kwa jina la Jay Z. Ni mwanamuziki mkubwa wa Hip Hop duniani, prodyuza na mjasiriamali mwenye mafanikio makubwa...
MH,SUGU: Muite rais wa Mbeya,aka Sugu huyu ndo anaaminika kuwa mwanzilishi wa hip hop ya Tz,hitmaker huyu wa Haki,mikononi mwa polisi,aliwahi kuwaleta lost boyz,na pia aliwahi kutoa albamu yake...
Wengi wanamfahamu kutokana na umahiri wake mkubwa katika medani ya muziki, utambulisho
wake mkubwa ukiwa ni sauti yake nzito na ya kipekee. Yafuatayo ni mambo kumi kuhusu msanii huyu.
1...
Mzazi mwenzake staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego, Siwema Edson (27) ametiwa mbaroni na kusota rumande kwa siku kadhaa akidaiwa kujipatia mali kwa njia ya vitisho kutoka kwa...
STAA wa filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amefunguka kuwa kutokana na tumbua majipu ya Rais John Magufuli, wale mapedeshee waliokuwa wakiwategemea ni kama wamepeperuka kwani...
nimetokea kuvutiwa na mahojiano yake na gazeti la champion la jana huyu sallam meneja kiongozi wa diamod.naomba kwa anayemjua labda asili yake hustle zake mishe zingne tofauti na umeneja labda na...
Samahani kwa "Celebrities" Hasheem Thabit na F.Matata
Nikiwa kama mwana JF mzoefu,niliyeanza kuperuzi JF mwanzoni mwa mwaka 2008 na baadae kuwa "member" rasmi miaka michache baadae sijawahi...
Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje.
Je unakubaliana na suala hili?
"Ndiyo" au "Hapana"
Wakati Mpenzi wake wa zamani Nay wa Mitego akiwa Bize na Baby yake Mpya Shamsa Ford, Siwema ameamua kujipoza machungu ya kuachwa na kunyang'anywa mtoto kwa kununua gari mpya.
Ameweka Picha hiyo...
Mkongwe katika muziki wa Hip Hop Bongo, Inspector ‘Babu’ Haroon, amesema anamshukuru Mungu kwa kumjaalia kukamilisha ujenzi wa nyumba zake mbili jijini Dar es salaam.
Akizungumza kupitia Segment...
Haya sasa Kumekucha, habari zimefichuka siri si siri tena.
Baada ya Gigy Money kulalamika kwenye baadhi ya Media kuwa alilipwa sh. elfu 20 baada ya kuwa Video queen kwenye nyimbo ya Nay wa Mitego...
Kuna ubuyu mpya mjini… Na tena unaonesha umepata wateja wengi kwa muda mfupi
Mashabiki wa Zari the Bosslady wanamshambulia Lynn, mrembo aliyetumika kwenye video ya ‘Kwetu’ ya msanii wa WCB...
Diamond platnumz ameendelea kuonyesha yeye ni msanii wa kuigwa baada ya leo hii kununua nyumba mpya iliyopo dar es salaam maeneo ya salasala mwanzo
Nyumba hiyo imemgharimu diamond zaidi milion 100...
Malawi na Nigeria zimekutana kwenye collabo moja ya nguvu. Supastaa wa rap kutoka Malawi, Tay Grin ameachia single mpya aliyoipa jina, Chipapapa na kumshirikisha nguli wa muziki wa Nigeria, 2 Face...
SHABIKI mmoja nchini Marekani, Justin Rhett, ameamua kumshtaki nyota wa muziki wa Rap, Kanye West pamoja na huduma ya muziki ya Tidal kuhusu kutolewa kwa albamu mpya ya mwanamuziki huyo, The life...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.