Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hivi msanii kama tunda kudanganya umma kama ulikua kwenye gari iliyopata ajali unamaana gani? ona sasa umeumbuka kijana aliyekua na marehemu kasema yeye ndo alikua ndani ya gari na wewe ulikua...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Msanii mkongwe wa muziki, Dudu Baya, amesema hawezi muomba msamaha Chidi Benz kutokana na kauli yake ‘acha afe’ ambayo aliitoa baada ya rapa huyo kuzidiwa na matumizi ya Madawa ya kulevya na...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
12:25 PM PT -- The Sheriff's department says Prince was found in an elevator at Paisley Park. They performed CPR, but were unable to revive him. He was pronounced dead on the scene at 10:07 AM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.Uhuru 2.Shizzy (legendary beats) 3.Selebobo 4.Nahreel (The industry) 5.tudy Thomas 6.Sappy 7.Sheddy clever
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mzee Yussuf ni miongoni mwa wasanii ambao hawaamini kama Diamond na Ali Kiba wana beef kutokana na wawili hao kutokutana pamoja na kuonyesha tofauti zao. Akizungumza Jumamosi hii, Mzee Yussuf...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Najiulizaga sana hivi ni kwanini unga cocaine hutumiwa na wasanii wengi sana majuu lakini bado wapo fiti labda kwa zamani ndo kina whitney houston na bobby brown ndo waliharibikiwa, ila ukija...
0 Reactions
85 Replies
11K Views
Msanii wa filamu Wastara Juma amefunguka na kuzungumzia kuvunjika kwa ndoa yake na Mbunge wa Donge kupitia CCM Sadifa Khamis Juma ambayo imeduku kwa kakribani miezi 3. Akizungumza na Bongo5 hivi...
1 Reactions
60 Replies
8K Views
Msanii wa filamu kutoka nchini Marekani, Eddie Murphy na mchumba wake, ambaye ni mwanamitindo Paige Butcher, wanatarajia kupata mtoto hivi karibuni atakayefikisha idadi ya watoto tisa wa msanii...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Chris Brown amesema alitaka kujiua baada ya kumshambulia aliyekuwa mpenziwe Rihanna kabla ya tuzo za Grammy mwaka 2009. Katika kipande kifupi cha makala yake ya ‘Karibu katika maisha...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Inasmekana alimbaka mdada wakibongo aishie sweden anaitwa Deborah ukiingia insta page ya dougiemasta20 utaona hadio ushahidi wa police report na inasemekana sweden embassy ya tz washataarifiwa...
1 Reactions
52 Replies
15K Views
Nimeona kwenye twitter page ya MTV BASE SOUTH anategemea kushoot video mpya na Psquare pia kuna wimbo Ne-yo
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeona picha ya Wema katika blog ya Michuzi na movie clip katika blog ya dj fetty kwa kweli nimesikitishwa sana na nilichokiona.....!! maadili yetu watanzania hayaturuhusu kukaa ****** wazi...
1 Reactions
54 Replies
33K Views
1. Mb dog 2. Z Anto 3. Sumalee 4. Spark 5. Keisha 6. Pingu na Deso 7. Kassim Mganga
5 Reactions
43 Replies
9K Views
Hivi huyu dada aliwaza nini kuitaja Kenya katika nyimbo yake ya Na Gode aliyo iimba kwa kiswahili kwa hiyo aliona akiitaja Tanzania Hii nyimbo haita hit sana au? Watu wengine wanaboa sana...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Japo naishi Mwanza lakini na - declare interest kwamba mimi ni mwanaume wa Dar kwa sababu ndo wazazi wangu wanapoishi na ndiyo nilipokulia. Huyu mtangazaji wa Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Anaitwa Swabrina Ghalibu huyu atakuwa ni msichana wa kwanza kabisa kufanya kazi Mortuary akiwa na Umri mdogo ana Miaka 19 Atakuwa anatunza miili ya binadamu Mortuary na kuifanyia kila Taratibu...
6 Reactions
84 Replies
15K Views
Mkurugenzi wa bendi ya fungakazi modern taarab kapteni abdalla temba wamejikuta wakichambana na mkurugenzi wa bongo modern taarab anayejiita senior bachelor Hii imetokea baada ya senior bachelor...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari zenu, kama ilivyozoeleka wasanii hupendelea kutafuta location nzuri kwa ajili ya ubora wa kaz zao. Miongoni ya vivutio ndan ya jiji la Dar ni daraja la Kigamboni. Mi natabiri Diamond...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Unanishangaza wewe ni meneja wa wanamuziki wengi tu kama Madee, Tundaman, Shaa na Dogo janja. Inakuwaje Diamond peke yake ndio unampromote sana kuanzia ubora wa video show kumtafutia nje mpaka...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Steve C Kanumba (R.I.P) ni jina lake halisi ambalo alivuma nalo, ni wasanii wachache sana wanaoweza kutokea kwa mtindo huu, hata yule aliyekuwa naye usiku wa mauti yake anajulikana kwa jina lisilo...
0 Reactions
22 Replies
18K Views
Back
Top Bottom