Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Baada ya kushinda tuzo ya ‘Best Movie East Africa’ @elizabethmichaelofficial siku ya jana aliweza kuhudhuria ibada katika kanisani la Living Water Centre (Kawe Makuti) likiwa chini ya Mtume...
0 Reactions
84 Replies
9K Views
Habari wakuu.... Kila mtu anatambua "Mapinduzi ya mziki" yaliyofanyika miaka michache iliyopita...Na kwa kiasi kikubwa haya yanayoitwa mapinduzi yamechangiwa na kukua kwa matumizi ya social...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Najua hii ni mada ngumu kidogo lakini wazungu wanasema ‘lets address the elephant in the room.’ Kwa takriban miaka mitatu sasa, vituo vya Clouds Media Group vimeacha kupiga kazi za Lady Jaydee...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Sabakher Wadau; Nimevumilia Nimemchoka Huyu Producer! Yaan Anakop Beat Kama Lilivyo! Anachofanya Anaongeza Pitch Tu! Nyimbo Yake Mpya Inaitwa HAYA! Beat La Wizkid _ Show You The Money Kakop Kama...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Leo katika kipindi cha Mkasi cha Salama katika TV ya EATV walikua wakiwahoji huyo pamoja na KBC ambao walikua wakiimba hip hop zaman katika kundi la KU CREW lakn kwa jinsi nlivyomuona EASY B sio...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Giggy Money na Faiza (mke wa zamani wa Sugu) wote tunajua kwamba madishi yao yamecheza, wana uwezo wa kufanya chochote kitachokufanya ubaki mdomo wazi kwa nia tu ya kupata umaarufu, je yupi kati...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Chid Benz a.k.a chuma, ambae hivi karibuni afya yake imeshtua wadau wengi wa muziki na hata wale wasio wadau, kutokana na kudhoofika sana jambo ambalo kwa kiasi kikubwa limechangiwa na utumiaji wa...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
PICHA JINSI MHE: HALIMA MDEE ALIVYOSHEREKEA SIKU YAKE KUZALIWA
7 Reactions
102 Replies
25K Views
Habarini wana jamvi.. Nimesikia tetesi hawa jamaa wamevunja kundi lao.. Anaefahamu nini chanzo?
0 Reactions
29 Replies
14K Views
Siku chache baada ya taarifa za kutoka kwa mimba ya mwandani wake, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshot’ 2014, Idris Sultan amebambwa kiwanja akijipoza...
2 Reactions
75 Replies
14K Views
Mwanamuziki mkongwe kwenye game la Bongo Fleva, Juma Nature, amesema yupo tayari kupambana na Diamond Platnumz kwenye game la muziki 'live" na show ifanyike uwanja wa taifa Ameyezungumza hayo...
10 Reactions
174 Replies
19K Views
Hatimaye Rapa Chid Benz leo amefanikiwa kupata dhamana na kutolewa rumande na kurejea uraiani. Kwa masikitiko makubwa kabisa na dhubutu kusema anaye mmaliza na kumfuta chid benz kwenye ramani ya...
3 Reactions
45 Replies
10K Views
Swali kwenu wadau.. Ila kwa upande wangu, sioni kama kuna mtanzania maarufu zaidi kwa Tanzania, na nje ya Tanzania kumzidi DIAMOND PLATNUMZ Na kuja kutokea mtu kama huyu itachukuwa vizazi na...
1 Reactions
111 Replies
14K Views
Msanii first class kwenye kiwanda cha bongo fleva, mwenye hadhi ya kimataifa, Vannesa mdee, amewaacha midomo wazi baadhi ya mashabiki zake kwa kitendo alichokifanya hivi karibuni kwenye ukurasa...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Tuzo za muziki wa Afrika za Kora zilizokuwa zifanyike Jumapili, March 20 jijini Windhoek, Namibia, zimeahirishwa baada ya kampuni iliyopewa kazi ya kuandaa jukwaa na utayarishaji kushindwa kupata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa nchi zilizoendelea kimuziki moja ya vipimo vya mafanikio ya msanii ni ziara 'tour'. Msanii awezi kupata heshima kwa wenzetu kama hafanyi tour ya muziki wake. Kwa muziki wetu kwa muda mrefu...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Mshindi wa tuzo ya AMVCA 2016, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amefunguka na kuelezea mahusiano yake na CEO wa EFM, Dj Majay baada ya hivi karibuni kuonekana kuwa karibu zaidi. Akizungumza katika...
0 Reactions
158 Replies
54K Views
Kile kipindi cha chid benz show EAST AFRICA TV,Kimeishia wapi? Au mkataba umeisha? Coz naona siku ya alhamisi ambapo ndio kipindi chake kilikuwepo,kimewekwa kipindi kinaitwa mboni,je kuna mwenye...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Msanii wa muziki na mbunge wa viti maalum wa jimbo la Geita kupitia CCM Vicky Kamata amejisalimisha kuombewa kanisa la EAGT kata ya Kalangalala wilaya ya Geita mkoani Geita ili kuondoa mikosi ya...
0 Reactions
83 Replies
14K Views
Sipho Mabuse alizaliwa Jijini Johannesburg- Afrika ya Kusini tarehe 2 Novemba 1951. Alianza kazi ya Muziki mwaka 1970, akiwa na wenzake walikuwa wakiimba muziki wenye vionjo vya Kiafrika. Lakini...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…