Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Adele named as UK's richest female musician ever as fortune hits £85m - Adele named as UK's richest female musician ever as fortune hits £85m - BBC News
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Jina lake halisi anaitwa Shawn Carter ingawa anafahamika zaidi na mashabiki wake kwa jina la Jay Z. Ni mwanamuziki mkubwa wa Hip Hop duniani, prodyuza na mjasiriamali mwenye mafanikio makubwa...
3 Reactions
24 Replies
8K Views
MH,SUGU: Muite rais wa Mbeya,aka Sugu huyu ndo anaaminika kuwa mwanzilishi wa hip hop ya Tz,hitmaker huyu wa Haki,mikononi mwa polisi,aliwahi kuwaleta lost boyz,na pia aliwahi kutoa albamu yake...
4 Reactions
47 Replies
11K Views
wimbo mkali video kali. kweli unapomshirikisha Diamond hufanyi makosa. hii ni shida nyingine Africa. chek video hii
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Wengi wanamfahamu kutokana na umahiri wake mkubwa katika medani ya muziki, utambulisho wake mkubwa ukiwa ni sauti yake nzito na ya kipekee. Yafuatayo ni mambo kumi kuhusu msanii huyu. 1...
3 Reactions
10 Replies
5K Views
Mzazi mwenzake staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson (27) ametiwa mbaroni na kusota rumande kwa siku kadhaa akidaiwa kujipatia mali kwa njia ya vitisho kutoka kwa...
2 Reactions
36 Replies
17K Views
STAA wa filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amefunguka kuwa kutokana na tumbua majipu ya Rais John Magufuli, wale mapedeshee waliokuwa wakiwategemea ni kama wamepeperuka kwani...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
nimetokea kuvutiwa na mahojiano yake na gazeti la champion la jana huyu sallam meneja kiongozi wa diamod.naomba kwa anayemjua labda asili yake hustle zake mishe zingne tofauti na umeneja labda na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani kwa "Celebrities" Hasheem Thabit na F.Matata Nikiwa kama mwana JF mzoefu,niliyeanza kuperuzi JF mwanzoni mwa mwaka 2008 na baadae kuwa "member" rasmi miaka michache baadae sijawahi...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana"
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Wakati Mpenzi wake wa zamani Nay wa Mitego akiwa Bize na Baby yake Mpya Shamsa Ford, Siwema ameamua kujipoza machungu ya kuachwa na kunyang'anywa mtoto kwa kununua gari mpya. Ameweka Picha hiyo...
2 Reactions
34 Replies
13K Views
Mkongwe katika muziki wa Hip Hop Bongo, Inspector ‘Babu’ Haroon, amesema anamshukuru Mungu kwa kumjaalia kukamilisha ujenzi wa nyumba zake mbili jijini Dar es salaam. Akizungumza kupitia Segment...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Haya sasa Kumekucha, habari zimefichuka siri si siri tena. Baada ya Gigy Money kulalamika kwenye baadhi ya Media kuwa alilipwa sh. elfu 20 baada ya kuwa Video queen kwenye nyimbo ya Nay wa Mitego...
1 Reactions
135 Replies
49K Views
Hivi niko kwenye njozi au ninachokiona ndicho kweli kinachotokea? Gotdamnit! Ntampata wapi huyu?
5 Reactions
55 Replies
7K Views
Kuna ubuyu mpya mjini… Na tena unaonesha umepata wateja wengi kwa muda mfupi Mashabiki wa Zari the Bosslady wanamshambulia Lynn, mrembo aliyetumika kwenye video ya ‘Kwetu’ ya msanii wa WCB...
2 Reactions
28 Replies
8K Views
Diamond platnumz ameendelea kuonyesha yeye ni msanii wa kuigwa baada ya leo hii kununua nyumba mpya iliyopo dar es salaam maeneo ya salasala mwanzo Nyumba hiyo imemgharimu diamond zaidi milion 100...
2 Reactions
178 Replies
38K Views
Malawi na Nigeria zimekutana kwenye collabo moja ya nguvu. Supastaa wa rap kutoka Malawi, Tay Grin ameachia single mpya aliyoipa jina, Chipapapa na kumshirikisha nguli wa muziki wa Nigeria, 2 Face...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SHABIKI mmoja nchini Marekani, Justin Rhett, ameamua kumshtaki nyota wa muziki wa Rap, Kanye West pamoja na huduma ya muziki ya Tidal kuhusu kutolewa kwa albamu mpya ya mwanamuziki huyo, The life...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…